Viwango vipya vya alama ACSEE 2014

Kibundi wa getto

JF-Expert Member
Sep 28, 2013
455
875
E=35-44,D=45-54,C=55-64,B=65-74,A=75-84,A+=85-100.Kama nilivyokua nimesema ktk thread yangu ya awali kuwa alama "S" imefutwa.Lakin point za kujiunga vyuo vikuu zipo vilevile yani:A+=5,A=4,B=3,C=2,D=1 na E=0.5. Source:MAKAMISHINA WA ELIMU KUTOKA NECTA WALIKUJA KTK SHULE YA BENJAMIN NA KUFAFANUA
 
Sasa wanatuchanganya!!! Kwani zile za awali zina tatizo gani?? Wajiandae na vyuo hakutakuwa na wanafunzi kwa pass mark hizi!!!! Kwanza zile za Olevel kuingia advance ziko chini!!!! Unategemea Alevel apate kubwa sana!!! Use your brain to connect the dots!!
 
Tatizo NECTA hamna kitu kabisa ni waganga njaa tu kwa hiyo watacheza sana muziki wa wanasiasa bila kuweka uzalendo kwa nchi yetu. Lazima washushe viwango kukidhi matakwa ya BRN
 
E=35-44,D=45-54,C=55-64,B=65-74,A=75-84,A+=85-100.Kama nilivyokua nimesema ktk thread yangu ya awali kuwa alama "S" imefutwa.Lakin point za kujiunga vyuo vikuu zipo vilevile yani:A+=5,A=4,B=3,C=2,D=1 na E=0.5. Source:MAKAMISHINA WA ELIMU KUTOKA NECTA WALIKUJA KTK SHULE YA BENJAMIN NA KUFAFANUA

Noma sana...!chuo ni principle mbili with minimum point 2....,wakati huo unaambiwa E ni 0.5 duuh kazi sasa kwa PCM na PCB wazee wa E E F
but hope watalegeza kwenye ACSEE

mtazamoo tuu.
 
Mkuu aafu hapo juu F sijaiona!
 
E=35-44,D=45-54,C=55-64,B=65-74,A=75-84,A+=85-100.Kama nilivyokua nimesema ktk thread yangu ya awali kuwa alama "S" imefutwa.Lakin point za kujiunga vyuo vikuu zipo vilevile yani:A+=5,A=4,B=3,C=2,D=1 na E=0.5. Source:MAKAMISHINA WA ELIMU KUTOKA NECTA WALIKUJA KTK SHULE YA BENJAMIN NA KUFAFANUA

Sasa wale form six waliomaliza kuanzia mwaka 2013 kushuka chini na hawakwenda vyuoni jee wataomba vyuo kwa mfumo upi?
 
cjakububaliana na hicho kitu amin kuwa viwango vya a level havibadilik cio wote watakaopata alama 34 nakuendelea mwenye zero upto 33 atakua hajafanya mtihan? na hakuna F ya 0-33
 
Ndio wakuu,F=0-34.,Nakuhusu kuomba vyuo sheria ni ileile point 2 yan kwa mfumo wa sasa ni D mbil ambazo ndio principal kwa sasa.Wale form 6 wa zaman wataendelea na alama za zaman kwa kuzngatia zaman ilikua hiv:A=5,B=4,C=3,D=2,E=1 na S=0.5,Sasa apa ukiangalia hakuna mabadiliko makubwa ya mpangilio sasaivi ni:A+=5,A=4,B=3,C=2,D=1 na E=0.5,yan ukiangalia ni siasa ndio imetumika lakin hakuna jambo kubwa sana la ajabu hapo
 
E=35-44,D=45-54,C=55-64,B=65-74,A=75-84,A+=85-100.Kama nilivyokua nimesema ktk thread yangu ya awali kuwa alama "S" imefutwa.Lakin point za kujiunga vyuo vikuu zipo vilevile yani:A+=5,A=4,B=3,C=2,D=1 na E=0.5. Source:MAKAMISHINA WA ELIMU KUTOKA NECTA WALIKUJA KTK SHULE YA BENJAMIN NA KUFAFANUA

Labda 0-34 ndo itakuwa F au ni kitu gani maana S haipo na 0-34 hatujajua kama zitakuwa kitu gani au ...?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom