Umenikamata mkuu Excy.
Hivi wewe ndio yule Excellent?[
Ndo huyu huyu mkuu ukiingia desk top kwenye hz chainiz ze2 utamuona na kaavartar kake kanakotia huruma...KUMBE NI MSH.ez...izzzzzz......BWALAAZzaaazz. [just utani mkuu excellent].
kupumua ukiwa umetoa ulimi nje inawezekana
duh,hata mimi umenikamata
mmmmmmmmh mbona ulimi ukitoa nje unaema au nikufundishe
Namba moja sawa, ila 2, 3 naweza kufanya, cheza na mimi weye, may be ungesema kuosha macho kutumia pilipili
Kuna waoweza bana. Hah kuna waliovunja record nini pilipili bana.