fundi msati
JF-Expert Member
- Aug 22, 2013
- 203
- 67
Habari ndugu wana jamhuri ya muungano wa watanzania, nauza moja kati ya viwanja hivi.
1. Ukubwa wa ft 50X50 vipo 3, kimoja nauza
Kuna cha sh, 3,600,000 kimoja na 2,500,000 viwili
2. Ukubwa wa ft 40X44 kipo kimoja
Sh 2,000,000
Viwanja vyote hivyo vipo sehemu moja lakini sio kwamba vimepakana vilivyo pakana ni viwili vyenye ukubwa wa 50X50 ila hivyo vingine vipo mbali mbali hapa nieleweke kuwa namaanisha ukifika eneo ambalo viwanja vipo hautofanya safari ya kwenda kwengine ila utatoka kwenye kiwanja hiki utakwenda kwenye kiwanja kingine.
Sifa ya viwanja hivi ni kuwa havina mgogoro wa aina yeyote ile sio kifamilia wala serikali haviuzwi kwa mtu zaidi ya mmoja
Kila kiwanja kimeachwa ft 5 za njia naamaanisha ukinunua ft 40 kwa mfano basi unapata hiyo 40 bila kuwaza kuacha njia pande zoto kuna ft za njia tayari.
MUHIMU
tafadhari ukiwa dalali tafadhari usinitafute ukiwa mnunuzi kuwa huru kuwasiliana nami
Mnunuzi atawajibika kulipia gharama zote za uwandikishaji maana nijikumu laki kuwa na hati inayo aminika kwaajili ya kiwanja chake
Kila upande yani mnunuzi na muuzaji atawajibika kwa mashahidi wake
Mnunuzi atalazimika kuja na passport size siku ya kufanya mauziano
Asante mawasiliano ya awali ni
E-mail fundimsati@gmail.com