Voda / tiGO napiga

Jafar

JF-Expert Member
Nov 3, 2006
1,136
52
Kuna kawimbo nimekasikia hivi karibuni kanaimba kuwa kana dabo laini - eti voda anapiga akichoka na tiGO anapiga.

Haka kawimbo huku uswazi kamekaa kimatusi sana na sikapendi haka wimbo kabisa. Hivi baraza la Kiswahili limekufa?
 
Ni huko kwenu babaake!
Huku kwetu PISHA-NIPITE wala hatuna habari nao!
 
Ni huko kwenu babaake!
Huku kwetu PISHA-NIPITE wala hatuna habari nao!

Ama kwa hakika aliyeshiba hamjui mwenye njaa. Pakajimmy huku uswazi ndiko wakoambulia vumbi la EPA na ndugu zao kiasi hawana uchaguzi wa mtandao aupendao anategemea ni mtandao gani umembeep then anabadili line ilimradi awasiliane na aliyembeep.Si kwamba wanapenda hali hiyo ni maisha yamewapiga wamepigika kisawa sawa. Na tuombe wenye upendo wa kweli wawaondolee balaa hili
 
Gang Chomba kama unakaa Ulaya au Masaki huwezi kuelewa.
Huku uswazi Voda ni mbele na tiGO ni nyumba.
 
Tigo nasikia inalinganishwa na ile nanihii..
Lakini kuhusu voda sijui ni kitu gani ndio maana siona hata kama kuna matusi kiasi cha wimbo huo upigwe marufuku kusikika maredioni.
 
Back
Top Bottom