young arrogant
JF-Expert Member
- Jul 28, 2015
- 267
- 439
Mzee uko vizuri..Iko mwishoni kabisa mwa soko kuna uchochoro mtu akipita hapo hajulikani anaenda gesti au anataka kutokea upande wa pili... Nyingine ilikuwa pale Barabarani kabisa
Salute kwako..
Mtaa kwa mtaa....