Vipimo vya malaria vilivyoidhinishwa na Wizara ya Afya ni hatari kwa uhai wa watanzania

Unaweza kujiuliza kama ulaya waliangamiza malaria ya Mbu sisi tunashindwaje?,Malaria ndio ugonjwa unaongoza kwa vifo na tunatumia billions of moneye kunua dawa na vifaa kwa ajili ya Malaria -sasa unajiuliza kwa nini fedha hizo tusizitumie kuua Malaria ya Mbu???

Miradi ya watu hiyo unataka wafe njaa
 
MRDT inafanya kazi vizuriiiii tu sema pia watu wengi wanapenda saana malaria mbili mpaka 4 ukweli ni kwamba pia kwenye darubin Kuna changamoto zake mpaka upate mtu ambae ni every very competent kweny upimaji

Hao very very competent ndio wanahitajika.
 
Unaweza kujiuliza kama ulaya waliangamiza malaria ya Mbu sisi tunashindwaje?,Malaria ndio ugonjwa unaongoza kwa vifo na tunatumia billions of moneye kunua dawa na vifaa kwa ajili ya Malaria -sasa unajiuliza kwa nini fedha hizo tusizitumie kuua Malaria ya Mbu???
Mkuu Ulaya no suala la hali ya hewa.
Malaria huaumbua maeneo ya joto hasa ukanda wa kitropiki.
 
Nilienda kupima malaria nikakutwa sina malaria, jamaa akawa ananishauri nipime UTI nikamwambia asante nitakuja wakati mwengine. Nikarudi zangu nyumbani nikaongeza nikawa nakunywa maji mengi maisha yakaendelea.
 
Ukiwa unatabia na mazoea ya kunywa maji kwa wingi usiku na mchana Malaria utaisikia kwa wenzako tuu,nina Mwaka wa ishirini sasa no Malaria.
 
MRDT inafanya kazi vizuriiiii tu sema pia watu wengi wanapenda saana malaria mbili mpaka 4 ukweli ni kwamba pia kwenye darubin Kuna changamoto zake mpaka upate mtu ambae ni every very competent kweny upimaji
Malaria 1,2,3 4,ni 0.1/% ,tena baada ya matibabu ndio unaweza pata majibu kama hayo,yaani upate 2 malaria tena kwa mgonjwa serious ni uongo.
 
Back
Top Bottom