viunganishi, vivumishi na vihisishi

badshah

Member
Mar 16, 2013
51
32
Siku hizi matusi yamekuwa ni viunganishi, vivumishi na vihisishi katika Lugha ya kiswahili. Angalia sentensi hizi hapa chini:

1. Dah yaani we ni Mxx..nn..zz!! ile mbaya umeweza kuruka pale!!!

2. nilipomuona tu! K..um..@ ni..n@ nikarudi haraka sana.

3. wakati wanapigana pale yaani we acha tu Ms...£ng..£ akarusha ngumi ikampata ya uso.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom