Vodacom free internet

*102*250 ongea bila kikomo msg bila kikomo internet bila kikomo nashusha siku za wikendi saa tano hadi saa moja unatakiwa uwe na 250

Ukiendelea kutumia huduma za Vodacom ujue wewe ni punguani tena mwana Izaya usiye na haya. Vodacom wameshafulia wanatapa tapa tu nothing more.
 
Ukiendelea kutumia huduma za Vodacom ujue wewe ni punguani tena mwana Izaya usiye na haya. Vodacom wameshafulia wanatapa tapa tu nothing more.

Voda za zantel ndio mitandao pekee isiyolimit speed bundles zake sasa na wewe nakushangaa. Enhe tupe sababu why tuache voda, tutumie mtandao upi na kwanini
 
Back
Top Bottom