Vitu sita ambavyo si viumbe vya Mungu

Shetani ni moango wa Mungu... hakuna kitu ambacho Mungu anashindwa,, jiulize kwa nn ww una akili ya kutafakari (rational thinking) na wanyama hawana? Je hii ilitokea tu? Mungu amesema kwenyw QUran kuhusu hili. Mungu ni mkubwa na ufalme wake hauna mipaka.. turn back to your lord before its too late. Kuna vitu vingi sana ambavyo kwa akili ya kawaida tu ukiviangalia unajua kama MUngu yupo... mie ntakupa hiki kimoja tu ukichunguze kisha utajua kama Mungu yupo. "Fertilization->embryo->zygote->feutus->birth" kwa mwanadamu. Kisha rudi katika Quran ambayo ilishaelezea kila kitu hapo juu 1400 years ago wakat bado hata wanasayansi hawajui na haikuwepo technolojia hiyo. Hapo ndipo utajua kama hii dunia na kila kitu kilichomo it wasnt an accident. Good luck.
Sasa kama uwepo wa shetani ni mpango wa mungu, kwanini shetani anatangaziwa ubaya? Basi shetani si mbaya kama tunavyoaminishwa. Maana anafanya kazi kwa kufuata order za mungu. Ukijiuliza sana kuhusu hili utapata ufumbuzi. Na kuhusu miaka wala isikupe shida. Siku zote wapigaji wanajua wacheze vipi. Walikaa chini na kutumia akili nyingi ili waweze kukuteka. wanakuambia vitu ambavyo wanajua hutarudi kwenda kuviona
 
Shetani anatangaziwa ubaya kwa sababu hakutii amri ya Mungu... Mungu kabla ya kumuumba mwanaadamu aliwaumba malaika na majinin(ambayo ni jamii ya mashetani).alipomuumba binaadamu wa kwanza (Adam) akawaamrisha malaika na majini wote wamsujudie,, ibilisi(jamii ya majini) kutokana na pride yake akakataa...ndipo Mungu akamlaani.
 
Ndio maana nikauliza, uwepo wa shetani ni mpango wa mungu au ni kufeli kwa mungu? Wewe ukasema ni mpango wa mungu. Maana yake kila kitu mungu alihusika kwenye hatua hizo za shetani. Hata kutokutii pia ilikua ni order kutoka kwa mungu. Kama haikua order ya mungu, basi mungu alifeli kuumba kitu ambacho kina nguvu zaidi yake na kumgeuka.
 
Kama kila kitu alichofanya Mungu kingeandikwa hii dunia isingetosha kwa wingi wa vitabu..
 
Vita vilivyopo sio vya wema dhidi ya waovu ama Nuru juu ya Giza... .. . bali ni mgawanyo sawia wa madaraka na Mungu yupo pande zote hizo mbili.
 
Mkuu kuenda Shule si issue sababu hata sisi Darasani tulivyoambiwa kuwa binadamu alianza kuwa Kama Nyani tulicheka sana na kila mmoja wetu alikataa lakini kwenye mtihani tulijibu kama tulivyofundishwa...

Hivi mimi nikikuambia Hapo Mwanzo Mungu alikuwa ni neno.... na neno ndio likaendelea hadi likawa Mungu akaumba kila kitu... je wapata picha gani huyo anayehadithiwa alikuwepo aua alihadithiwa na huyo Mungu..... hapo hapo unaambiwa Mungu haonekani, kitabu hicho cha bible kinakuambiwa kuwa Mungu alikuwa akishuka Duniani akimtembelea Rafiki yake Enoch akifanya naye Matembezi..., Ummbaji unasema Binadamu ameumbwa kwa Mfano wake na Makaila na Shetani,Lucifer,Michael,Gabriel n.k its Mean Mungu ana Umbo la Kibinadamu, Hapo hapo Watu wanasema Mungu hafanananishwi na Chochote...! Na Mussa yasemekana ndio Binadamu pekee aliyefikia kutaka kumuona Mungu ila Alipoona Kisogo akazimia.... picha gani unapata? Mungu anakichogo? Mungu Anatoshea ndani ya Ulimwengu aliouumba? hapo namaanisha ana size ya ukubwa wake unaoweza toshea kuwepo mlimani juu.... so Umbo lake si kubwa sana.... kiasi tuzani akikaa juu anaona kila kitu Duniani.... means tunadanganywa? anajua Nafsi zetu zinawazaje? lakini Shetani aliweza kushawishi theluthi ya Malaika wakaasi bila yeye kufahamu? Shetani ameweza kushawishi watu vibaya je anapenda hayo tunaambiwa anaupendo Mateso yako uyapatayo njaa na mengineyo... anaacha kwanza uteseke je ndicho alichokuumbia uteseke? Ukisema anakupenda sana na Bill Gates asemeje? au ndio tuseme asiyefanya kazi na asile.... so Masikini wote wanachotakiwa ni kufanya kazi.... na Yesu alisema Masikini wasaidiwe... Masikini wangapi unawasaidia....

Tukienda Mbele na Nyuma Hakuna Mungu ni ubunifu tu wa Hadithi za watu wa Kale... haswa Wayahudi ndio Walikuja na issue ya Mungu na Mungu wao ni kwa wao tu sio wewe Blakiii mgumu Mweusi kwao wewe uliitwa Mtumwa... Kaabudu dini za mababu zako migombani....

Enjoy Life there is no God. Do the right thing Enjoy life.... siku hazingoji....
Hakuna mungu.

Nimetoa mtihani wa kuondoa contradiction kwa wanaosema mungu yupo. Kwa kutumia vitabu vyao wenyewe.

Wameshindwa.

Ukifanya mema kwa kutaka kwenda mbinguni, una selfish motive.

Ukifanya mema huku unajua hakuna mungu wala mbingu, hapo umefanya mema kweli kweli.
 
Shetani anatangaziwa ubaya kwa sababu hakutii amri ya Mungu... Mungu kabla ya kumuumba mwanaadamu aliwaumba malaika na majinin(ambayo ni jamii ya mashetani).alipomuumba binaadamu wa kwanza (Adam) akawaamrisha malaika na majini wote wamsujudie,, ibilisi(jamii ya majini) kutokana na pride yake akakataa...ndipo Mungu akamlaani.
wewe unaaminije hayo Maneno na hiyo Story? lets go back to the History Huyo Aliyesimulia hiyo maneno hadi news ikafika kwako unamuamini haswa au unafuata tu? Maana mtu anayetoa Siri za Utawala wa Mungu its mean alikuwepo kwenye hiyo Ghasia huko juu hadi akaja kuwahadithia watu na kuandika maandishi...... kuna some story ni zaidi ya vituko.... Mungu Haonekani Haongei Hamtokei mtu yeyote Njozini, Yasemekana anawatuma Malaika wake so Hao Malaika ndio Walihadithia hizo Story? please mambo ya kupelekwa pelekwa tuyaache.... hebu fuatilia vizuri...Story kama Hizi kabla haujazimwaga hadharani
 
Unataka kuanza na mimi wakati hiyo hoja si yangu, tumeambiwa Giza siyo kiumbe kwasababu hakijaumbwa na Mungu hata Mungu alilikuta Giza ndiyo akaumba nuru kama nimepatia kumkalili muandishi wa makaya haya
Kiza kiumbe mungu aliumba kiza kisha akajalia kuwepo kwa nuru qurani
 
Ujerumani kuna fossil ya dinasor iliyogunduliwa kilwa in early 20 century. Kuna viumbe ulimwenguni ambao wameishi 100 millions years before our own live begun. Sasa naomba kuuliza kulikuwa Mungu wa wakati huo na 6000 later akaja Mungu wa sasa? Kuna contrudictions zinatokea ambazo hata Papa hawezi kujibu sababu yeye mwenyewe anajua ukweli ila ni fumbo la Imani.

Go back to Magdalene Gosple ambayo we beleave it is genuine na old compare na zile ambazo zipo Rome na kucompare na zilizo Alexandria Eqypty ambayo ni ya zamani kuwa na historia ya ukristo kuliko hata za rome. Soma tembelea na acha kuamini mapokeo ndo maana tunaishia kuchinjana sababu ya mapokeo.
 
Kiranga ili tukuthibitishie kuwa Mungu yupo unataka tukuoneshe kitu gani au tukuthibitishie kwa mrengo upi ili uamini uwepo wake?
ebu jibu kwa ufasaha na straight hili swali,sitaki uzunguke zunguke...
 
Shukurani nyingi sana zikufikie kwa kutaka kuweka msingi wa uthibitisho utakaokubalika kabla ya kurukia kuthibitisha.

Kwa haraka haraka tu hili linanieleza kwamba unataka majadiliano yenye kina na yanayotaka kufikia makubaliano na hata ukweli.

Nakusihi sana, chonde chonde, tuzungumze kwa upole, tupime neno kwa neno. Nina Imani kwamba una akili na uwezo wa kufanya hivi, kwa sababu swali ulilouliza, kwa anayeelewa, si dogo. Ni la mtu mwenye uwezo mkubwa wa kufikiri.

Uthibitisho ninaoutaka mimi ni wowote ambao haujipingi wenyewe (non-contradiction, logical consistency) na angalau unaweza kueleweka katika akili za kibinadamu (humanly comprehensible).

Nasema uthibitisho usijipinge kwa sababu kama uthibitisho unaweza kujipinga, huo si uthibitisho. Ni uchafuzi wa uthibitisho.

Nasema angalau uweze kueleweka katika akili za kibinadamu kwa sababu mungu hawezi kujificha asiweze kuthibitika katika akili za binadamu, hususan kama ana nguvu zote, uwezo wote na upendo wote na atahukumu binadamu ambao hawakumjua.

Vinginevyo, kama uthibitisho wa kuwepo kwa mungu unaweza kujipinga wenyewe katika akili za binadamu, au unaweza kuwa umejificha usijulikane katika akili za binadamu, huyu mungu atakosa haki ya kuweza kumuhukumu binadamu kwa kutomjua mungu.

Atamhukumu vipi binadamu kwa kutomjua mungu kama hajampa nafasi ya kumjua mungu vilivyo huyu binadamu?

Kwa msingi huu, uthibitisho wowote unaojikita katika msingi wa ""god works in mysterious ways" hautafaa, kwa sababu utakuwa ni uchafuzi wa uthibitisho kwa maana ya kwamba hauejielezei ulivyo, unazika kuelezea ulivyo.

Unaweza kuthibitisha uwepo wa mungu kwa msingi hii miwili ?

Asante tena na shukurani nyingi kwa usomi uliouonyesha kwa kuuliza aina ya uthibitisho unaotakiwa kabla hata ya kutaka kutoa uthibitisho.

Ningefurahi sana kama wengi wangeweza kufikiri kama wewe na kuuliza maswali kama haya kabla hata ya kutaka kujibu.
 
Mkuu kuenda Shule si issue sababu hata sisi Darasani tulivyoambiwa kuwa binadamu alianza kuwa Kama Nyani tulicheka sana na kila mmoja wetu alikataa lakini kwenye mtihani tulijibu kama tulivyofundishwa...

Hivi mimi nikikuambia Hapo Mwanzo Mungu alikuwa ni neno.... na neno ndio likaendelea hadi likawa Mungu akaumba kila kitu... je wapata picha gani huyo anayehadithiwa alikuwepo aua alihadithiwa na huyo Mungu..... hapo hapo unaambiwa Mungu haonekani, kitabu hicho cha bible kinakuambiwa kuwa Mungu alikuwa akishuka Duniani akimtembelea Rafiki yake Enoch akifanya naye Matembezi..., Ummbaji unasema Binadamu ameumbwa kwa Mfano wake na Makaila na Shetani,Lucifer,Michael,Gabriel n.k its Mean Mungu ana Umbo la Kibinadamu, Hapo hapo Watu wanasema Mungu hafanananishwi na Chochote...! Na Mussa yasemekana ndio Binadamu pekee aliyefikia kutaka kumuona Mungu ila Alipoona Kisogo akazimia.... picha gani unapata? Mungu anakichogo? Mungu Anatoshea ndani ya Ulimwengu aliouumba? hapo namaanisha ana size ya ukubwa wake unaoweza toshea kuwepo mlimani juu.... so Umbo lake si kubwa sana.... kiasi tuzani akikaa juu anaona kila kitu Duniani.... means tunadanganywa? anajua Nafsi zetu zinawazaje? lakini Shetani aliweza kushawishi theluthi ya Malaika wakaasi bila yeye kufahamu? Shetani ameweza kushawishi watu vibaya je anapenda hayo tunaambiwa anaupendo Mateso yako uyapatayo njaa na mengineyo... anaacha kwanza uteseke je ndicho alichokuumbia uteseke? Ukisema anakupenda sana na Bill Gates asemeje? au ndio tuseme asiyefanya kazi na asile.... so Masikini wote wanachotakiwa ni kufanya kazi.... na Yesu alisema Masikini wasaidiwe... Masikini wangapi unawasaidia....

Tukienda Mbele na Nyuma Hakuna Mungu ni ubunifu tu wa Hadithi za watu wa Kale... haswa Wayahudi ndio Walikuja na issue ya Mungu na Mungu wao ni kwa wao tu sio wewe Blakiii mgumu Mweusi kwao wewe uliitwa Mtumwa... Kaabudu dini za mababu zako migombani....

Enjoy Life there is no God. Do the right thing Enjoy life.... siku hazingoji....
hahahaha mlaleo naona unajaribu kunishawishi niamini Mungu hayupo, nawe unataka nikuaminishe kuwa Mungu yupo, lakn kiuhalisia Mungu hahitaji kuhaminishwa na mtu yeyote. Mungu ni roho, hiv mwili wa binadamu unafanya digestion,absorption,gaseous exchange na vinginevyo vyote hivi mwili wa binadamu unaji-adapt na kujiendeshesha bila Mungu? Tatizo tunakariri vibaya kwamba Mungu ni katili ndo maana anatuchoma, kiuhalisia Mungu hutoa chaguo la kumfata au kwenda kwa shetani na akasema ukimfata utaenda peponi, sasa unawezaje kusema Mungu katili wakt kakupa chaguo.

Mungu pia ni imani, ndo maana hata kabla ya Yesu na baada walikuwepo waLIO amini yupo Mungu hayupo,
 
So Digestion ndio inakufanya uamini kuwa Mungu Yupo? na ni nani aliyekuadithia kuwa Mungu ni Roho? kasome kitabu cha Mwanzo kinazungumzia Uumbaji na kinaeleza kuwa Mungu alisema Waumbe mtu kwa mfano wao... unapata picha gani? wewe unafanana na Mungu au unafanana na Roho? hadithi zinasema vita ilipiganwa Mbinguni so kwa Imani yako Mungu ni Roho ndio zilikuwa zinapigana? na Pia kulikuwa na kiumbe kutoka Mbinguni kiliitwa Watcher ambacho kilishuka Duniani na kikatamani kuwa na Mke kikamchukua Binadamu kikazaa nae na Watoto wao waka Magiant i mean Yale Majitu Makubwa Sana ambayo yasemekana ndio yalijenga ma Pyramid Duniani... Tofari zake hakuna winch inayoweza kunyenyua sababu ya Tani zake....

Hicho kiumbe kilichotoka Mbinguni hakikuwa Roho.... so issue za Kukaa na kujitungia tungia tu Story kuwa Mungu yupo hivi na vile bila kuelewa mambo ya Story za Mungu alianzaje bora utulie kimya tuulize tukupe Data... ya hizi Story. na zina Contradiction za kufa mtu

Hapo Mwanzo Binadamu aliumba Mungu na Matatizo yakaanza issue za kuaminisha watu ni tatizo kuu.. maana ni Story zisizo na kichwa wala Miguu... kila mtu anakuja ya Yake... wewe unasema Mungu ni Roho Mwingine anakuja anakuambia Mungu ni Yesu...Mwingine Mungu ni Ngombe Mwingine Mungu ni Sanamu Mwingine Mungu ni Allah wakati maandishi karibu yote yanawazungumzia hao wote kuwa walinena wao si Mungu... wana Mungu wapo Pia.... na Huyo Mungu wa hamana amajuae so ni just Story tu. mara Mungu kaumba kila kitu Maandishi yanasema Tuunde its mean kulikuwa na Discussion baina ya wawili.... hapo hapo wanasema zipo nafsi tatu... who is the Most High?

Jiweke Huru uchambue ujione kama upo njia ya kweli au upo ndani ya Gang potofu.... Maana wengi hawajui Mungu ni yupi wanayemuabudu na kama wakristo ndio dah... wanafuata Yesu tu wakati Yesu anaMungu wake wa Jamii yake ya Kiyahudi na kuna Desturi zake za kufuata huyo Mungu akusikilize other ways hawezi talk nawe kama unaenda tofauti naye... Binadamu hamko kamili na mtaendelea hivyo hivyo kupotea endapo hamta chambua... mna west time tena mkikwama mnasema yupo yupo tu hunielezi chochote....
 
WAKRISTO wanasema Mungu mmoja nafsi 3 kila nafsi ina kazi yake,..Mungu aliumba binadamu kwa mfano wake inamaana tabina za Binadamu zipo sawa na Mungu. mfano Mungu ana wivu,anaongea,anaunda vitu n.k
 
Neno liliumbwa? Malighafi gani zilitumika kuumba? Bro ukitumia biblia kuhalisha uchunguzi unakosea tena mno? Wanasayansi wanasema kuna galaxes 100+ kumbuka kwny biblia nafikiria milky-way galaxy ndio wameiconsider...nafkr unahitaji kujipanga upya
 
Hii Kali sana aisee... Ila ninacho amini ni kwamba muumba kaumba kila kitu kinachoonekana na kisicho onekana... Hayo mengine nakushauri tumuachie yeye ahukumu na kuhitimisha maana hata mtu akifa hakuna mtu alie hai anajua marehemu anapatwa na hali gani. Let our lord lead the way and put science out of this... Babylon means confusion and I see it's happening to you.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom