Vodacom Router Bei Nafuu

Abang

Member
May 8, 2020
28
32
Je unatunia simu yako kama wi-fi hotspot wakati wa kazi ofisini au masoko chuoni? Wakati mwingine internet inakata mtu akikupigiaa sasa acha na hizo habari suluhisho limepatikana kwani ni Vodacom Router na inapatikana kwa bei nafuu sana na vifurushi rafiki kabisa.

Kwa maelezo zaidi 0744002351 what's app
 

Attachments

  • IMG-20231104-WA0035.jpg
    IMG-20231104-WA0035.jpg
    74.1 KB · Views: 28
Hivi vi router vya kibwege lisaa limoja kimeisha chaji...bora nitumie simu ambayo line yake watu hawa
 
Back
Top Bottom