Ndenji five
JF-Expert Member
- Nov 1, 2021
- 1,985
- 3,084
Unanunua kifurushi cha data cha mwezi unapakua nyimbo yenye mb-10.5 matokeo yake unakuja kuuliza salio zimetumika mb100
Hivi huu si utapeli mnautofauti gani na wezi alafu nawapigia mnajibu ooh labda kuna app nyingine inafanya kazi kipindi ww upo mtandaoni inamaana simu yangu mnaijua sana kushinda mm niliyoinunua
Lengo lenu ni nini hasa kiishe haraka tununue kingine au mbona mna akili mgando kiasi hicho
Na nyinyi tcra mnafanya kaz gani mbona siwaelewi mkiulizwa ooh tunayafanyia kazi sasa mnayafanyia kazi gani au mna shared ya huo utapeli
Vodacom badilikeni tumewachoka sio hadi msimamiwe mlianzisha biashara ili mpate tupate sasa hizi tabia za utapeli hizi sizo
Tabia ya kupangiana matumizi pesa ya mtu hatutaki kama mmechoka kutoa huduma mtuambie tujue