Vitu vitatu ambavyo huwezi kuvifanya

1.Kuhesabu nywele zako
2.Kuosha macho kwa kutumia sabuni
3.Huwezi kuhema ukiwa umetoa ulimi nje.

Mmmh hebu rudisha ulimi wako ndani nakuzingua tu!

Namba moja sawa, ila 2, 3 naweza kufanya, cheza na mimi weye, may be ungesema kuosha macho kutumia pilipili
 
1.Kuhesabu nywele zako
2.Kuosha macho kwa kutumia sabuni
3.Huwezi kuhema ukiwa umetoa ulimi nje.

Mmmh hebu rudisha ulimi wako ndani nakuzingua tu!


Mkuu umenikamata hapo, nilikuwa kama chizi kwa sekunde kadhaa, kuanzia sasa ntasoma mpaka mwisho ndo nireact. teh teh.
 
Tatizo ulikuwa unataka kuhakikisha kitu unachofahamu
kweli mkuu, ndo maana nlikuwa napumua huku najiuliza, 'mbona jamaa katuingiza mkenge?' ile naamua nimalizie kusoma afu nireply kwa nguvu zote, ndo nikakuta kwamba niko 'busted'! Ha ha.
 
Back
Top Bottom