VodaCom Kimenuka..wafanyakazi mamia kupigwa chini muda wowote

mi nafikili si vema kufurahia matatizo yanapo mfika mtu bila kujali ni ndugu,kabila,rafiki, au jirani.kumbuka nyumba ya mtu inapoungua jirani yako,ukawa mstari wa mbele kumcheka unafikilia atalala wapi?jibu ni kwa yule amabaye hajaunguli,..nani.....wewe unaye cheka
kuwa na aibu au hofu ya mungu na mungu atakubaliki na kukujaza neema
 
lakini mbona hii thread does not make sense? inabidi tupate source ya haya maneno inawezeka ikawa ni porojo tu.

Tukumbuke mahala popote panapotokea changes kuna wale wanaochukulia postively na wale wa negative. Postive minded they know what they are doing na wale wa negative minded lazima watukwa na wasiwasi kwasababu ya utendaji wao ni wa mashaka, ndo maana ni rahisi kuona kwamba watafukuzwa.

Kwani Rene Meza kesha watangazia kuwa anawafukuza?
 
Mleta mada ni mtu mwenye roho mbaya sana na hafai hata kuwa jirani, anaonekana ana wivu wa kijinga na chuki ya chinichini

watu kama hao ni wa kutengwa tu!! hawafurahii maendeleo ya vijana wa kitanzania...
 
Ameedit baada ya kuona anashambuliwa kwa kuweka hadharani furaha aliyonayo kwa kuona rafiki yake anapoteza ajira

Basi huyu ndugu hafai hata kidogo and I pray rafiki yake analigundua hilo mapema ili avunje huo urafiki wa mashaka!
 
mi nafikili si vema kufurahia matatizo yanapo mfika mtu bila kujali ni ndugu,kabila,rafiki, au jirani.kumbuka nyumba ya mtu inapoungua jirani yako,ukawa mstari wa mbele kumcheka unafikilia atalala wapi?jibu ni kwa yule amabaye hajaunguli,..nani.....wewe unaye cheka
kuwa na aibu au hofu ya mungu na mungu atakubaliki na kukujaza neema

Mkubwa wangu Mungu ni capital M, kuwa muangalifu hautaeleweka. Gud day
 
nimesikia leo asubuhi

pamoja na ku edit lakini hichi hapa chini ndcho ulichopost, hivyo wewe ni mnafiki kabisa

mkonowapaka said:
By mkonowapaka :
leo asubuhi napata message jamaa ananipa hai.. tena kw anamba yake ya zamani
baadae tena kwa aibu ananiulizia kama kuna nafasi ya kazi hapa nilipo... .... .... ... ..yupo siriaz
akaniambia VodaCom watu ni roho juu muda wowote Mh Meza Rene anapiga watu chini tena style
ya kumuua nyani... ..
maskini jamaa alishaukwaa umeneja sjui wa vocha za nini... .ndo kushney na anajua atapunguzwa!!
karibuni saana mtaani na wale mliokuwa tinted full AC kitu cha hardbody mnaliajee?
nway poleni sana
 
walianzia mikoani wakabinafsisha shops wengi waliachishwa kazi ,na ubovu wa kazi zao ni mikataba ya miezi sita kama sio mwaka mmoja na sasa wameingia jijini naona voda wanataka kujiondoa kwenye masuala ya kuudumia shops zao na kuacha kwa mawakala
 
Hii ndo jamii forums ukirusha kitu ndani ya sekunde watu washacopy pamoja na ku edit bado mtoa uzi ni nyoka kabisa unafurahia mwenzako kupotea ajira mmmhh we si unaweza kuweka hata sumu kwenye kinywaji chake
 
Sasa akikuta umetundika hii post humu atakuelewaje?
Marafiki kama ninyi sio kabisa! Wakati mwenzio ana matatizo kwenu ninyi ni furaha. Hata kama kaukwaa umeneja wa voucher ...naye si anaingiza kipato kinachomuwezesha kukidhi mahitaji?

Kuna mijitu mingi sana kama hii, yaani matatizo ya mwenzie yeye kayavalia kibwaya!! Mkonowapaka inabidi uone aibu kwa hili, mdwanzi sana wewe! kwa hiyo hardboard ilikuwa inakutoa roho sana!! Halafu huyu anategemea kuwa baba eti! Mwanamke ukipata mume kama huyu hesabu mko wawili na mwenzio.
 
Hii ndo jamii forums ukirusha kitu ndani ya sekunde watu washacopy pamoja na ku edit bado mtoa uzi ni nyoka kabisa unafurahia mwenzako kupotea ajira mmmhh we si unaweza kuweka hata sumu kwenye kinywaji chake

Kabisa mzee, mjinga kama huyu eti unadhani rafiki yako, umekuja na hardboard yako ya kazini, mpate lunch hakawii kukuwekea sumu! kaniboa sana bana!!
 
Ameedit baada ya kuona anashambuliwa kwa kuweka hadharani furaha aliyonayo kwa kuona rafiki yake anapoteza ajira

Basi huyu ndugu hafai hata kidogo and I pray rafiki yake analigundua hilo mapema ili avunje huo urafiki wa mashaka!

Wanaitwa roho kutu, yaani mafanikio yawe kwake tu, wakiwa wengine roho kutu!!
 
Kwa hiyo Hardbody na A/C vilikukuwa vinakuumiza sana? Nyie ndio mnaliwa tigo kwa uroho wa pilau

jamani kwa kasoro alizoambiwa kuwa nazo inatosha huenda amejifunza kitu.........yatosha jamani......hayo mambo ya kameroon yamefikaje tena hapa!
 
Back
Top Bottom