Vitu 3 ambavyo kamwe kijana hutakiwi kuvifanya

Mhaya

JF-Expert Member
Aug 20, 2023
1,658
4,866
Narudia tena, vitu vitatu ambavyo kijana wa kiume atakiwi kuvifanya:

1) Usijaribu kumlipia Ada au kumsomesha demu wako.
2) Usijaribu kumsaidia demu wako kupata kazi au ajira.
3) Usijaribu kumnunulia demu wako gari hata upewe limbwata gani.

Amini kwamba, akishafika juu, mkilingana au akikuzidi kimafanikio atakuacha & atatafuta mwanaume mwingine aliyebora zaidi kimaisha.

Muachie afanye jitihada mwenyewe za kufika juu kimafanikio, la sivyo ukijitia kimbele front utaangukia pua.
 
Ushauri mzuri ilikuwa ni USIZINI.

Neno DEMU hutumiwa na Wahuni. Wazinifu.

Ushauri wa maana ulikuwa ni vijana Oeni muanzishe Familià.
Mke anasomeshwa
Anatafutiwa kazi
 
Sema kwa vijana ambao bado wanajitafuta, ila kwa ambao wameshayapatia maisha hivyo ulivyotaja ni vitu vidogo sana, yani ada ya milioni 2 nisilipe utamu upate elimu?

Nikiwa na hela nasomesha hadi ma shemeji.. Ni sehemu ya maisha

Kama kijana unajitafuta nakushauri achana na wanawake, kwa sababu unaweza ukawa na mwanamke wako mzuri, wenye hela wakawa wanamsomesha, kumpa ajira na kumnunulia gari, na bado anakupenda
 
Narudia tena, vitu vitatu ambavyo kijana wa kiume atakiwi kuvifanya;

1) Usijaribu kumlipia Ada au kumsomesha demu wako.
2) Usijaribu kumsaidia demu wako kupata kazi au ajira.
3) Usijaribu kumnunulia demu wako gari hata upewe limbwata gani.

Amini kwamba, akishafika juu, mkilingana au akikuzidi kimafanikio atakuacha & atatafuta mwanaume mwingine aliyebora zaidi kimaisha. Muachie afanye jitihada mwenyewe za kufika juu kimafanikio, la sivyo ukijitia kimbele front utaangukia pua.
Maumivu ni ajali isiyokuwa na formula na furaha ni zali/Bahati isiyokua na kanuni pia!

Fanya kile nafsi inakutuma kufanya halafu expect less Ili usiwe disappointed!

Binadam ni viumbe ambavyo ni unpredictable kabisa kimaamuzi na kifikra!!

Unaweza usifanye hayo na Bado ukaumia!chamsingi omba mungu tu akuaepushe na maumivu tu!akupunguzie kwasababu hayakwepeki!!

Ukianzisha familia tarajia maumivu Toka popote!hara watoto tunaowapigania na kuwasomesha kwa uchungu na gharama wakikua wanasema "Hakuna kama Mama"kina Baba tunatengwa tangu zamani Hadi leo hayo pia no maumivu!!

Fanya unachoona sahihi,kifupi kutongoza,kuanzisha familiar,kulea familia ni kujitoa mhanga kabisa kwa mwanamme wakati wowote Bomu linalipuka!!
 
Back
Top Bottom