Vitu sita ambavyo si viumbe vya Mungu

sitaki kuchanganywa hapa ninachojua vitu vyote viliwekwa na Mungu, iwe kwa kuumbwa au la
 
Hakuna mungu.

Nimetoa mtihani wa kuondoa contradiction kwa wanaosema mungu yupo. Kwa kutumia vitabu vyao wenyewe.

Wameshindwa.

Ukifanya mema kwa kutaka kwenda mbinguni, una selfish motive.

Ukifanya mema huku unajua hakuna mungu wala mbingu, hapo umefanya mema kweli kweli.
Ukifanya biashara huku ukiwa na malengo ya kupata faida itakuwa unajua kwanini unafanya biashara

Lakini ukifanya biashara ili tu ufanye biashara utakua umewehuka na hujui kwanini unafanya biashara
 
Kwa hiyo kufanya mema kwako ni biashara?
 
Huo mfano wa biashara urejeshe katika matendo ya binadamu
Hujajibu swali.

Unafanya mema ili ufike mbinguni au unafanya mema kwa sababu ni vizuri kufanya mema?

Ungehakikishiwa kwamba hakuna mbingu wala mungu, ungeendelea kufanya mema?
 
Kufika mbinguni utafika tu hata kama hukufanya mambo mema ila suala ni kufika ukiwa umetengeneza faida ya hayo mema uliyoyatenda....
 
hiyo jamaa ni mpotoshaji mkubwa, nahisi anatumika na watu/viumbe anvyovijua.. Mungu ni MUUMBAJI WA KILA UNACHOKIONA na usivyoviona... nimukumbushe jambo moja kifo ni matokeo ya Uasi, means kwamba kama dhambi isingeingia kifo kisingekuwepo..

rejea mwanzo 1;1-3, Mungu alitenga Nuru na giza, tatzo lako mkuu unajua kuwa Mungu aliumba hii dunia tu, jambo ambalo si kweli, soma vyema utajua kuwa kuna zaidi ya galaxy 100 ambazo Mungu aliziumba, bahati mbaya dunia yetu pekee ndo iliasi, na Mungu kwa mjib wa biblia alimtuma Yesu kuja kuukomboa huu ulimwengu..

ni vyema kabla ya kupost jambo jielimishe,uliza na kisha njoo jf ukiwa na swal siyo hoja za upotoshaji kama hzi..
Mkuu Huu Ni Mjadala Ndio Maana Kauleta Humu, Nawe Shuka Kwa Point Nzuri Tusipotoshwe.
 
Hujajibu uliloulizwa na ulilojibu hujaulizwa.
Naomba uelewe kuwa binadamu tumeumbwa ili kutenda matendo chanya na kuyaepuka yote ya hasi au mabaya. Tunapata elimu ili ituletee manufaa baadae ambayo yatakuwa na faida kwetu na wengine(matokeo chanya).
Ili kuthibitisha kuwa tunahitaji matokeo chanya tu katika matendo yetu ndipo zilipokuja kutengenezwa sheria za kumwongoza binadamu huyu katika kuelekea matendo chanya (za kibinadamu na za kiuungu).

Nini maana yangu?

Tunafanya matendo mema ili tupate matokeo chanya na kujiweka huru kwetu na kwa hao tunaowafanyia. Hii ni sehemu ya maisha ya mwanadamu hapa duniani ambapo matokeo hayo yatapelekea kuwa sehemu salama huko tuendako. Ndipo nikasema mbinguni sote tutafika wenye matendo mema na wasiokuwa nayo ila kitakachotofautisha ni mazingira tutakayokabiliana nayo ambapo aliyefanya matendo mema atakuwa salama zaidi kuliko yule aliyejifanyia mabaya.
 
Una uhakika mbinguni kupo na si stories tu?
 
Sijauliza imani. Imani unaruhusiwa kuamini ng'ombe wanaruka kwenda mwezini.

Nimekuukiza una uhakika mbinguni kupo?
Usitake nikujibu kama vile ulivyojiandaa kupokea jibu ila cha msingi ni kuelewa mantiki ya jibu..

Bado nasisitiza kwa imani yangu naamini mbinguni kupo...usikimbilie kuangalia hilo neno imani tu pia angalia na mwendelezo wa hilo jibu langu
 
Unaamini hivyo, hilo sijauliza.

Unajua hivyo?
 
Naomba uelewe kuwa binadamu tumeumbwa ili kutenda matendo chanya na kuyaepuka yote ya hasi au mabaya. Tunapata elimu ili ituletee manufaa baadae ambayo yatakuwa na faida kwetu na wengine(matokeo chanya).
Ili kuthibitisha kuwa tunahitaji matokeo chanya tu katika matendo yetu ndipo zilipokuja kutengenezwa sheria za kumwongoza binadamu huyu katika kuelekea matendo chanya (za kibinadamu na za kiuungu).

Nini maana yangu?

Tunafanya matendo mema ili tupate matokeo chanya na kujiweka huru kwetu na kwa hao tunaowafanyia. Hii ni sehemu ya maisha ya mwanadamu hapa duniani ambapo matokeo hayo yatapelekea kuwa sehemu salama huko tuendako. Ndipo nikasema mbinguni sote tutafika wenye matendo mema na wasiokuwa nayo ila kitakachotofautisha ni mazingira tutakayokabiliana nayo ambapo aliyefanya matendo mema atakuwa salama zaidi kuliko yule aliyejifanyia mabaya.
Una uhakika mbinguni kupo na si stories tu?

Ukihakikishiwa hakuna mbingu utaendelea kufanya mema au utaacha?
 
Hivi wewe unapoumwa na kwenda hospitali,je unapopewa dawa ya kutibu ugonjwa unaoumwa huwa unajuaje kuwa hiyo dawa ndio sahihi kwa ugonjwa unaumwa?
 
Sehem flan mwandishi amesema Mungu aliumba neno.....
Em soma Yohana 1:1-4
KJV John 1
The Word Becomes Human
1 In the beginning was the Word, and the Word was with God, and the Word was God.
2 The same was in the beginning with God.
3 All things were made by him; and without him was not any thing made that was made.
4 In him was life; and the life was the light of men.
 
Na pia kutaka kujua kitu ambacho Mungu hakuumba au Ku conclude kitu flan kwa vile hakijaandikwa kwenye maandiko matakatifu soma Deuteronomy 29:29
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom