Vituko vya Bibi Fisi: Mchawi aliyetikisa Kanda ya Ziwa

nilikuwa naishi bugarika kipindi hicho na baadae igogo napafahamu sana hapo maana tulikuwa tunapita hapo pembeni mwa kijumba chake na lami iliikwepa hicho kijumba aisee ilishangaza sana sana,ni kweli bibi fisi story zake zinatisha lakn sisi wenyeji tulimzoea kawaida kabisa na wakati tunaenda shule tunapita hapo miaka yote saba jumlisha minne aiseee
 
Uchawi hauna kwao, uko kila mahali
Uchawi ni akili yako na kwa maana hiyo walichotuzidi wenzetu weupe ni uchawi
Hakuna jina la kike nalipenda kama Fatima..Yani sijui kwa kuwa mwanamke ninae pendana NAE anaitwa jina hilo..Yani huwa najisikia amani na furaha ya ajabu nikutanapo na mwanamke mwenye jina hilo..

Ooh Fatma wangu eeh umenipa dawa gani mie...au umenilisha limbwata la kusini
 
Wengine wanasema Bibi huyu aliitwa Bibi Fisi kwa sababu alikuwa anafuga Fisi kwa ajili ya shughuli zake za ulozi na uchawi.
Watu wanasema ukanda huo kufuga fisi ni kawaida kwa wale manguli wa ndumba.

Wakati wa kampeni 2015 kulienea uvumi kuwa a learned brother from Havard alicheza na fisi laivu bila chenga.

Kama kuna atakaekuwa na picha yake ni vyema akatuwekea hapa!
 
imani potofu, aliogopwa na wachawi wanzake...

ukitengeneza mindset ya kuwa kuna imani za kishirikina basi lazima zikutese kwenye maisha yako yote...

nashukuru mleta uzi lipo jambo linalojengeka kwenye akili yangu, kuwa Nyerere aliona mbali na kuna wakat nasema kukutana na aina ya watu kama hawa ndio kukaa kutafakar na kusema kuna maadui Ujinga, Maradh na umasikini
 
Llll
nlikuaga nikimsikia na story zake[]
Lbyrplolls
Watu wanasema ukanda huo kufuga fisi ni kawaida kwa wale manguli wa ndumba.

Wakati wa kampeni 2015 kulienea uvumi kuwa a learned brother from Havard alicheza na fisi laivu bila chenga.

Kama kuna atakaekuwa na picha yake ni vyema akatuwekea hapa!

Huyo learned brother ni hatari sana..hata jina lake la ubini linamaanisha " moto wa kichawi "
 
Kigagula huyu inasemekana alikuwa na nguvu kubwa sana za kichawi na inasemekana kuwa alikuwa mmoja kati ya wachawi waliokuwa katika ranks za juu kabisa katika ufalme wa kichawi wenye makao yake makuu katika mkoa wa Shinyanga ( now Bariadi) katika eneo ambalo linajulikana kama Gamboshi ( ile isiyo onekana )

KIFO CHAKE : Bibi Fisi alikufa kwa kuuwawa na watu wanao sadikiwa kuwa majambazi mwaka 2000 akiwa na umri unaokadiriwa 100 na zaidi..On the fateful day MWILI usio kuwa na uhai ( Lifeless body )wa bibi Fisi ulikutwa chumbani kwake ukiwa umekatwakatwa mapanga
Nguvu kubwa/Ranks za juu Gamboshi bado akafa kwa panga??.. Umepasikia vizuri Gamboshi lakini!?..
 
Mwanamalundi ndio yule alikuwa anakunya juu ya mti mwisho wa siku akaja kujiroga kupitia kinyesi chake mwenyewe, ha ha ha ha ha uchawi unachekesha sana.
Hahahahahaha.....mhuni alibeba kinyesi cha mwanamalundi na kwenda kukiweka mlangoni mwa nyumba ya mwanamalundi, mwananamalundi kufika akadhani ni mtu amejisaidia mlangoni pake akamlaani mtu mmiliki wa kile kinyesi pasi na kujua ni chake😎😎😎😎😎 ina maana signal za uchawi wake zilishindwa ku detect kuwa ule ni mzigo wake😎😎😎😎😎😎.
 
Back
Top Bottom