Vodacom internet hoi geita

mwanamapinduko

Senior Member
Jan 24, 2011
178
41
Wakuu niko kikazi geita toka last week! kuanzia jana hadi leo kamodem kangu hakapati network, nikajaribu kuingia kwa handset voda internet hakuna kitu. Wenyeji wanasema sometimes hata mtando wa voice na sms unaweza potea kwa masaa kadhaa, wamenishauri nihamie airtel. voda vipi au ndio dalili ya mvua mawingu tujuzeni mapema ban tujipange.
 
Haya mambo hata Makete yapo hivyo hivyo. hii voda VIP?
 
Habari,endelea kutuma sms na ukishatuma SMS 10 za kulipia leo, subiri uthibitisho ili uweze kutuma SMS BURE siku nzima.Tigo Express yourself
 
kwa sasa bora kuwa na mitandao yote, nipo BK kwa mda yani wakati mwingine tigo hadi siku mbili hawapo hewani, voda kwenye internet hata file la youtube buffering kibao wkt ni 3g atleast airtel wanajitahidi huku na speed nzuri.
 
Exactly. Nadhani hiyo ndio dawa, maana mitandao yetu hapa bongo haiko stable. Leo huduma nzuri, kesho mbovu.
 
Wakuu niko kikazi geita toka last week! kuanzia jana hadi leo kamodem kangu hakapati network, nikajaribu kuingia kwa handset voda internet hakuna kitu. Wenyeji wanasema sometimes hata mtando wa voice na sms unaweza potea kwa masaa kadhaa, wamenishauri nihamie airtel. voda vipi au ndio dalili ya mvua mawingu tujuzeni mapema ban tujipange.

kama unataka kutumia mtandao reliable nje ya maeneo mengi ya mijini hapa Tanzania Airtel ndio wanapatia mitandao mingine zengwe...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom