Visa Card Vs Master Card

Watu pori kwa kujigamba. Ona...., lasima ataje eti "platinum" ili aonekane ni saidi. Ndio maana siku sote mnaishia mwisho mbaya na nyumbani mnashindwa kujenga. Kwa mara nyingine tena nasema kyasaka hamwoa mwanangu....

Usizuzuke sana na hilo neno/jina la platinum. Wao walionipa ndivyo wanavyoiita hiyo kadi yao. Na haina utofauti sana na kadi zingine. Kwa hiyo hamna cha kujigamba hapo. Nijigambie debit card? Usinichekeshe bana.

Huo ni uongo! Mimi ninazo zote, Mastercard na Visa (check card and platinum check card, respectively). Na nina uwezo wa kuchukua hela katika ATM yoyote ile. Hata zile ATM zisizo za benki yangu. Nikichukua hela kwenye ATM ambazo si za benki yangu natozwa ada ndogo.

Pia ungeongezea kwa kueleza kuwa hizo ni kadi zinazotambuliwa kimataifa waweza kutumia kufanya malipo au kutoa pesa kwenye ATM nchi yoyote lakini kila ufanyapo hivyo unakatwa kidogo kulipia gharama ya huduma hiyo

Watu pori kwa kujigamba. Ona...., lasima ataje eti "platinum" ili aonekane ni saidi. Ndio maana siku sote mnaishia mwisho mbaya na nyumbani mnashindwa kujenga. Kwa mara nyingine tena nasema kyasaka hamwoa mwanangu....

dah wivu mwengine nao...

Sijajibu kivipi wakati katika maelezo yangu nimesema zote ni kadi za benki zinazotolewa na makampuni mawili ya Kimarekani. Fundamentally hazina tofauti na tofauti kubwa iliyopo ni zinatolewa na makampuni mawili tofauti.

Au wewe ulitaka niandike orodha nzima ya tofauti zake, kwa mfano, Mastercard makao yake makuu yako Purchase, New York. Na makao makuu ya Visa yako San Francisco, California etc., etc.

Nembo ya MasterCard ina vimiduara viwili, kimoja cha rangi ya chungwa na kingine cha rangi ya manjano. Vimiduara hivyo vimeunganika na katikakati yake kuna maneno "MasterCard".

Nembo ya VISA ni kiboksi chenye background nyeupe na neno VISA kwa herufi kubwa limeandikwa katikati.

Ndiyo ulitaka hivyo? Au wewe unazijua tofauti gani zingine?

ha ha ha ha ha ha!! pengine alitaka ufike hapo!

Back
Top Bottom