Highlander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 3,093
- 1,075
Nimekatwa MB 100 katika Dakika 30 kwenye Voda bila Ku-download kitu chochote na settings zangu za auto updates ziko Off. Is Vodacom stealing from Me today? Jana Airltel walikata 120 MB in three Minites, nilipiga simu Customer service wakasema watanitumia sms kueleza tatizo hawajatuma.
Mbona nahisi naibiwa? Wenzangu naomba ushauri. Hoja ya Downloading Futa kabisa. Hakuna kitu kinakuwa downloaded.
Vodacom na Airtel wameanza wizi au?
Mbona nahisi naibiwa? Wenzangu naomba ushauri. Hoja ya Downloading Futa kabisa. Hakuna kitu kinakuwa downloaded.
Vodacom na Airtel wameanza wizi au?