Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

Mwananyama kwa utemi sasa kila kona kuna Gym, kuanzia vijana, komakoma, A, kisiwani kwa kidile...mirembe gym(hapa kuna gudu, dole) kwa mwalami gym( salum kiwiku) one nil gym( obede ngumu jiwe) bwawani huku kwa stevn nyerere (manchester gym shafii mashetani, albeto)...utemi utemi tu ktk mechi za mchangani LIGI ZA MBUZI game inapigwa pekupeku hio na wanaocheza ni baba flani watu wazima kabisa ndio alipotokea KANIKI huwa game aimaliziki lazima kiwake tu
Shafii mazoezi kaacha askari walivamia gym wakaondoka na vifaa vyote.

Ila kama haujahama huku updates zao utakua nazo
 
Dah! Nimewahi kuishi mitaa hiyo miaka ya 2002 nyuma ya kamanyola kwenye nyumba ya mchaga mmoja mtata anaitwa mzee Shayo jirani na kwa familia ya superman waarabu wa malori sijui kama bado wapo watu hao
 
Interview inaendelea mzee concord kafariki kwa wale wanaomjua
mshana juzi tulivyokuwa kibaha tulimuongelea huyu hatukujua km kashavuta kumbe
gari yake anaipiga service mwenyewe kaipaki kibaraxani kwake anaipiga jeki na ovaroli anazamchini
ana mikogo balaa
Me nimezaliwa A nimesoma mwananyamala B ile ya mwalimu Ndeka ninachokumbuka Ni mishkaki ile ya mia na kingine hapo minazini kuna nyumba pembeni inauza unga toka nipo mdogo mpaka leo halaf mbele kidogo kama unataka kwenda sokoni kushoto kulikua kuna nyumba imejaa mashoga wakina zungu yaan tukipita tukitoka shule tunawashangaa
shunie kumbe mtoto wa mwananyama enzi ya NDEKA nakupa list lazima hawa maticha lazima uwafahamu
NDAGO la kwanza darasa lake lipo juu mlango unaangalia unaangalia geti la shure chumba cha kwanza njia ya kwenda assemble upande wa msikitini Huyu ticha kawafundisha wadangaji na wezi wote wa mwananyamala

MWAMBOLA akiwa zamu ukinunua askrimu anakuachia upite ila anagonga fimbo balaa

MANYANGA kazi yake kutongoza wanafunzi

MWANACHIA anapiga balaa

MBOGOLO mguu mbovu huyu ticha hakuna muhuni wa mwananyamala asomjua

getini enzi tunasoma alikuwa mlizi wa kimasai LAZARO mwalimu mkuu mwakatobe

enzi niliosoma MWANANYAMALA B choo kilibomoka tukawa tunarudi saa nne mpk kilipojengwa choo kingine bila kumsahauTicha MALIPURA wa la SABA kujinadi anao mtihani na majibu ya mtihani wa la saba taifa

vipi la saba la Ticha MADANDI ulikuwepo mkali wa MATH kipindi hicho tunapiga tuiton kwa Ticha maiko Ujiji Tumegawanywa kwa DALASA la A ndo wenye AKILI ukiwa F au E we kilaza wa kutupwa

itakuwa umekula sana miogo ya MZEE MSIBA na ndizi za MAMA ABDALAH canteen pale ha ha ha
 
Kombe la Dunia Mwaka 199O
Mwananyamala nzima..
TV tulikuwa tunaangalia kwa Mzee Tabu Jumanne Mangala..
alikuwa Mkuu wa Jeshi la Magereza...
Lazima Uoge ndo uingie ukacheki Game ndani
Tena TV ilikuwa inawekwa nje uani.....
Hahaha mzaramo huyo alikua pisi sana
 
Diamond alikua anakuja hapo karibu na kituo cha polisi alipokua anakaa Halima Kimwana kuja kummega demu mmoja hivi. Enzi hizo yupo na Wema.

Kuna maskani inaitwa Nipe Dili siku hiyo inazinduliwa alikuwepo Diamond, Shetta, Bambo, Khadija Kopa, yaani wasanii kibao.
Halafu uwanja wakawa wanashea na mmama mmoja hivi anamtoa mwanae mwali.

Manina wakina Diamond kila wakipanda stejini umeme unapungua nguvu muziki hausomi, huku kwenye kigodoro cha mwali wetu mambo ni moto.

Yule mama yule acha tu
 
mshana juzi tulivyokuwa kibaha tulimuongelea huyu hatukujua km kashavuta kumbe
gari yake anaipiga service mwenyewe kaipaki kibaraxani kwake anaipiga jeki na ovaroli anazamchini
ana mikogo balaa

shunie kumbe mtoto wa mwananyama enzi ya NDEKA nakupa list lazima hawa maticha lazima uwafahamu
NDAGO la kwanza darasa lake lipo juu mlango unaangalia unaangalia geti la shure chumba cha kwanza njia ya kwenda assemble upande wa msikitini Huyu ticha kawafundisha wadangaji na wezi wote wa mwananyamala

MWAMBOLA akiwa zamu ukinunua askrimu anakuachia upite ila anagonga fimbo balaa

MANYANGA kazi yake kutongoza wanafunzi

MWANACHIA anapiga balaa

MBOGOLO mguu mbovu huyu ticha hakuna muhuni wa mwananyamala asomjua

getini enzi tunasoma alikuwa mlizi wa kimasai LAZARO mwalimu mkuu mwakatobe

enzi niliosoma MWANANYAMALA B choo kilibomoka tukawa tunarudi saa nne mpk kilipojengwa choo kingine bila kumsahauTicha MALIPURA wa la SABA kujinadi anao mtihani na majibu ya mtihani wa la saba taifa

vipi la saba la Ticha MADANDI ulikuwepo mkali wa MATH kipindi hicho tunapiga tuiton kwa Ticha maiko Ujiji Tumegawanywa kwa DALASA la A ndo wenye AKILI ukiwa F au E we kilaza wa kutupwa

itakuwa umekula sana miogo ya MZEE MSIBA na ndizi za MAMA ABDALAH canteen pale ha ha ha
hatukujua kumbe tulikuwa tunamsema marehemu... Mzee alikuwa mtata sana yule
 
Kombe la Dunia Mwaka 199O
Mwananyamala nzima..
TV tulikuwa tunaangalia kwa Mzee Tabu Jumanne Mangala..
alikuwa Mkuu wa Jeshi la Magereza...
Lazima Uoge ndo uingie ukacheki Game ndani
Tena TV ilikuwa inawekwa nje uani.....
sio dhani ila MAMA MKAMBA wa royal alikuwa TV anayo tayari hata marehemu MZEE mtambo wa wa kwa mama zakalia TV alikuwa nayo pia
 
Back
Top Bottom