mzee wa magumashi
Senior Member
- Oct 10, 2012
- 136
- 42
Vodacom maeneo mengi hakuna mitandao maeneo ya morogoro ukiwa dumila...centa moja inaitwa magubike hakun mtandao mnapoteza mapato sana..
Vodacom Tanzania Huduma ya Nijulishe alienipigia mnaitoa kwa upendeleo kwa sasa wapo baadhi mmetuondolea na wengne mmewaachia ilikua ni mkombozi wetu hasa ukizingatia Tatizo la Network!
Majibu Tafadhali😡😡😡
Vodacom ivikweli hiinihaki?? nimeibiwa sim, nikapiga sim uduma kwawateja kwakutumia Line nyingine, kwalengo hii laini ilio ibiwa iblokiwe. ila nimepiga sim saanzima bila kupokelewa na mtu yeyote ule. asubui yake nilipo kwenda ku Renew ile line iliopotea, nikakuta hadi pesa zilizokua kwenye account yangu ya M-pesa imechukuliwa. chaku shangaza mtu alie iba sim, ndio huyohuyo kafaanikiwa kuingia hadi kwenye Account yangu na vodacom mkampa hadi taarifa zangu!! iyo nihaki jamani?? 0653005366
Tigo mbona hivo mtu umejiunga 24 wanakwambia huna salio
Tigo mbona hivo mtu umejiunga 24 wanakwambia huna salio
Kwani hii thread ni ya Vodacom Tanzania au Tigo...?.
Hahahhaaa..watu kujielewa ni shida