Vitambulisho Malaysia 'vyawakuna' wabunge

Nimekupa mfano coomon mmoja wa umihimu w akitambulisho jinsi unavyoweza kusaidia kuondoa ukiritimba . mifano ipo mingi. mfano mwingi ni kuwa takwimu sahhii za watu, makazi, umri, populatin densisty.

Ukiwa natakwimu sahii inasia mambo mengi kuplan mambo kitaalama kwa data sahihi.

Ndio ukiwa na kitambulisho cha taifa inatakiwa kutowepo na haja ya kwenda kuapa upata passport. Na sio tu kitambulisho cha taifa ile kuwa tu na kitambulisho cha mpiga kura ingetosha kutomlazimisha mtu kuapa. Au nakosea. Ndio maana nasema kitambulisho cha taifa ni muhimu sema wanasiasa hawajui umuhimu wake.

Wao wanaisisa wanafurahia tenolojia ya kisasa ya bimetric bila kujua itasaidia nini hasa na application zake.


Kwanza hao wabunge waliokwenda wana ujuzi gani kuhusiana na vitambulisho? au ndio walikwenda tu ili waende? wanajua nini kuhusu vitambulisho vya biometric?

Hakuna asiyejua kuwa vitambulisho ni muhimu. Lakini kuna mambo mengine ya muhimu zaidi.
 
huu mserikali una pesa za kuharibu kweli kweli
...yaani mibunge yte hiyo inaenda tu kuangalia vitambulisho?? ahalafu inalipwa ..pumbafu
 
Back
Top Bottom