Viwembe au shaver nzuri za kunyoa nywele sehemu za siri

ina madhara gani mkuu nijulishe??mimi hiki kibibi change nataka kibaki lainiii kama ngozi ya mtoto hahahaaaaaaa
unasemea kibibi kipi? cha nyuma au cha mbele?
nimesikia madhara yake ndio na ni mabaya sana. kuna kaka alikua anapaka ili ndevu zisiote baadae alikuja kupata shida sana, unajua nywele zinaota so zinabaki kule ndani ya ngozi na madhara yake ni kuvimba sehemu husika kwa sababu nyewe zinajikusanya kule ndani
 
Jambo la msingi lipi au kaelezea K Ina sura mbaya hata hawezi onyesha??mwanaume wake anamuonyesha nini sasa??why should my man see an ugly p****y while he can enjoy the benefits of a clean smooth one??mtu hata kwenda hospital checkup aona shida,Kuvaa bikini shida,kumvulia mwanaume wako kwenye mwanga shida,inahusuuu??with waxing unavoona ngozi ya paja ndivyo ya K ilivo,Ofcoz sio exactly but zinakaribiana
Mindset/perception zetu ziko tofauti
Mekupenda ghaflaa
 
Uvivu ukizidi unasumbua akili. Hivi unaweza kwenda kujianika saluni kunyoa mavuz.i?
 
Bibie umenena jambo la msingi sana ambalo wanawake wenzako wengi hawalijui.....mwanamke anahitaji stara na kujithamini na sio kila mtu anapaswa kuyaona maungo yake ya siri......hapo ndio pamebeba utu wa mwanamke na ndio maana ya mwanamke hasa......sasa mtu mwenye akili timamu anawezaje kwenda kuchanua mapaja mbele ya umati kwa ajili ya tu kunyoa sehemu za siri...???

Mbona hiyo kazi hata mumeo kama ukimuelekeza anaweza kuifanya tena kwa ufanisi wa hali ya juu huku mahaba yakiongezeka....

Binafsi nimetazama video mbali mbali zinazohusu hilo tukio la waxing kwa wanawake hakuna cha maana ninachokiona ziadi ya kujidhalilisha tu.....

Wazungu wameshatuona kuwa sisi ni masakara na hatuwezi kuzitumia akili zetu ipasavyo ndio maana kila ian ya ujinga wanatuletea kwa kuamini kuwa sisi lazima tutaiga tu.....
Jiheshimu.....
Hiyo waxing kwani ananyolewaa na mtu
 
Back
Top Bottom