Viwembe au shaver nzuri za kunyoa nywele sehemu za siri

Habari wakuu,

Tupeane uzoefu kuhusu vinyoleo bora kwa sehemu zetu za siri ambazo hazikati na kuacha madonda na hatimaye mapele.

Pia ambavyo viko vizuri kunyoa nywele zetu upande ule wa uwani bila matatizo huko huwa kunanipa shida sana.

Binafsi huwa natumia viwembe vya Gilette au Laser II zilizokaa kama T.
Fanya Waxing haitoi vipele na nywele hazioti mapema na hata zikianza kuota haziwashi...
 
Fanya waxing hii huduma inapatikana maeneo ya msasani
Kuchunguliana sasaa na kuchekana maana mmm maumbile haya mengne tuna sura siju za mnyana gani na iwe na mapeeleee na imebabukaaa na jotooo ,mibano ya nguo za ndani ntathubutu sasaa mii kwenda kuzianika mwangani wanigeuzeegeuuzeeeee watakavyo kama chapati kweliii! na si hosp kwenye uzazi au opereshen?. Hata nikichomwa sindano ya nusu kaputi nikiamkaa mi naona aibu banaaa... Hii maana ya sehem za siri iko wapi? sasa naona mnakazana kuutwa kuiporomosha kiwango mnoo na kuwa public sector for every1. Nanyoa mwenyeweeee

Kweeeli mauti sasa imeingia mpk sufuriani kwa bibii.
 
Bibie umenena jambo la msingi sana ambalo wanawake wenzako wengi hawalijui.....mwanamke anahitaji stara na kujithamini na sio kila mtu anapaswa kuyaona maungo yake ya siri......hapo ndio pamebeba utu wa mwanamke na ndio maana ya mwanamke hasa......sasa mtu mwenye akili timamu anawezaje kwenda kuchanua mapaja mbele ya umati kwa ajili ya tu kunyoa sehemu za siri...???

Mbona hiyo kazi hata mumeo kama ukimuelekeza anaweza kuifanya tena kwa ufanisi wa hali ya juu huku mahaba yakiongezeka....

Binafsi nimetazama video mbali mbali zinazohusu hilo tukio la waxing kwa wanawake hakuna cha maana ninachokiona ziadi ya kujidhalilisha tu.....

Wazungu wameshatuona kuwa sisi ni masakara na hatuwezi kuzitumia akili zetu ipasavyo ndio maana kila ian ya ujinga wanatuletea kwa kuamini kuwa sisi lazima tutaiga tu.....
Jiheshimu.....
 
Heheheeee KikulachoChako kama unasuta.....kwakweli kupanuana kisa kwa bibi kuwe soft sio mpango. Umenena vyema.
 
Kweli kabisa mpwa....yaani watu ni kama wamerukwa na akili vile.......yaani aibu...
Unakuta lijanamke lina watoto na wajukuu na lingine ni limke la mtu na lina watoto wakubwa walioko vyuoni.....lakini linakwenda kujichanua miguu mbele ya kijana au binti mwenye umri sawa na mwanawe au pengine kama mjukuu wake......

AIBU NA HAYA VYA MWANAMKE VIMEKWENDA WAPI MIAKA HII......sisi miaka hiyo mtu mpaka unafika miaka ishirini na tano hujawahi hata kuliona paja mwanamke na mwanamke anakuwa mtu mzima kabisa lakini hajawahi kuiona ndude ya mwanaume.....

Ndo maana kulikuwaa na jando kwa wanaume waliobalehe kwa ajili ya mafunzo ya upande wapili na mbinu za kuishi na mwanamke ikiwemo pia kumridhisha kitandani.....

Vivyo hivyo mwa wanawake kwenye sherehe zao za unyago......kwani ni mambo mageni kwao......
 
Habari wakuu,

Tupeane uzoefu kuhusu vinyoleo bora kwa sehemu zetu za siri ambazo hazikati na kuacha madonda na hatimaye mapele.

Pia ambavyo viko vizuri kunyoa nywele zetu upande ule wa uwani bila matatizo huko huwa kunanipa shida sana.

Binafsi huwa natumia viwembe vya Gilette au Laser II zilizokaa kama T.
chagua moja hapo ndo utumie.. vinapatikana mlimani mall
images
 
Bibie umenena jambo la msingi sana ambalo wanawake wenzako wengi hawalijui.....mwanamke anahitaji stara na kujithamini na sio kila mtu anapaswa kuyaona maungo yake ya siri......hapo ndio pamebeba utu wa mwanamke na ndio maana ya mwanamke hasa......sasa mtu mwenye akili timamu anawezaje kwenda kuchanua mapaja mbele ya umati kwa ajili ya tu kunyoa sehemu za siri...???

Mbona hiyo kazi hata mumeo kama ukimuelekeza anaweza kuifanya tena kwa ufanisi wa hali ya juu huku mahaba yakiongezeka....

Binafsi nimetazama video mbali mbali zinazohusu hilo tukio la waxing kwa wanawake hakuna cha maana ninachokiona ziadi ya kujidhalilisha tu.....

Wazungu wameshatuona kuwa sisi ni masakara na hatuwezi kuzitumia akili zetu ipasavyo ndio maana kila ian ya ujinga wanatuletea kwa kuamini kuwa sisi lazima tutaiga tu.....
Jiheshimu.....
Kbsaaa mtu wangu!
 
Kweli kabisa mpwa....yaani watu ni kama wamerukwa na akili vile.......yaani aibu...
Unakuta lijanamke lina watoto na wajukuu na lingine ni limke la mtu na lina watoto wakubwa walioko vyuoni.....lakini linakwenda kujichanua miguu mbele ya kijana au binti mwenye umri sawa na mwanawe au pengine kama mjukuu wake...

lol!,... easy kaka!
 
Nimeingia you tube na kuona watu wakifanyiwa Brazilian waxing nikachoka. Mimi.sikujua kama unahitaji kufanyiwa na mtu au kujichanua kwa kiasi kile!! Amakweli huu utandawazi una tumaliza. Teh teh teh.....
 
Bibie umenena jambo la msingi sana ambalo wanawake wenzako wengi hawalijui.....mwanamke anahitaji stara na kujithamini na sio kila mtu anapaswa kuyaona maungo yake ya siri......hapo ndio pamebeba utu wa mwanamke na ndio maana ya mwanamke hasa......sasa mtu mwenye akili timamu anawezaje kwenda kuchanua mapaja mbele ya umati kwa ajili ya tu kunyoa sehemu za siri...???

Mbona hiyo kazi hata mumeo kama ukimuelekeza anaweza kuifanya tena kwa ufanisi wa hali ya juu huku mahaba yakiongezeka....

Binafsi nimetazama video mbali mbali zinazohusu hilo tukio la waxing kwa wanawake hakuna cha maana ninachokiona ziadi ya kujidhalilisha tu.....

Wazungu wameshatuona kuwa sisi ni masakara na hatuwezi kuzitumia akili zetu ipasavyo ndio maana kila ian ya ujinga wanatuletea kwa kuamini kuwa sisi lazima tutaiga tu.....
Jiheshimu.....
Jambo la msingi lipi au kaelezea K Ina sura mbaya hata hawezi onyesha??mwanaume wake anamuonyesha nini sasa??why should my man see an ugly p****y while he can enjoy the benefits of a clean smooth one??mtu hata kwenda hospital checkup aona shida,Kuvaa bikini shida,kumvulia mwanaume wako kwenye mwanga shida,inahusuuu??with waxing unavoona ngozi ya paja ndivyo ya K ilivo,Ofcoz sio exactly but zinakaribiana
Mindset/perception zetu ziko tofauti
 
Waxing ukishindwa bora unyoe na mkasi tu,viwembe sio vizuri vinaharibu ngozi yako, well maybe wapo vinaowakubali
 
Back
Top Bottom