Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Halafu bei za vifurushi ni tofauti kati ya mtu na mtu.
Kuna jirani yangu akiweka 250 anapata dakika 14 na akiweka 500 dakika 50 sijui.
 
Kuna matatizo makubwa kitengo cha M-pesa hasa ukifanya muamala wa pesa kutoka benki ya posta kwenda M-pesa, pesa inatolewa posta vizuri lakini mteja hapati hela zake M-pesa unapewa message za selcom na refence namba kwamba pesa imetolewa katika akaunti na utaipata baada ya dk 30, cha ajabu pesa inakaa na huipati tarehe 2.7.2016 muamala ulifanyika saa nane usiku na kupata Vodacom M-pesa Cash- in Refence namba 0123721575 lakini mpaka sasa pesa hazijaingia
 
Vodacom mnajisahau sana katika kutoa huduma zenu mfano wamepunguza muda wa maongezi wa wiki mitandao yote kutoka dk 30 kwenda dk 26 na sasa dk 22 kwa sh 1999, wakati wenzenu airtel wanaboresha wameweka dk 31 cha wiki mitandao yote kwa kweli mtapoteza wateja zaidi,
 
vodacom. Kwisha, kwisha, kwisha, kabisa. Vifurushi vya Internet ni wizi Mtupu.

Vifurusi vya muda wa maongezi navyo ni wizi mtupu.

Wateja wengi wameamia Airtel,Halotel,Tigo. Vodacom na Zantel Hawana jipya.
 
Ndugu mteja,

Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?

Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.

Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:

- Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
- Maeneo gani? (Tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu nawe)
- Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
- Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza
- Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.

Karibu

Vodacom Tanzania
click here: N.H.I.F mnasubiri nini kuwa na "Electronic Health Card System?"
 
Turudishieni miamala yetu
Tangu tarehe 1nilitoa hela kimakosaemkanipa masaa 72hadi sasa masaa karibu 300sion hela yangu wahudumu w call center zenu Wana majibu kama waganga wa kienyeji.. Na majibu ya labda Nadhani sijui hatuyahitaji km hauwezi kutuhudumia acheni,,, and hela yangu mnayowiki nzima inge kuwa imezalisha kiasi gani


Nina mpango wa kuanzisha kampeni NO TO VODACOM M-PESA... Maana hata ukinunua luku usumbufu tu km Kuna tatizo HAMSEMI, Kisha mtu akitumia hizo huduma anapata usumbufu




JUST SAY NO TO VODACOM M-PESA..
HUDUMA HAZINA KIWANGO CHA MAKATO
 
Nimepata pesa yang Juzi Kati Baada ya kusubiri kwa muda mrefu sana.. asanteni kwa hilo.
Tafadhali wapeni baadhi ya wahudumu Wenu training ya kutosha.. mfano
Nilimuuliza Mmoja kuhusu namba yenu ya kuwapata huduma kwa wateja moja kwa moja..
"Akasema, usikate simu" nahis aliniweka kwene hold ili aulize kwa wenzake.. alivorudi hewani akasema " haipo namba nyingne tofauti na hiyo yaani 100"
And i was shocked bse mm najua ipogo na nilikuwa nimeisahau..

Anyways hela yangu ilirudi baada ya wiki karibia tatu..na eti MKANIZAWADIA MB 100! SERIOUSLY???!!!!!
MB 100 baada ya kuzungusha mpunga wangu kwa almost mwezi mzima all i get ni MB mia????? Vodacom mnanishangaza sana.. badilikeni bana
 
Nilinunua Muda wa Maongezi, Kifurushi Cha Cheka, Voda-voda Kifurushi Cha Siku 7 toka jana saa 2 usiku hadi sasa bado sijapewa muda huo wa Maongezi. Jana Usiku nilipowauliza walidai muda huo unaonekana bado uko hewani na utakufikia muda mfupi ujao. Leo asubuhi wakadai, tutakurudishia hela yako kupitia akaunti yako ya M-pesa. Chakushangaza, toka saa 5 asubuhi nikipiga huduma Kwa wateja simu inaita weeee bila kupokelewa….

Voda acheni tabii hii, inatukwaza sisi wateja wenu tafadhali rudisheni fedha yangu haraka………………...ni mimi….. 0767-166 32_
 
Ndugu mteja,

Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?

Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.

Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:

- Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
- Maeneo gani? (Tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu nawe)
- Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
- Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza
- Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.

Karibu

Vodacom Tanzania
Nyie Voda sio wakuulizia maboresho .nyie ni wezi wakubwa .sana sana sasa hivi tunatafuta jinsi ya kuwasilisha matatizo yetu.kwa Mh Raisi Magufuli ili aweke jicho la tatu kwa wizara na tume ya mawasiliano kwani haiwezikani umna tuibia kiasi hiki na serikali hipo.nyie wezi wakubwa hamna tofauti na wezi wengine.mfano Mimi nadai kwakuanzia dai la tarehe 10/5/2016 shilingi elfu 30 na mengine mengi mpaka Leo sijalipwa hela zangu.wezi wakubwa nyie tena msio na adabu mnaibia ataa senior citizen shame on you .stupid nonsense trying acting like Engle.
 
TCRA wana mtindo wa kukalia malalmiko ikipita wiki mbili hawakujibu wakilisha malalamiko kwenye tume yaa ushindani ofisi zao ziko ubungo
Heri wewe hupo dar.sisi arusha .Voda na tcra kuna ushirikiano na Voda kuiba.kwa taarifa yako nimegundua Mh Raisi Magufuli ni raisi Wa dar na chato .huku mikoani bado hakuna mapadiliko .tuko na tabia zileeeeee.za awamu ya bila uwajibikaji.ataa ttcl wameongwa .embu fikiria kampuni huru ya taifa inaanza na kuboresha 4G badala ya kuanzia 2g na 3g ili kuwakomboa Wa Tz na dhuluma !!?? Utajazaa usilete unafiki hapa mnatuibia alafu mnatutest !!!!????
 
Back
Top Bottom