Vitu sita ambavyo si viumbe vya Mungu

KJV Deuteronomy 29
29 The secret things belong unto the LORD our God: but those things which are revealed belong unto us and to our children for ever, that we may do all the words of this law.
 
Hivi wewe unapoumwa na kwenda hospitali,je unapopewa dawa ya kutibu ugonjwa unaoumwa huwa unajuaje kuwa hiyo dawa ndio sahihi kwa ugonjwa unaumwa?
Dawa inapimika kwa track record yake. Na hata mtu anapopona kwa "placebo effect" hilo halimaanishi dawa imeponya.

Unaweza kuthibitisha mungu yupo?
 
Hujajibu swali.

Unafanya mema ili ufike mbinguni au unafanya mema kwa sababu ni vizuri kufanya mema?

Ungehakikishiwa kwamba hakuna mbingu wala mungu, ungeendelea kufanya mema?
Umenikumbusha mchungaji wetu na somo lake la ubinafsi
 
Dawa inapimika kwa track record yake. Na hata mtu anapopona kwa "placebo effect" hilo halimaanishi dawa imeponya.

Unaweza kuthibitisha mungu yupo?
Sijauliza uwezekano wa kupimika au kutokupimika kwa dawa,mi nauliza wewe kama wewe unapopewa dawa unajuaje kuwa hiyo ndiyo dawa sahihi ya ugonjwa wako?
 
Hakuna uthibitisho wowote kamwe kama hakuna mungu. Mungu yupo na ataendelea kuwepo. Nani aliemuumba mwanaadamu? Imekuwaje kuwaje mpaka leo hii upo duniani? Wewe hapo unaesoma hii comment jiulize nani kakuumba??
 
Unajuaje kwamba uwezo wa mungu ni mkubwa wakati wewe binadamu huna uwezo wa kumfahamu na mungu kajificha?

Kwa nini mungu muweza yote na mwenye upendo wote anajificha?

Kujificha ni tabia ya mabaya. Wezi, waovu etc. Si tabia ya mwenye uwezo na upendo.

Kwa nini mungu huyu ajifiche? Anaogopa nini?
Ivi we kiranga hujui kuwa Mungu na yote yanayojadiliwa hapa ni imani tu.Wala usiumize kichwa kuuliza hutapata jibu ila endelea kuamini katika Maswali hiyo ndo imani yako.
 
Hata ukipanga mkutano kesho kwa fikira kwamba jua litachomoza unapanga kwa Imani.

Maana jua linaweza kupasuka kwenye supernovae usiku na kesho lisichomoze.

Lakini Imani iliyojengwa katika misingi ya observation ya maelfu na maelfu ya miaka kwamba jua linachomoza, tena linachomoza mashariki.

Kwa hiyo Imani si tatizo. Ukiamini jua litachomoza mashariki kesho una sababu nzuri tu za kuamini hivyo. Kwa kweli mtu atakayesema hataki kuamini kwamba jua litachomoza mashariki kesho ndiye ataonekana kama ana matatizo.

Kwa hiyo usifanye Imani kuwa ni kitu cha kupuuzwa tu. Bila Imani huwezi hata kupanga siku yako itakuwaje kesho. Utapangaje wakati huna Imani utakuwepo kesho?

Sina tatizo na Imani. Nina tatizo na Imani ambayo haijengwi kwenye msingi unaoeleweka.
 
So Digestion ndio inakufanya uamini kuwa Mungu Yupo? na ni nani aliyekuadithia kuwa Mungu ni Roho? kasome kitabu cha Mwanzo kinazungumzia Uumbaji na kinaeleza kuwa Mungu alisema Waumbe mtu kwa mfano wao... unapata picha gani? wewe unafanana na Mungu au unafanana na Roho? hadithi zinasema vita ilipiganwa Mbinguni so kwa Imani yako Mungu ni Roho ndio zilikuwa zinapigana? na Pia kulikuwa na kiumbe kutoka Mbinguni kiliitwa Watcher ambacho kilishuka Duniani na kikatamani kuwa na Mke kikamchukua Binadamu kikazaa nae na Watoto wao waka Magiant i mean Yale Majitu Makubwa Sana ambayo yasemekana ndio yalijenga ma Pyramid Duniani... Tofari zake hakuna winch inayoweza kunyenyua sababu ya Tani zake....

Hicho kiumbe kilichotoka Mbinguni hakikuwa Roho.... so issue za Kukaa na kujitungia tungia tu Story kuwa Mungu yupo hivi na vile bila kuelewa mambo ya Story za Mungu alianzaje bora utulie kimya tuulize tukupe Data... ya hizi Story. na zina Contradiction za kufa mtu

Hapo Mwanzo Binadamu aliumba Mungu na Matatizo yakaanza issue za kuaminisha watu ni tatizo kuu.. maana ni Story zisizo na kichwa wala Miguu... kila mtu anakuja ya Yake... wewe unasema Mungu ni Roho Mwingine anakuja anakuambia Mungu ni Yesu...Mwingine Mungu ni Ngombe Mwingine Mungu ni Sanamu Mwingine Mungu ni Allah wakati maandishi karibu yote yanawazungumzia hao wote kuwa walinena wao si Mungu... wana Mungu wapo Pia.... na Huyo Mungu wa hamana amajuae so ni just Story tu. mara Mungu kaumba kila kitu Maandishi yanasema Tuunde its mean kulikuwa na Discussion baina ya wawili.... hapo hapo wanasema zipo nafsi tatu... who is the Most High?

Jiweke Huru uchambue ujione kama upo njia ya kweli au upo ndani ya Gang potofu.... Maana wengi hawajui Mungu ni yupi wanayemuabudu na kama wakristo ndio dah... wanafuata Yesu tu wakati Yesu anaMungu wake wa Jamii yake ya Kiyahudi na kuna Desturi zake za kufuata huyo Mungu akusikilize other ways hawezi talk nawe kama unaenda tofauti naye... Binadamu hamko kamili na mtaendelea hivyo hivyo kupotea endapo hamta chambua... mna west time tena mkikwama mnasema yupo yupo tu hunielezi chochote....
Usimuwekee Mungu mipaka.. Yeye ni Mungu hana mipaka wala ukomo..pia kuwa na majina mengi hakumfanyi asiwe Mungu..
 
Umemjulia wapi Mungu wewe Bora Unyamaze... Yaani mtu anakuambia yupo basi na wewe unatetea hadi mishipa ya Shingo inakutoka utadhani wewe ndio babako....

Waliomtunga na kumcreate wameadithia tofauti tofauti sana alivyo na hadithi zisizo na kichwa wala miguu... Mara anafanana na Binadamu Mara yupo kama Moto yaani story za uongo uongo... afu sikia huwezi tisha kwa kitu kisichoonekana... hutegemei kuja kumuona na kama yupo basi wewe huna utakatifu wa kuweza kukaa nae...

Kama waliokuadithia wameweza kumpangia maneno na Matendo ya kufanya iweje mimi nisiweze au wewe unikataze... Ndio Maana huwa nawashinda kwa hoja kila mjapo sababu hamumjui mnayemuabudu na hamjui anataka aabudiwe vipi either ni kwa makusudi yenu mwafahamu lakini mnapeleka mtakavyo nyinyi na si atakavyo yeye...

Mungu mnayemuabudu hayupo... ''So let be Written so let it be done''
 
Unaposema hayupo una maana gani ??ina maana hii dunia na vyote viijazavyo vilitokea vyenyewe?? Mungu si kitu wala sio mtu kwamba unaweza kumuelezea kwa ukamilifu wote..
 
Ni sawa na wewe nikikuambia umshike tembo..huwezi kumshika mwili wote ukaenea maana ni mkubwa sana, bali utashika sehemu tu mf. Mguu, sikio, tumbo n.k
 
VITU SITA AMBAVYO SI VIUMBE VYA MUNGU.

View attachment 331270

Tarehe Mar 2016 niliandika makala juu mahusiano kati Kiza, Mungu, Kifo, Vita, Njaa, na Maradhi. Makala ile ilizua mjadala mkubwa facebook na whatsapp nilipoiweka, na moja jambo kubwa lilotuvuruga ni uwezo na mamlaka ya Mungu katika uumbaji, na hasahasa ile nadharia ya kuwa MUNGU ni muumbaji wa viumbe vyote ilitumiwa sana na watu katika kuikosoa makala yangu.

Awali ya yote nakubali bila kigegezi chochote kuwa Mungu ni muumbaji wa viumbe vyote na ya kwamba ni Mola wa viumbe hivyo. Nakubali kuwa ulimwengu haukuzuka tu wenyewe katika tukio la lisilo ratibiwa. Bali yupo injinia wa Ulimwengu huu ambaye si mwingine bali ni MUNGU.

Misaahafu ya dini za Ibrahim, yaan uislamu, uyaudi na ukristo yote kwa pamoja bila kukhitililafiana inasema ulimwengu na vilivyomo ndani yake havikuzuka kwa bahati mbaya bali vimeumbwa na Mungu.

Kuna viumbe hai kama wanyama na mimea, lakini pia kuna viumbe ambavyo havina uhai kama mawe na mchanga. Vyote hivi Muumbaji wake ni Mungu.

"Mwenyezi Mungu ameumba mbingu na ardhi kwa Haki. Kwa hakika katika hayo ipo Ishara kwa Waumini. " Quran 29:44

"...Sema: Mwenyezi Mungu ndiye Muumba wa kila kitu. Na Yeye ni Mmoja Mwenye kushinda!..." Quran 13:16

"Mbingu ni mali yako, nchi nayo ni mali yako, Ulimwengu na vyote viujazavyo Ndiwe uliyeupiga msingi wake. Kaskazini na kusini ndiwe uliyeziumba....." Zaburi 89:11-12

Hiyo quran 13:16 inatutanabaisha kuwa Mungu ameumba kila kitu, lakini tujiulize, kitu kilichoumbwa na Mungu kinaitwaje? Kwa vyovyote vile kinaitwa kiumbe. Kama ndivyo tunaweza kuwa sahihi zaidi kama tukisema kuwa Mungu ameumba viumbe vyote badala ya kusema kuwa Mungu ameumba kila kitu.

Twasema kuwa viumbe vyote vimeumbwa na Mungu, je vile ambavyo si viumbe tuna vizungumziaje? Naomba mjue Mungu ameumba viumbe vyote, lakini haimaanishi kuwa ameumba kila kitu. Kuna baadhi ya vitu ambavyo Mungu hakuviumba aidha hakutaka kuviumba au ameshindwa kuviumba.

VITU VIKUU SITA AMBAVYO MUNGU HAKUVIUMBA.

1. MUNGU
Ukisoma misahafu yote mikuu miwili quran na biblia hakuna ushahidi hata mmoja unaonesha kuwa Mungu kaumba Mungu(namaanisha Mungu kujiumba).

Kubwa zaidi katika misahafu hiyo ambayo imeandikwa kwa matakwa yake MUNGU, inaonesha ukuu wa Mungu, uwezo wake, mamlaka yake, utukufu wake, usafi wake na kila aina ya sifa nzuri na tukufu, lakini hatuoni chanzo chake kikiandikwa humo na hatuoni mwisho wake ukiandikwa humo, zaidi ya vitabu hivyo kusema ufalme wa MUNGU na Nguvu zake hazina mwanzo wala mwisho.

"Mimi ni Alfa na Omega, mwanzo na mwisho, asema Bwana Mungu, aliyeko na aliyekuwako na atakayekuja, Mwenyezi" Ufunuo 1:8

"Na Mola wako Mlezi anayajua yaliyo ficha vifua vyao, na wanayo yatangaza. Naye ni Mwenyezi Mungu ambaye hapana mungu isipo kuwa Yeye. Sifa zote njema ni zake Yeye, mwanzo na mwisho...." Quran 28:69-70

Kwa aya hizi, na mafundisho mengine ya kinabii kama haya, yanathibitisha bila shaka kuwa ni kweli kuna mambo au vitu ambavyo Mungu hakuviumba na kwasababu hiyo vitu hivyo haviwezi kuitwa viumbe na ingawa viko. Kitu cha kwanza MUNGU, kipo na hakija umbwa.

Wanaosema kuwa MUNGU ameumba kila kitu waje hapa watuambie "MUNGU" kaumbwa na nani? Wakishindwa kututajia basi waishie kusema Mungu kaumba viumbe vyote lakini si vitu vyote.

2. KIZA
Ukisoma hiyo quran 28:69-70 na ukisoma vizuri ufunuo 1:8 utagundua mambo yote na habari zote kabla ya uwepo wa MUNGU hayajulikani na huenda anayajua Mungu mwenyewe, lakini kwetu sisi tunaona mambo hayo kwetu ni KIZA.

Kwa hivyo tunaweza kusema kabla ya Mungu hajaumba chochote alikuwako yeye na Kiza, Kiza ni mwanamke na Mungu ni mwanaume. Kwakuwa kwa kipindi hicho walikuwa wenyewe, na wanajuana wenyewe, jambo jepesi twaweza kusema hivi vitu ni ndugu. Ipo siku inshallah nitakuja kufafanua kwanini nasema Kiza mwanamke na Mungu mwanaume.

"Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi. 2 Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji. 3 Mungu akasema, Iwe nuru; ikawa nuru. 4 Mungu akaiona nuru, ya kuwa ni njema; Mungu akatenga nuru na giza."
Mwanzo 1:1-4

Katika andika hilo la juu tunajifunza yafuatayo.

A. Mbingu na nchi zimeumbwa na Mungu. Maji, ardhi na vitu vya kufananayo ni sehemu ya mbingu ya nchi.

B. Mungu aliumba NURU lakini hakuumba KIZA, tunaambiwa tu Kiza kilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji lakini hatuambiwi Mungu aliumba Kiza.
Hiyo mwanzo 1:3 "Mungu akasema, iwe Nuru; ikawa Nuru"

Alijuaje kuwa Nuru imekuwa kama kabla ya Nuru hiyo kulikuwa hakuna Kiza? Je, mbona hatuoni maandiko yakionesha Mungu akisema iwe Kiza kisha kikawa Kiza?

C. Ukisoma mwanzo 1:2 tunaona Mungu akiumba mbingu na nchi kisha Kiza alikaa juu ya uso wa vilindi vya maji, kwasababu hiyo, nikisema kuwa Kiza alikuwako kabla ya mbingu na nchi nitakosea? Kama alikuwako kabla ya mbigu na nchi, ama kabla ya ulimwengu, nikisema kuwa Kiza na Mungu waliishi wenyewe kabla ya ulimwengu pia nitakosea?

D. Baada ya Mungu kuumba Nuru, hapo ndipo alipofanikiwa, kumfungia KIZA, na athari za Kiza akaziita USIKU na athari za NURU akaziita MCHANA. Kwahivyo Mungu hakumuumba KIZA, ila Mungu kaumba Nuru, Mchana, na Usiku.

Kwahivyo kama tuko pamoja, utakubaliana na mimi kuwa KIZA ni moja ya kitu ambacho Mungu hakukiumba. KIZA si kiumbe, KIZA kimezuka tu kama alivyozuka Mungu mwenyewe. Tafauti kubwa kati ya MUNGU na KIZA ni kuwa Mungu kaumba na ni Mola wa viumbe vyote, lakini Kiza hakuumba kitu chochote kwa hivyo si MUUMBAJI.

Astronomy inatuambia kuwa ulimwemgu umeundwa na vitu vikuu vitatu, normal matter, dark matter na dark energy. Normal matter ndio hujumuisha zile atoms zilizo tumika kuumba Nyota,sayari, na vitu vingine.

Normal matter ni asilimia 5 tu ya ulimwengu wote, 25% ni dark energy na 70% dark matter. Hiyo dark energy na dark matter athari zake zinaonekana katika zenyewe hazionekane. Hii huenda ndio KIZA ambacho kimetajwa katika mwanzo 1:1

Astronomy pia yatuambia ulimwengu unatanuka kwa kasi, na ya kwamba unazidi kuongezeka kutokana ile motion iliyosababishwa na BING BANG, kutanuka kwake ina maanisha unazidi kumeza au ama kuingia katika sehemu mbele zaidi kutokea kule ulipo anzia(kipind cha dark age) Swali kule unapoelekea kuna nini kama si Kiza??

Astronomy pia yatuambia hakuna empty space, kama inavyo onekana, katika space waweza kuona ama kudhani hakuna maada yoyote, lakini kimsingi asilimia kubwa ya space ina dark energy na dark matter. Vitu hivi vinaashiria uwepo KIZA mbali na ulimwengu tunao ujua.

3. KIFO
Kwanza naomba tukumbuke wakati Mungu anafikiria kuumba ulimwengu tayari kulikuwako na KIZA. Ili Mungu awe kuumba ulimwengu ilikuwa lazima kwanza amuondoshe au amuue KIZA. Ili Kiza kiweze kufa shuruti pawe na "KIFO" Hata hivyo, kutokana na nguvu za Kiza, basi kikawa hakijakufa bali kilifungiwa.(Rejea mwanzo 1:3 Mungu akatenga giza na nuru)

Pili naomba mjue kuwa kiumbe hai cha kwanza kuumbwa na Mungu ni "NENO" kisha wakafuatia malaika wakubwa wanne(four Arc Angels) ambao ni Mikaeli, Raphaeli, Rucifer na Gabrieli. Hoja inakuja, Mungu alitumia kipimo gani kujua kwamba amefanikiwa kuumba kiumbe hai? Kwa vyovyote vile ili ajue kuwa amefanikiwa kuumba kiumbe hai ni lazima alinganishe uhai uliopo ndani ya kiumbe hai na mauti(KIFO). Kwa hivyo kilianza KIFO kabla ya UHAI, na bahati nzuri maandiko yanakubali kuwa Mungu kaumba uhai, lakini hayaoneshi kuwa Mungu kaumba KIFO.

Wachungaji wetu katika makanisa wanakataa katakata kuwa Mungu kaumba KIFO, wao wanasema KIFO kilisababishwa na shetani, bi maana shetani ndio kaumba KIFO. Huku ni kutokujua, lakini hakuna aliyeumba KIFO, KIFO sio kiumbe na alizuka tu kama alivyo zuka Mungu.

Kama nilivyosema ule muda Mungu anafikiria kuumba uhai, tayari kifo kilikuwako, na kwasababu hiyo, pia haijulikani kati ya Mungu na Kifo na mkubwa(kiumri).

Mungu aliumba uhai, na kwa kupitia huo uhai akaumba mwanadamu, lengo lake lilikuwa mwanadamu aishi milele, lakini kifo kikawa kikwazo katika lengo hili.

Sivyo tu, kwakuwa siku zote KIZA anataka atoke kifungoni, hivyo kila siku anapambana na Mungu kwa lengo la kutaka kumuua, na wakati huohuo Mungu naye anataka kumuua KIZA, mshindi wa pambano hili lazima amtumie "KIFO" na hapa ndipo tunapoona nafasi ya KIFO katika mahusiano ya NURU na KIZA.

Lakini Mungu anasema atakuja kumshinda KIZA na KIFO, na pindi atakapo shinda hakuna roho au mwili utakao kufa.

"na aliye hai; nami nalikuwa nimekufa, na tazama, ni hai hata milele na milele. Nami ninazo funguo za mauti, na za kuzimu. " Ufunuo 1:18

4. VITA na NJAA
KIZA baada ya kugundua Mungu ameumba malaika wakubwa wanne, KIZA alichukia na hapo yakazuka mapambano kati ya MUNGU na KIZA. Kwa mapambano hayo ndipo ilipozuka "VITA" mungu alichofanikiwa ni kumfungia KIZA, na funguo zake akakabidhiwa Rucifer. Mark of Darkness ndio Funguo na sehemu alofungiwa KIZA, chapa hii baadae iliitwa mark of cain.

Mnyama wa kwanza kuumbwa na Mungu kabla hata ya wanadamu ni Levithans, hawa ndio ile mijusi mikubwa na Magodizilla. hawa walikuwa na "NJAA" sana kiasi walane wenyewe kwa wenyewe, Hapa Mungu kwa kutumia jeshi lake la malaika waliwaondoa dunia na kuwafungua Purgatory. Hapa pia VITA alihitajika kufanikisha hili.

Tembo na vufaru wanapungua kwa kuuliwa na binadamu, hivi Magodizilla na Levithans waliuliwa na nani? Ikiwa wao walikuwako miaka mingi kabla ya wanadamu? Jibu jepesi ni upanga wa Malaika Mikael na jeshi lakd.

Wakati hayo yakitokea, Darkness akaigeuza ile mark kuwa laana, na laana ile ikasababisha hali ya uasi kwa mtunza funguo. Wakati Mungu anamuumba mwanadamu, na malaika kuambiwa wamsujudie, Rucifer akiwa kesha athiriwa na laana ya funguo akagoma kumsujidia adamu.

Kwa mara nyingine "VITA" ilihitajika katika kumdhibiti Rucifer na kundi lake.

6 MARADHI
mungu hakuumba maradhi, na wala si lengo mungu mwanadamu aumwe na kuteseka kwa maradhi. Ila pale mwanadamu alipoumbwa na afya bora kabisa, na maradhi yakazuka hapo hapo. Baada ya Mungu kuja kumshinda KIFO, pia atakuja kuyashinda MARADHI, na hayo yakitokea katika maisha Paradiso hakutakuwa na KIFO wala MARADHI.

MWISHO.
makala hii haina tafauti na ya juzi, ila leo baadhi ya nukta nimemua kuziongelea kwa undani zaidi ili iweze kujibu maswali na hoja zilizo jitokeza katika makala ya msingi. Hata hivyo najua siwezi kumaliza kila kitu hapa, ila mengine tutajifunza katika mjadala!

Njano5
0622845394
Umeandika haya kulingana na imani ya Vitabu vichache tu vya imani! Yaani bible na Quran ila hawa wote si waanzilishi wa Dini! Wote wametoa mbinu za dini kutoka kwa Mababu weusi wa kale wa misri! Hiyo ukisoma kwenye imani za mababu wa misri, utapata kila kitu kati ya hivyo ulivyovitaja na kujua mwanzo wake,...
 
Bila shaka iko tofauti ya juma la uumbaji ambalo kimsingi lilikuwa linatengeneza mazingira ya Mwanadamu kuishi na kuwa mtawala wa sayari hii pamoja na Mungu na uumbaji wa Mbingu na nchi ambao ulifanyika mapema kabisa kabla ya juma la uumbaji ambalo kimsingi Mungu alimpa Mwanadamu Kazi, Ndoa na Pumziko.

Mungu alimwelekeza Musa kuwaandikia wanadamu wenzake kupitia kwa mayahudi ambalo walikuwa Misri wakati huo kuwa HAPO MWANZO MUNGU ALIUMBA MBINGU NA NCHI, hapo mwanzo yaani zamani sana

Likieleweka hilo hakuna mkanganyiko
 
Hii kitu nimefuatilia mjadala mpaka nakosa usingizi ila bado cjaelewa....
Anyway vipi aliumba na watumishi hewa? ....teh....teh....just a joke!
 
Mkuu, dunia haipo. We don't even exist. So your question is NON-sense.
 
bro umepotea ww...unaitaji maombi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom