VIWANJA 20m x 20m. Bei poa ya kutupa!!! Unapewa na Hati ya kumiliki

Apr 4, 2012
56
3
Viwanja vinauzwa 'direct' bila kuhusisha madalali, viko Vianzi, wilaya ya Mkuranga mwendo wa dakika 45 kwa gari toka Mbagala Rangi 3.

Vimekatwa mita 20 kwa mita 20 na vinauzwa tsh. laki tatu tu, kwa kila kiwanja. Bei imejumuisha malipo ya ushuru wa kijiji na ukishalipia Laki tatu unapewa Hati ya kumiliki kiwanja chako iliyosainiwa na Viongozi husika wa Kijiji cha Vianzi.

Vimebaki vichache sana, anayewahi kulipia cash ndiye atakayepata. Nipigie simu au sms: 0718-617-522.

Jinsi ya kufika: pale Mbagala Rangi 3 panda basi la Vianzi Malela, shukia njia panda ya Manyani kuna barabara ndogo ya gari ifuate, mwendo wa robo saa kwa mguu utafika. Au ukishuka tu hapo Manyani, nipigie simu nikupe kijana wa kukuonyesha.

Karibuni sana, 'VIWANJA NA NYUMBA'. 0718-617-522.
 
mkutano wa kijiji umehusishwa hapo? unajua taratibu za kununua ardhi ya kijiji? mtaliwa nyie...shauri zenu.
 
Jamani mi inaomba tu tuuwe waungwana wakuulizia mpaka kieleweke
KWELI MIMI NATAKA NIPATE DETAILS ZAIDI KUTOKA KWA ALIYETOA TANGAZO HILI
JE TARATIBU ZOTE ZIMEFUATWA ZA KUUZA ARDHI? NINGEPENDA KUFAHAMU KWAMAB JE VINA HATI HALISI YA ARDHI AU HATI ZA MWENYEKITI WA SERIKALI YA MTAA?
MIMI NAPENDA MAENEO HAYO SANA ILA HOFU ZANGU NI HIZO NAOMBA MUHUSIKA ANIJIBU KABALA SIJAPIGA SIMU YA KUJA KUPAONA
0713 68 96 65
 
Nawatoa hofu, najua jiji limejaa matapeli wanaozalisha migogoro ya ardhi kila kukicha. Kijiji cha Vianzi kina utaratibu mzuri sana wa kuuza ardhi. Mkutano wa kijiji unahusika mara moja tu pale sehemu ya ardhi ya kijiji inapouzwa kwa mwekezaji wa kwanza. Baada ya hapo mwekezaji anapoamua kuuza sehemu ya ardhi yake, utaratibu ni kutoa hati kwa mmiliki mpya na ndivyo itakavyofanyika kwenu mtakaonunua viwanja hivi.

Karibuni mnunue kwa halali bila ya kutapeliwa hela zenu.

'VIWANJA NA NYUMBA' 0718-617-522.
 
Mh! haya haya , jamani nawaomba msinunue viwanja bila kuuliza ardhi 1MIRADI YA SERIKALI IMEZIDI SASA , kila mmoja anataka kula kupitia MIRADI, ukinunua kesho utaambiwa kuna mradi fulani ! husisha ardhi tafadhali usije kulia kama wakaazi wa Bagamoyo na Kigamboni Kikwete anataka KUIUZA DARESALAAM NA VITONGOJI VYAKE KABLA HAJAONDOKA KATIKA URAIS....
 
Huko wachawi sana, wilaya ya temeke inagundu wako wamatumbi na wandengereko kazi yao kubwa ni kuroga tu. Mi sikutaki hata kama ingekuwa bure.

Muhongo huu unaendekeza haya mambo!!!????. Ama kweli duniani kuna mambo, Uchawi ni popote Altitude yako tu ndo itakuhukumu
 
Mh! haya haya , jamani nawaomba msinunue viwanja bila kuuliza ardhi 1MIRADI YA SERIKALI IMEZIDI SASA , kila mmoja anataka kula kupitia MIRADI, ukinunua kesho utaambiwa kuna mradi fulani ! husisha ardhi tafadhali usije kulia kama wakaazi wa Bagamoyo na Kigamboni Kikwete anataka KUIUZA DARESALAAM NA VITONGOJI VYAKE KABLA HAJAONDOKA KATIKA URAIS....

Kuhusu Miradi ya Serikali kuu, ni jambo la msingi sana na kwa eneo husika jambo hilo limezingatiwa.

Faida mojawapo ni uwezekano wa uwanja mpya wa Ndege kujengwa maeneo ya Tundwi jirani na kijiji cha Vianzi, hivyo baadae patakuwa mjini kabisa.

Karibuni, 'VIWANJA NA NYUMBA' 0718-617-522.
 
Nimeanza kupokea simu toka kwa wenzetu walioko nje ya nchi, nawashukuru sana maana wanachangamkia zaidi ya wale wa hapa nyumbani.

Ndugu zangu, hii ni fursa adimu. Mkumbuke hata Sinza na Mikocheni miaka ya nyuma palikuwa chaka/pori. Amkeni, vimebaki viwanja 18 tu.

Asanteni, 'VIWANJA NA NYUMBA' 0718-617-522.
 
Kabla sijasahau, niliona uzi mmoja hapa JF una kichwa cha habari 'ushamba wa simu za gharama' Hebu 'great thinkers' tazameni fursa ya kupata kiwanja kwa bei sawa na simu ya mkononi ya tsh.laki tatu!! Ikipotea au ikiibiwa, laki3 kwishney! Lakini kiwanja hicho ni urithi wa wanao, na mali ya thamani sana isiyohamishika.

Linalowezekana leo kwa nini lingoje kesho?

'VIWANJA NA NYUMBA' 0718-617-522.
 
Viwanja na Nyumba,
Naomba email yenu nataka kuwasiliana na ninyi kwa mambo ya kununua nyumba eneo fulani
Asate kunipatia email yenu
 
Mie nina kiwanja mitaa hiyo heka 1 jirani na vikindu mjini nauza milioni 3. Saabu ya kuuza natafuta ada ya chuo.
Hati ipo na ikiwezekana tuuziane mahakamani kwa usalama zaidi.
 
By the way, kwa wale mlioko mbali mnaweza kulipia viwanja vyenu kupitia TIGO PESA 0718-617-522. Lipia na utume sms ya jina unalotaka liandikwe kwenye hati.

Karibuni, 'VIWANJA NA NYUMBA, 0718-617-522.
 
Tigo pesa hatuitaki ina risk sana kwa mfano ukikosea namba moja ikaenda kwa mtu mwingine ukiwapigia customer care hawapatikani hata ukiwapata wanakuambia ufuatilie mwenyewe, tuwekee no ya M-pesa yenye uhakika na jina la usajili wahiyo laini,nataka kutuma laki sita ndio nije hapo unikabidhi vyangu zangu viwili.

By the way, kwa wale mlioko mbali mnaweza kulipia viwanja vyenu kupitia TIGO PESA 0718-617-522. Lipia na utume sms ya jina unalotaka liandikwe kwenye hati.

Karibuni, 'VIWANJA NA NYUMBA, 0718-617-522.
 
Viwanja vinauzwa 'direct' bila kuhusisha madalali, viko Vianzi, wilaya ya Mkuranga mwendo wa dakika 45 kwa gari toka Mbagala Rangi 3.

Vimekatwa mita 20 kwa mita 20 na vinauzwa tsh. laki tatu tu, kwa kila kiwanja. Bei imejumuisha malipo ya ushuru wa kijiji na ukishalipia Laki tatu unapewa Hati ya kumiliki kiwanja chako iliyosainiwa na Viongozi husika wa Kijiji cha Vianzi.

Vimebaki vichache sana, anayewahi kulipia cash ndiye atakayepata. Nipigie simu au sms: 0718-617-522.

Jinsi ya kufika: pale Mbagala Rangi 3 panda basi la Vianzi Malela, shukia njia panda ya Manyani kuna barabara ndogo ya gari ifuate, mwendo wa robo saa kwa mguu utafika. Au ukishuka tu hapo Manyani, nipigie simu nikupe kijana wa kukuonyesha.

Karibuni sana, 'VIWANJA NA NYUMBA'. 0718-617-522.
Dakika 45 kwandege hupo Lugumbash wewe unaenda Vianzi!
 
kwa hesabu za harakaharaka we ni mwizi kwani unapiga debe sana mpaka unawazidi nw wanasiasa uchwara wa bongo
 
Back
Top Bottom