rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 15,192
- 20,165
unaelewa maana ya tofauti ya huduma ya 4g na 2g au 3g ungeelewa maana yake ungewaunga mkono ttclHeri wewe hupo dar.sisi arusha .Voda na tcra kuna ushirikiano na Voda kuiba.kwa taarifa yako nimegundua Mh Raisi Magufuli ni raisi Wa dar na chato .huku mikoani bado hakuna mapadiliko .tuko na tabia zileeeeee.za awamu ya bila uwajibikaji.ataa ttcl wameongwa .embu fikiria kampuni huru ya taifa inaanza na kuboresha 4G badala ya kuanzia 2g na 3g ili kuwakomboa Wa Tz na dhuluma !!?? Utajazaa usilete unafiki hapa mnatuibia alafu mnatutest !!!!????