Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,088
- 2,705
Je unafahamu kua nchi hizi mbili zilishawai kupigana vita???
Nani alishindwa??
Je nchi hizi zitakuja zitapigana tena??
Upi utakua mwisho wa hizi nchi mbili hapa Africa??
…..…..
MWANZO
Rwanda na Uganda zilikua hazina urafiki wa karibu ziliokua nao leo.Leo zinaongozwa na marafiki wawili waliofanya kazi pamoja kama waasi nchini Uganda ambapo Paul kagame na watusi wengine wa Rwanda waliokua wanaishi Uhamishoni walishirikiana kupindua serikali ya Uganda na kisha kutwaa madaraka.
Mwaka ni 1999-2000
Vita vya marafiki hawa vilipiganwa kwenye ardhi ya mbali nje na ardhi yao ya asili.
Rwanda na Uganda zilipigana vita ndani ya Kongo katika eneo la Kisangani.
Vita vilikua vikali sana ! Inakadiriwa wanajeshi zaidi ya 1500 walifariki kwa upande wa Uganda.
Cha ajabu upande wa Rwanda vifo vya wanajeshi hamna taarifa lasmi. Wengine wanakadiria wanajeshi zaidi ya 800.
NANI ALISHINDA VITA
Mwishoni mwa vita hii (proxy war) ilikua ni ushindi wa Rwanda ambayo ilishinda na kutawala eneo lote la Kisangani. Na kufuatia ushindi huo Jeshi la Uganda lilitoa vikosi vyake na kuhamishia kaskazini mwa DRC