Vita ya maneno kati ya Rwanda na Burundi: Ina maana Ndayishimiye hajui tu kama amekalia kuti kavu?

Wahutu kutoka Rwanda ndio wanaitwa WAZALENDO wa Kongo halafu Watutsi wa Kongo wanaitwa Wanyarwanda huoni kama kuna TATIZO KUBWA hapo?

Watutsi wapiganie HAKI zao wasizubae Maadui ni WENGI.
Wanajiona watusi badala ya wakongo, wanajiona wanyarwanda badala ya wanyarwanda.
Nakataa dhana kuwa wanabaguliwa kwasababu ni watusi, wajibaguwa wenyewe kwakujiona wanastahili zaidi kuliko wengine?.....
 
Mkuu nimejaribu kukufafanulia lakini naona unachuki binafsi dhidi ya Watutsi.

Kumbuka Watutsi ni Waafrika wenzetu chuki dhidi yao hazisaiidii chochote sana zitaongeza mavita yasiyo na mwisho.
 
Sasa wewe unaye amin kuwa wanachukiwa kwasababu wana pua ndefu, really?. Hii sababu ni ya kipumbavu na hakuna mwenye akili timamu anayeweza kuikubali.
Zipo sababu za msingi.
 
Mimi nimeishi huko na pia nimekaa Kongo DRC hata inafikia Wakongo wanaukataa UBANTU wa Watutsi na kama unakumbuka Mauaji ya Kimbari Rwanda Interahamwe walikuwa wakizitia Maiti haswa za Kitutsi Mtoni Akagera wanasema ili zirudi "kwao" Abisinia.

Sasa tukianza kuulizana Asili hata Wabantu wametoke Afrika ya Magharibi
 
Zipo sababu za msingi na si mwonekano kuuliwa kwasababu ya pua ndefu nakataa. Kama pua ndefu na wahindi wanazo.
 
Tafadhali ndugu tembelea hiyo Mitaa ukajionee mwenyewe.

Mimi sio kwamba naongea tu nimekuwa nikiwauliza Wadau wa Kitutsi Rwanda Burundi na Congolee Wadau wa Kihutu Rwanda Burundi na Kongo.

Nina Marafiki wengi wengi kweli kweli mitaa hiyo.

Muda umefika sasa sisi Waafrika tukae chini tutatue Migogoro yetu bila CHUKI wala UBAGUZI.
 
There must be a reason behind.....
Btw. Vipi stability ya mipaka ya Congo na nchi nyengine? Ukiondoa Rwanda na burundi?
 
Umemuandika Ndayishimiye kama mtu binafsi zaidi na sio kama Rais aliyeapa kuilinda Burundi.

Wasi wasi wako mkubwa upo kwenye Urais wake na sio Burundi.

Uenda, hana uchungu na urais wake kuliko Nchi yake.
Na huyu Rwanda tunaembiwa ana nguvu sana, aliwahi kupigana na nani hadi Burundi itishiwe asimjaribu? Isije ikawa ni Rwanda ndio inaogopa hivyo inachezesha propaganda za kuogopwa?
 
Miaka ijayo itatokea tena vita au mauaji ya Halaiki ya Watutsi, either Rwanda, Burundi au popote walipo.

Why?
Maisha, pride na ego ya Watutsi ni matokeo Mabaya ya Ukoloni wa Ubeligiji, Ututsi ulitolewa kutoka kwenye uafrika na kuwa Alama ya Ufahari, na kuwafanya wajione ni Jamii special sana, kila wanapoenda wanajiaminisha wao wakojuu kuliko jamii yoyote ya kiafrika na wao ndio watu sahihi kuongoza Serikali au kitu chochote.
Matokeo yake huwabagua wengine na kuwafanya wachukiwe hata kuuawa, now Kagame anafanya kila kitu kusiwepo na Hutus uprisings
 
Ndaishimiye ni habari nyingine kabisa vitani hasa linapokuja swala la kupambana na Ututsi.
 
Back
Top Bottom