Hakijaeleweka nn sasa hapo
Kwawale wanaotumia internet ya voda free anaye jua ku connect na uttorent anifahamishe
Haiwezekani trick ni http trick (sababu tunatumia proxy) na torrent ni udp/tcp so ni vitu viwili tofauti

you sure about using UDP and TCP? torrent application?!! i dont think so
Can you please explain it?
Maana nikijaribu kufikiria sielewei concept ya TCP and UDP kwenye torrent.
Kwani kwenye HTTP, isnt TCP together with IP the backbone of the http connection?
SORRY IF IT MAY SOUND BAD TO YOU BUT IAM TRYING TO UNDERSTAND AND I GUEC ALSO THE REST OF MEMERS
Haiwezekani trick ni http trick (sababu tunatumia proxy) na torrent ni udp/tcp so ni vitu viwili tofauti
Its ok what i know is that torrent inatumia tcp ambayo inasuport vipande vya download kuwa downloaded kwa mda mmoja. tuchukulie tunadownload game lina 1 gb .
Kwa torrent hili game linaweza kuwa subdivided part nyingi ndo mana kwenye torrent kuna peer to peer yani some part utadownload kutoka server zao some part mwenzako anaedownload anaku uploadia wewe na wewe vile vile unam uploadia mwenzako.
Hii definiton ya bittorrent
"Bittorrent is a way for a client to figure out what
peers that have a piece of a particular file so that it
can get pieces from those machines instead of
getting the entire thing from a single (central) place."
Ila kwa http huwezi divide file kwa way kama torrent
Mfano mzuri tumia idm bila proxy utaona idm inagawanya file na kudownload fast then weka proxy kwenye idm utaona idm inashindwa kugawanya file na inadownload as whole
there is a way.. But bdo niko nafanya testing na final touches nikifanikiwa nitapost hapa the only setback ni kwamba speed ni limited itakuwa sio ile 350kbps itakuwa around 50 - 60 kbps so just wait ntaleta soon iyo njia oa
Its ok what i know is that torrent inatumia tcp ambayo inasuport vipande vya download kuwa downloaded kwa mda mmoja. tuchukulie tunadownload game lina 1 gb .
Kwa torrent hili game linaweza kuwa subdivided part nyingi ndo mana kwenye torrent kuna peer to peer yani some part utadownload kutoka server zao some part mwenzako anaedownload anaku uploadia wewe na wewe vile vile unam uploadia mwenzako.
Hii definiton ya bittorrent
"Bittorrent is a way for a client to figure out what
peers that have a piece of a particular file so that it
can get pieces from those machines instead of
getting the entire thing from a single (central) place."
Ila kwa http huwezi divide file kwa way kama torrent
Mfano mzuri tumia idm bila proxy utaona idm inagawanya file na kudownload fast then weka proxy kwenye idm utaona idm inashindwa kugawanya file na inadownload as whole
Humu kuna lugha ngumu ambayo sio friendly user...nawasailimu na kuondoka.
SErver zao?? i dont think so brother? nahisi piratebay ingekuwa ishakuwa down. So ukisema server zao itakuwa ina work kwenye enviroment ya client server..
Wakati the definition says::Bittorrent is a way for a client to figure out what
peers that have a piece of a particular file so that it
can get pieces from those machines instead of
getting the entire thing from a single (central) place."
so inamaanisha the file is only shared by users and not the servers,i guec ndio maana ukitaka kudownload kitu inabidi uzingatie seeders first..
ME NAHISI HIVI
HII TCP/IP inatumika just kuprovide connectivity. As you know TCP and UDP are on transport layer on OSI reference model..
suali: ni protocol ipi inatumika kwenye torrent.lets kwa file transer FTP, for browser HTTP and secured browsing HTTPS