Viwanja Kigamboni

ni_mtazamo_tu

Senior Member
Oct 17, 2012
153
20
habari zenu.
nauza viwanja vyangu vilivyopo kigamboni eneo la kibada wilaya ya temeke. viwanja vyote viwili vipo block 19 kibada.
kiwanja cha kwanza ni kiwanja namba 395 kina 1002 square metres na id ya kiwanja 226655. kiwanja hichi ni commercial na residential na kimelipiwa kila kitu na kina hati , bei ya kuuza inaanza milioni 45 za kitanzania.

kiwanja cha pili ni kiwanja namba 315 kina 902 square metres na id ya kiwanja ni 226568. kiwanja hiki ni residential na kimelipiwa kila kitu na kina hati, bei ya kuuza ni milioni 35 za kitanzania.

viwanja vyote viwili vipo kwenye kona.
nimeambatanisha picha za ramani unaweza kuona vilivyo na vilipo.

kwa atakayehitaji naomba awasiliane nami kwenye 0786 252026.
angalizo:- utawasiliana na mwenye mali na si dalali.
 
Attachments

  • 20140629_163019.jpg
    20140629_163019.jpg
    405.2 KB · Views: 241
  • 20140629_163008.jpg
    20140629_163008.jpg
    383.5 KB · Views: 204
  • 20140629_162921.jpg
    20140629_162921.jpg
    400.1 KB · Views: 193
  • 20140629_162838.jpg
    20140629_162838.jpg
    411.3 KB · Views: 197
habari zenu.
nauza viwanja vyangu vilivyopo kigamboni eneo la kibada wilaya ya temeke. viwanja vyote viwili vipo block 19 kibada.
kiwanja cha kwanza ni kiwanja namba 395 kina 1002 square metres na id ya kiwanja 226655. kiwanja hichi ni commercial na residential na kimelipiwa kila kitu na kina hati , bei ya kuuza inaanza milioni 45 za kitanzania.

kiwanja cha pili ni kiwanja namba 315 kina 902 square metres na id ya kiwanja ni 226568. kiwanja hiki ni residential na kimelipiwa kila kitu na kina hati, bei ya kuuza ni milioni 35 za kitanzania.

viwanja vyote viwili vipo kwenye kona.
nimeambatanisha picha za ramani unaweza kuona vilivyo na vilipo.

kwa atakayehitaji naomba awasiliane nami kwenye 0786 252026.
angalizo:- utawasiliana na mwenye mali na si dalali.

Current market price ya viwanja vyote vyenye hati maeneo yote ya Kigamboni ni Tzs.7,000 - 10,000/= per square metre.

Mkuu mbona bei yako ni ya kichuuzi zaidi?
Hata kama wewe ni dalali bado hiyo ni bei ya ki- uranguzi zaidi.
Shusha bei nivichukue vyote.
 
ndugu hii ni biashara wala sio malumbano ya hoja wala ugomvi. ni maridhiano ya pande mbili. mm ndio mwenye mali na wala si dalali, namba nimeweka hapo tunaweza kuongea biashara kwa kukubaliana bei na sio kupangiana bei ya kuuza. kama unaamini hio ndio current price basi jaribu kutafuta sehemu hio kama utapata na usishangae ukiona wengine wanauza zaidi ya hapi. shukran
 
Current market price ya viwanja vyote vyenye hati maeneo yote ya Kigamboni ni Tzs.7,000 - 10,000/= per square metre.
Mkuu hizo ni bei za serikali,na serikali inaanzia Tsh 8000 mpaka 15000 kulingana na low au high density na location kama ni beach plot.Kwa watu binafsi wengi wanaanzia Tsh 9000 mpaka 20,000.Ila kwa kibada sijui kuna nini maana bei za hawa watu ni kuanzia Tsh 25,000 tofauti na sehemu zingine za kigamboni.

Sijui nini kinachofanya kibada iwe tofauti,sijui ni miradi ya mashirika ya hifadhi ya jamii pamoja na NHC.Hawa wa kibada Wao walinunua kwa halmashauri kwa bei ya Tsh 6000 miaka hata minne haijapita ila bei wanazouzia ni hatari.

Ila ndio biashara huria kwahiyo huwezi kumlaumu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom