TUNTEMEKE
JF-Expert Member
- Jun 15, 2009
- 4,587
- 579
Siyo kulaumu wawekezaji, kuna kampuni ya ukaguzi wa madini enzi zile ikiitwa stewart assayer na sasa TMAA, wanakagua uzalishaji wote na kabla mzigo haujatoka site, TRA huwa wanakuja kufanya auditing na kujiridhisha kweli kila kitu ni sawa , sasa tatizo ni baadhi ya wabunge wetu ( wanasiasa ) kama Steiven Masele ambaye hata hajui anachoongea , kafumu anazungumzia kitaalamu, masele anajibu kisiasa fani ambay hata haijui shame to you, pia unaleta mzanzibar kuwa mjumbe kwenye hii bodi ambaye hata uwezo wake wa kufikiria ni mdogo na anawakilisha watu waziozidi elf tatu ambao karibu wote ni wavuvi , hawezi toa hoja dhaifu kiasi hicho, labda iwe TMAAna TRA hatuwaamini ndiyo hao watu wawe wanatorosha mali, kwa watu makni na wabunge makini you cannot just shout bila kujua basis ya unachokisema kama masele ambaye in fact hata ubunge hakushinda maana hana uwezo wa kufikiri zaidi tu ya kubebwa na mafisadi ambao lengo lao ilkuwa ni kufukuza kamouni zote za kigeni na Caspian ya Rostam aziz ichimbe madini nchini , bashe na masele wangekuwa maafisa wakuu kwenye kampuni hiyo