mossad007
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 1,165
- 850
Mwez mmoja uliopita ilikua inatokea nikirecharge nijiunge na kifurushi naambiwa sina salio la kutosha nikichek nakuta salio ni zero na sina kifurushi. Kuna siku nikawapigia kulalamika wakarudisha hela ile waliyonikata mara ya mwisho tu na sio pamoja na zile za Nyuma. Ijumaa nikiwa mkoani kikaz nikarecharge mida ya saa 12 jion ishu ikajirudia nikaona hii ni too much nikawapigia Customer Care wakasema mpka kesho yake J'mos kwan kwa mda ule hawawezi kuretreave data zangu. Jmos nikawapigia Tatu Asubuhi wakasema watashugulikia na kunipa feedback ikawa kimya. Leo nawapigia wanasema data zangu hawawez kuziona ilibidi tatizo langu lishugulikiwe ndani ya Masaa 24 na cm ikakatwa wakati bado nlikua namweleza walichonojibu niliporipoti ndani ya hizo saa 24.
Wateja wenzagu wa Vodacom huu ni wizi kuna watu wanacheza na hela zetu tutafute namna ya kulifanya jambo hili public mimi nimeliwa 2000 mwingne akiibiwa 1000 mwingne 500 tukiwa watu 50,000 kwa siku tunawafaidisha hawa watu kwa jasho letu. Lets SHARE how to END this.