Vitambulisho Malaysia 'vyawakuna' wabunge

During Mahathir Muhammad's time he launched a project to race for the new technology, before his retirement he was rewarded by his efforts, the Malaysian scientists inaugurated the smallest, the fastest and most flexible micro chip ever made at that time, the MM 1. Today they have progressed to MM 2 plus. The MM 1 was the chip which made RFID technolgy realise newer applications. To date, the sky is the limit on RFID applications. I guess we made the right move to chose Malaysia as partners in this venture.

ebu tutajie what are benefit ambazo watanzania atarajie kuhusu huu mradi
 
ebu tutajie what are benefit ambazo watanzania atarajie kuhusu huu mradi

Nyingi sana, moja na ambayo muhimu kuliko zote, wengi ambao wanakwepa kodi kwa sasa, watailipa. Inaweza ikafikia mpaka ikajulikana kiasi unachotumia dhidi ya kodi unayolipa, itachukuwa muda lakini itafika.
 
Hivi kuna correlation gani kati ya ID yako na kujua ni kazi gani unafanya na kiasi gani unatakiwa kulipa???, hata nchi kama UK ambapo huwezi kufanya kazi pila kuwa na NI number bado watu wanakwepa Kodi sababu watu wanafanya kazi kwa watu na kulipwa cash in hand, in the books wanaonekana kwamba ni Jobless wakati wanafanya kazi nyingine either self employed au wanaendesha Tax kwahiyo FF kuna loopholes nyingi za kutokulipa kodi ambazo watu watazitumia (na kwa hili suala you dont need ID to prevent it, ni kuforce kila employee awe katika database na kila employer awe anakata wafanyakazi wake kodi)

Na kuhusu businesses kila mwaka biashara nyingi zinasema zimepata hasara hence paying less
 
Smart ID cards zenye RFID technology besides ya kuwa National ID zinaweza pia zikatumika kama credit card, debit card, passport, ATM card, gate pass, employment ID, driving license, data bank...

All in one, simply you can add, delete, modify any data you wish for, the applications are unlimited.
 
Nyingi sana, moja na ambayo muhimu kuliko zote, wengi ambao wanakwepa kodi kwa sasa, watailipa. Inaweza ikafikia mpaka ikajulikana kiasi unachotumia dhidi ya kodi unayolipa, itachukuwa muda lakini itafika.

Inaweza kusaidia na inakwepeka sana tu kuhusu kodi. Inarahisisha kujua mapato ya mtu anapolipwa mishahara rasmi na si kitu rahisi kuthibiti wafanyabiashara. Utamthibiti vipi mkulima anayeuza mazao yake kiholela bila kupitia gulio maalum? Utafanya nini na watu wasiotumia bank kama njia maalum ya kupitishia pesa? Kuna watu wanatunza pesa zao kwenye document box za bank ambazo haziingii kwenye system, bali inajulikana kama ni utunzaji wa personal document.

Makapuni ya kilimo na ujenzi ambayo hulipa mishahara cash utaweza track vipi kujua kama wanalipa kodi na idadi ya mapato ya vibarua kutokana na mishahara? Mataifa makubwa ya ulaya na marekani yanatoka jasho na kusaliamu amri juu ya kuthibiti mapato ya mtu sembuse wabongo?
 
Kuna vitu ccm mpaka leo hawajui. Serikali sio ccm na mpaka kikwete na wahuni wao waje kujua kwamba hii serikali inatakiwa kufanya kazi kwa malengo ya watanzania bado tutapata vidonda kama hivi. Kikwete na makundi yenu mkae mkijua kwamba vitu kama vitambulisho, usalama, haki ya mwananchi kuwa na information za serikali, haki ya afya njema, elimu na maswala muhimu hakuna nafasi ya siasa. Hii ndio imesababisha kufa kwa nchi yetu, mnafanya kazi kwa kuangalia na kuwauliza makamba, ridhwan au nape kasema nini ndio mnazidi kutuua na sisi tunapata hamu sana ya kuwatoa macho yenu. Tuleteeni hasira tu. Wengi hatuna love for you guys anyway.

'ccm ni safu ya wahuni'
 
Ningekuwa mwandishi heading ya hii story ingekuwa na Angle ifuatayo:" Bunge laingia tena jikoni, wabunge watembelea Kampuni iliyoshinda zabuni"Katika hali ya kawaida serikali imetumia shillingi billioni moja ( or whatever it is ) kutuma kundi la wabunge 12 na maafisa wa bunge wanane kwenda malaysia kukagua kampuni ya iris amabayo tayari imepewa zabuni ya kutendeneza vitambulisho vya taifa.Ziara hiyo, ambayo haikuwa na tija yoyote isingeweza kubatilisha zabuni ambayo kampuni hiyo imepewa na wazara ya mambo ya ndani ya nchi hapo mwaka kwani kisheria na kikatiba bunge au kamati yoyote ya bunge haiwezi kubatilisha tenda iliyotolewa kihalali na serikali.Kiasi cha fedha kilichotumiwa na wabunge hao kilijuimisha tiketi za ndege za daraja........ , posho ya kujikimu na............ ambazo kama zingewekwa kwenye shughuli za maendeleo zingeweza kujenga vyoo 100 katika shule 50 za msingi, kwa hesabu iliyotolewa na waziri kawambwa hivi karibuni. Aghalabu hela hiyo vilevile ingeweza kununua maboksi 10000 ya dawa mseto za malaria ambazo ni adimu kupatikana katika zahanati za vijijini.
Ningekuwa mwandishi wa habari huo ndio ujumbe ningewakilisha kwa wasomaji na wananchi.. Safi sana Ngambo Ngali
 
Naombeni kujua faida na hasara za kutengenezwa hvyo vitambulisho.
Vitakuwa vinatolewa bure kwa kila mtz? Hata kama tutalipia, serikali imeandaa namna nzuri ya kuwafikishia watu?
Kuna watu vyeti vya kuzaliwa tu hawana, nina wasiwasi na hvyo vitambulisho.
 
Nyingi sana, moja na ambayo muhimu kuliko zote, wengi ambao wanakwepa kodi kwa sasa, watailipa. Inaweza ikafikia mpaka ikajulikana kiasi unachotumia dhidi ya kodi unayolipa, itachukuwa muda lakini itafika.

Wanaokwepa si wanafahamika (1) Wabunge wa Jamhuri ya Tanzania kupitia posho zao (2) Watumishi wa umma kupitia posho mbalimbali au wewe mlipa kodi unamzungumzia mama lishe anayepata faida ya TShs. 10,000 kwa siku? au mcho mahindi anayepata faida ya tShs 2000 kwa siku? au msukuma mkokoteni anayepata kipato cha TShs 5000 kwa siku?
 
Hivi ilikuwa lazima waende huko? au ni namna ya kujitafutia posho za ziada? Juzi juzi tuliona waheshimiwa hawa wakienda Uingereza kufuatilia 'chenji' ya RADA, wamerudi na kukabidhi ripoti kwa spika yakaishia hapo?

Huu nao ni UFISADI fullstop!
 
Viongozi wetu sijui hizi sifa hua wanazipataga wapi!!!

Ukiangalia ile kampuni ya kutengeza fedha mpya ilivyokua inasifiwa mi nilidhani labda noti ya tanzania itakua na kiwango kama cha dolla au euro...lakini ukweli ni kwamba ukiangalia not mpya hua zinachakaa haraka sana kuliko hata noti za zamani.
Hasa hakuna noti inayoniudhi kama noti ya sh elfu 5.........yaaani ipo kama tishu vile.
 
Katika hiyo delegation ni wangapi wenye ujuzi wa kutumia computer?

Hilo nalo neno. Mfano mzuri ni mashine za kuhesabia kura jinsi wale waliozitembelea walivyozisifia kumbe zimechakachuliwa. matokeo yake sote tunajua jinsi ilivyokuwa vurugu ikawa ni afadhali wangehesabu kwa manually.
 
suala la vitambulisho vya uraia ni muhimu kuliko tunavyolifikiria au kulifahamau.naona serikali inachelewa sana katika hili.tunaomba iwahi sana ili mwaka ujao wa fedha tujitegemee ktk bajeti yetu na tusahau kuwategemea wadadhili.chondechonde serikali wahi kutupa vitambulisho hivyo tuokoe nchi yetu kiuchumi.
 
mhhh kazi ipo kama mawazo yenyewe ya kuwa na national ID ndo haya
 
Wanaokwepa si wanafahamika (1) Wabunge wa Jamhuri ya Tanzania kupitia posho zao (2) Watumishi wa umma kupitia posho mbalimbali au wewe mlipa kodi unamzungumzia mama lishe anayepata faida ya TShs. 10,000 kwa siku? au mcho mahindi anayepata faida ya tShs 2000 kwa siku? au msukuma mkokoteni anayepata kipato cha TShs 5000 kwa siku?

Nazumgumzia viongozi wa vyama vya upinzani. Na wengine wote.
 
Nazumgumzia viongozi wa vyama vya upinzani. Na wengine wote.

Hao wote wanajifahamu kuwa wanatakiwa kulipa kodi, kwa nini wasilipe mpaka tutumie mabilioni ya kodi za walala hoi kutengeneza vitambulisho vya taofa ndiposa walipe kodi?
 
Hao wote wanajifahamu kuwa wanatakiwa kulipa kodi, kwa nini wasilipe mpaka tutumie mabilioni ya kodi za walala hoi kutengeneza vitambulisho vya taofa ndiposa walipe kodi?
Swala la kodi ni moja tu ya applications za vitambulisho vya raia. Kama hujui umuhimu wa vitambulisho vya raia ni bora ukae kimya tu kwani tayari zabuni imeshatoka na hivi karibuni utatakiwa uwe nacho, kama wewe huon umuhimu wake, unakikataa tu wakati vinatolewa. Ya ninii taabu na raha ipo?
 
YALE YALE YA NOTI MPYA,
oooh ni nzuri sana,zinakiwango hazichakachuliki,leo ziko wapi?hivi ni kwa nini serikali haina uchungu na hela za walala hoi?yaani kila kukicha wanakuja na mbinu mpya ya kutuibia,
NA HAO WALIOENDA KUKAGUA NI WATAALAM WA TECHNOLOJIA?
isije ikawa mmemtuma kipofu kuchambua mchele?
 
Badala ya kuhangaikia NJAA ambayo inatishia maisha ya waTZ wengi mwaka huu, wabunge wetu wanashupalia vitambulisho vya taifa. Jamani lazima tunapojadili issues tuangalie walengwa walio wengi, yaani waTZ wanaoishi vijijini.

Hebu niambie mwananchi hana hata maji salama ya kunywa, achilia mbali umeme ambao ni asilimia kidogo sana waliounganishwa, leo unatakakutengeneza vitambulisho vya taifa tena kwa gharama kubwa, eti vifanane kama vya Malaysia, hiyo hela imetoka wapi?

Mwananchi wa kawaida anataka ahakikishiwe kula, kulaa na kuvaa - vitu ambavyo mpaka sasa miaka 50 hana uhakika navyo. Leo unamletea kitambulisho ambacho nina uhakika vitakuwa vinauzwa, tena bei mbaya na mwananchi atalazimishwa kununua.

Jamani kwa nini hatuna vipau mbele?? Mwananchi akilala na njaa atauza hicho kitambulisho apate kilo ya unga?? Halafu mtaniambia tu mwisho wa hili gemu, lazima yatazuka yale yale ya RICHMOND. Watz tunawajua mtakuja kuniambia. Tuombe uzima.
 
Back
Top Bottom