Vituko jeshini

HP1

JF-Expert Member
Feb 4, 2012
3,362
874
Wana JF ningependa sana tujikumbushe mambo yaliyokuwa yanajiri katika kambi za jeshi. Wale waliopitia jeshini, wanajeshi na wanaofahamu vituko vya jeshi watuambie.

Siku moja afande aliwakuta makuruta wakiwa wanapiga stori zao. Afande kwa hasira akawaonyesha kibao na kusema "Arooo hamjui kusoma? hapa pameandikwa NO SMOKING maana yake MSIPIGE KERERE.."
 
:A S embarassed:ha ha ha ha ha ha
 
kuruta alikuwa anaumwa.Afanda wake akamtafuta kumjulia hali na kumwuliza, "We kuruta! Hali yako vipi?
KURUTA:"Ninaimprove afande!"
AFANDE:"Sarare! Unaimpluvu? Ugonjwa mgeni huo.Itabidi uende Muhimbiri!"
 
Kuruta akiwa mbali na msururu wa chakula alikutwa na afande ikawa kama hivi;

Afande: Mbona umekaa pembeni wakti wenzio wako kwenye FORENI?

Kuruta: Sina appetite afande

Afande: Aaah mbona wenzako wanazo mbiri mbiri si waambie wakugawie?
 
nakumbuka tulikuwa na disko sasa kila msichana hataki kucheza na afande wakati huo tumechana afro na pekoz enzi hizo bwana kumbe iliwauma tulimaliza disko saa 7 kufika saa 8 tukatolewa nje tusiosuka twende kilioni wacha turushwe kichura kumbe hasira ya kukata kucheza nao
 
Afande alitukuta tumekaa akatuambia kuruta kavaeni green vest za kijani...mkuu hapo ukicheka tu unao anaweza hata kulia eti umemtukana
 
Mmevunja mbaya! Nakumbuka nikiwa xucl machal flan nikuwackia wakitafsiri hili neno
"LAST WORNING" eti ni "KOSA LA MWISHO"
 
Afande alimpa adhabu kuruta ya kusukuma ardhi (push ups). Akawa anaamrisha up down up down... Kuna muda kuruta alikuwa amechoka amelalia tumbo afande akaendelea kusema DOWN huku akionyesha kwa mkono kuwa anyanyuke juu jamaa aliendelea kulala uso ukiwa kwenye mchanga. Afande akamwita mwenzake kwa sauti akisema "...Aroooooo potiiiii hiri ri jamaa harierewi kiingereza.."
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom