Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

M pesa tayari INAJARIBU kununua muda wa hewani.Kitakachofuata hapo salio lako litakatwa na ukilalamika unaambiwa hujafunga data hata kama ni kanokia ka tochi
 
Tatazi ni kubwa ktk miamala yote ya mpesa ni ktk luku.
Mm nanua bidhaa nyingi tu kupitia mpesa lakini sipati tatizo nikinunua kitu napata kwa kumuda huo huo kulingana na manunuzi yangu.
Lakini ninapo nunua luku huwa nimechokoza ugoza na vibinti vya huduma kwa wateja.
Mm nina wasiwasi nahii huduma nadhani kuna ufisadi huwa unafanyika baina ya mpesa na tanesco kitengo cha luku.
Italuwaje kila mara ninapo nunua luku lazima itokee ucheleweshwaji wa kupata token?
Na kwanini wateja tunapeleka malalamiko lakini tatizo halitatuliwi?
Mm siamini kama mpesa na voda na tanesco washindwe kitatua hili tatizo najaribu kujiaminisha kuwa hili tatizo ni mradi wa watu kufanya ufisadi.
Haiwezekani shirika ka voda na tanesco washindwe na kitatizo kidoogo kama hichi.
Mbona tigo haitokei upuuzi kama huu tigo ukinunua luku wanakupa token kama kuna tatizo muda huo huo wanakuridishia pesa zako.
Mm naomba wahusika waliangalie hili tusije tukazalisha richmond nyinginge.
 
Vodacom Tanzania Huduma ya Nijulishe alienipigia mnaitoa kwa upendeleo kwa sasa wapo baadhi mmetuondolea na wengne mmewaachia ilikua ni mkombozi wetu hasa ukizingatia Tatizo la Network!

Majibu Tafadhali😡😡😡
 
Kazi ni kwako
 
Vodacom UDOM maeneo ya chuo cha Afya mtandao haujakaa vizuri na hasa Internet. Tunaomba murekebishe.
 
VOCHA ZA 1000: Vocha za sasa za sh. 1000 zinawapa shida ssna watumiaji kutokana na jinsi zilivyochapwa.Tarakimu zinasomeka kama kichina.Inabidi urudie rudie kuandika kujaribu kama ni namba ingine.Mchapishaji aliepewa hiyo kazi kwa kweli ameharibu.
 
Vodacom ivikweli hiinihaki?? nimeibiwa sim, nikapiga sim uduma kwawateja kwakutumia Line nyingine, kwalengo hii laini ilio ibiwa iblokiwe. ila nimepiga sim saanzima bila kupokelewa na mtu yeyote ule. asubui yake nilipo kwenda ku Renew ile line iliopotea, nikakuta hadi pesa zilizokua kwenye account yangu ya M-pesa imechukuliwa. chaku shangaza mtu alie iba sim, ndio huyohuyo kafaanikiwa kuingia hadi kwenye Account yangu na vodacom mkampa hadi taarifa zangu!! iyo nihaki jamani?? 0653005366
 
Mkuu hawa jamaa hawajapata mtu wa kuwaendea TCRA, ndo maana wanafanya blanda tu. Ni wezi kinoma.
 
Vodacom Tanzania nimetuma hela kwenda CRDB tangu 8-12-2015 lakini mpaka leo haijafika kwenye akaunti husika. mhamala namba BW89KT189. Naomba nijulishwe kama imeshafika au vinginevyo irudishwe kwenye account yangu ya m-pesa.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: isk
Vodacom nilinunua umeme tangu mwezi wa 5 lakini ckufanikiwa nikafanya jitihada za kupiga cm voda na tannesco,nikaambiwa hela imerudishwa m pesa,voda walikili kuipokea hiyo hela wakaniambia wanairudisha kwangu baada ya saa 24 lkn mpaka leo ni miezi 6au7 imepita,kila nikipiga wanasema baada ya cku 7 mara baada ya saa 24,nko njia panda je nitalipwa hiyo hela,na umeme pia ckupata mpaka nilivyohama hiyo nyumba,nadai elfu 75
 
Voda acheni kutubia salio,nikiacha Salio hata kama sijapiga popote,salio haliwezi kukaa unakuta mmeishalifyeka lote,pili ni cheka kwa sasa siyo tena masaa 24,ata ukijiunga kifurushi usiku ikifika tu asubuhi unaambiwa kifurushi kimeisha,kweli huo ni uhungwana,?
 
Back
Top Bottom