Vipi kuhusu Jairo, Mbona kimya?

[h=2][/h]
quote_icon.png
By Mwita25
JK has no guts to demote Jairo not to mention dismissing him. Jairo is purpoted to have been in possession of many state secrets and he has played vital role in putting JK into power in both of previous elections. His close association to JK was consolidated during 2010 elections when he actively colluded with TISS to print phantom ballot papers in a large-scale plot to rig the vote in favour of Kikwete. Given this loyal affiliation between the two, one may anticipate how hesitant JK might be as regards execution of recommended punitive measures against his confidant Jairo.








Vipi mkuu CCM wamevunja makubaliano mliyokubaliana!!? i can't beleive if this is Mwita 25 i use to know!!


shetani akizeeka huwa malaika...iko siku wanakondoo wote wakiongozwa na faiza watarudi kundini time will tell dudes
 
Mbona kimya hatupati taarifa zozote kuhusu huyu Mheshimiwa? Yaani mkuu bado anafikiria au maamuzi yameshafanyika. Isije ikawa anatafutiwa sehemu ya kwenda kuwa Balozi-Kuiwakilisha TZ Maana TZ bwana


Ndio imetoka hiyo next time utamsikia yupo kwenye cabinet ... ...
 
Serikali corrupted kama tuliyonayo haina uwezo wa kuwachukulia hatuwa wahalifu, hata tume milioni kumi za uchunguzi wa skendo mbalimbali zikiundwa. Serikali ya CCM haina haina nia kusaidia Tanzania zaidi tu ya kuwa mfumo wa kulindana kati yao kati ya wakubwa. Ni skendo zilizotokea hapa Tanzania na serikalini zikaziundia tume za uchunguzi lakini asilimia 99.99 za taarifa za tume hizo hazikuleta manufaa yoyote kwa taifa na hakuna maamuzi yoyote yaliyochukuliwa kutokana na ripoti za uchunguzi wa tume zenyewe? Sasa tungetegemea nini juu ya hilo la Jairo na akina Luhanjo? Tena wahusika hao ni swahiba wakuu wa JK? Unatarajia nini kingetokea? Mbona hamjajiuliza nini matokeo ya uchunguzi wa tume za Mv Bukoba, Richmond, milipuko yan mabomu ya Mbagala na Gongo la Mboto, na meli iliyoua watu kule Zanzibar na nyinginezo? Nini kilifanyika baada ya matokeo ya tume zile za uchunguzi? Kama si kulindana tu kwa viongozi wetu? Nani mwenye uwezo ndani ya CCM na serikali yake ya kumnyonyea kidole mwingine? JK? CCM? Siamini! Hawana uwezo wa kuwachukuliwa hatua wahalifu wanaokula nao sahani moja. Na hivyo kutuchukua watanzania wote kuwa wajinga. Kwa kesi ya Jairo, Luhanjo, Mkaguzi mkuu wa Serikali na hata waziri wa Nishati na madini kwa jinsi ripoti ya hiyo bunge ilivyoeleza kila mtanzania alitegemea kuwa kungekuwa na tsunami ya watu kujiuzulu na kuchukuliwa hatua... lakini hadi leo kimya na JK mwenyewe hasemi chochote juu ya skendo za watu wake. Luhanjo bado yuko ikulu na anaendelea kucheka naye. Je Jk. ni kipofu namna gani asione yote yaliyosemwa kwenye ripoti za tume hizi? Mbona anazidi kuwakumbatia watu hawa... anangojea ushahidi gani zaidi? Anataka kutuambia nini watanzania ? Tumechoka na hii Serikali corrupted ya CCM ambayo haina maamuzi yoyote. ndio maana tunapigania mabadiliko Tanzania. Akina Jairo, Luhanjo na wengineyo...peteni tu sasa chini ya muhimili huu wa serikali ya CCM. Lakini siku zinakuja, mabadilio yanakuja, na uhuru wa kweli wa Tanzania na wa watanzania unakuja, wote mtachukuliwa hatua kwa maovu yenu dhidi ya wananchi. Endeleeni kulindana tu! Watanzania tumechoka na hii serikali yetu inayolala usingizi wa pono.
 
Serikali corrupted kama tuliyonayo haina uwezo wa kuwachukulia hatuwa wahalifu, hata tume milioni kumi za uchunguzi wa skendo mbalimbali zikiundwa. Serikali ya CCM haina nia kusaidia Tanzania zaidi tu ya kuwa mfumo wa kulindana kati yao kati ya wakubwa. Ni skendo ngapi zilizotokea hapa Tanzania ambazo serikali zikaziundia tume za uchunguzi? Asilimia 99.99 za taarifa za tume hizo hazikuleta manufaa yoyote kwa taifa na hakuna maamuzi wala hatua zozote yoyote zilizochukuliwa kutokana na ripoti za uchunguzi wa tume zilizoundwa. Sasa tungetegemea nini juu ya hilo la Jairo na akina Luhanjo? Tena wahusika wenyewe ni swahiba wakuu wa JK? Unatarajia nini kingetokea? Mbona hatujajiuliza nini matokeo ya uchunguzi wa tume za Mv Bukoba, Richmond, milipuko yan mabomu ya Mbagala na Gongo la Mboto, na meli iliyoua watu kule Zanzibar na nyinginezo? Nini kilifanyika baada ya matokeo ya tume zile za uchunguzi? Kama si kulindana tu kwa viongozi wetu? Nani alijiuzulu? Nani alifikishwa mahakamani? Kumba basi ni nani mwenye uwezo ndani ya CCM na serikali yake ya kumnyoshea kidole mwingine? ,JK anaweza ? Je CCM inaweza? Siamini! Hawana uwezo wa kuwachukuliwa hatua wahalifu ambao wanakula nao sahani moja. Kwa kesi ya Jairo, Luhanjo, Mkaguzi mkuu wa Serikali na hata waziri wa Nishati na madini kwa jinsi ripoti ya hiyo bunge ilivyoeleza kila mtanzania alitegemea kuwa kungekuwa na tsunami ya watu kujiuzulu na kuchukuliwa hatua... lakini hadi leo kimya na JK mwenyewe hasemi chochote juu ya skendo za watu wake. Luhanjo bado yuko ikulu na anaendelea kucheka naye. Je Jk. ni kipofu namna gani asione yote yaliyosemwa kwenye ripoti za tume hizi? Mbona anazidi kuwakumbatia watu hawa..? Anangojea ushahidi gani zaidi? Anataka kutuambia nini watanzania? Tumechoka na hii Serikali corrupted ya CCM ambayo haina maamuzi yoyote. ndio maana tunapigania mabadiliko Tanzania. Akina Jairo, Luhanjo na wengineyo...peteni tu sasa chini ya muhimili huu wa serikali ya CCM. Lakini siku zinakuja, mabadilio yanakuja, na uhuru wa kweli wa Tanzania na wa watanzania unakuja, wote mtachukuliwa hatua kwa maovu yenu dhidi ya wananchi. Endeleeni kulindana tu! Watanzania tumechoka na hii serikali yetu inayolala usingizi wa pono.
 
UTATA mpya umegubika utekelezaji wa hatua za kuwachukulia hatua Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini David Jairo, Katibu Mkuu Kiongozi Philemon Luhanjo, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Ludovick Utouh na Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja kama lilivyoagiza Bunge hivi karibuni, baada ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ‘kurushiana mpira’ na mawaziri wake juu ya nani anayestahili kutekeleza maagizo ya Bunge.

Mwananchi!!
 
Wakuna msafi hapo..nani wa kumfunga paka kengele..kila mtu ana kashfa.wakumwajibisha mwenzake hayupo
 
Tanzania inafiwa na kila kitu kutokana na kukosa umakini katika maamuzi, nimekuwa nikijiuliza hivi kuna ugumu gani kumwambia mtu kwamba sheria za kazi zinasema hivi na kwa kuwa umefanya kinyume hebu tupishe!
 
Zitto,

Kuna jukumu ulimpa CAG kukagua malipo tata ya PPF. Audit ilifanywa vizuri sana na Auditors aliowatuma pale PPF na kubaini madudu yote. Naomba uifuatilie wasije nayo waka-I-JAIRO maana ni miezi zaidi ya nane sasa. Wafanyakazi tunaujua ukweli wa hiyo ripoti.
 
Yap! wabunge nao wana kashfa ya kujiongezea posho.

KIla mtu ana kashfa, at the end of the day hakuna wa kuchukua maamuzi, kwa maana hata wewe mwenyewe sio msafi kiasi cha kuchukua maamuzi.

Inasemekama wabunge waliongezwa posho ili walikaukie hili swala,. maana Jairo alitakiwa kwua mrithi wa Luhanjo, wanga wametibua deal..... Kama kawaida ya wanasiasa, wanajipanga upyaaa.
 
Watawajibishwa na nani sasa,hilo lilikuwa changa la macho tu,hakuna utekelezaji ndani ya nchi hii.
 
Kwa sasa ni vigumu sana kumwajibisha mtu yeyote katika serikali ya Jk! Maana wa kwanza anayepaswa kuwajibishwa ni jk mwenyewe! Lile sakata la Richmond lina mfanya jk awe ameshajiuzuli ndani ya siku 90 tu. Baada ya ule ushahidi uliotolewa na mpenzi wake wa karibu EL kwenye kile kikao cha NEC pale Ddm. Jk aanze wa chini yake wafuate!!!
 
Wabunge wapige kura ya kutokuwa na imani na 'rahisi'lakini kwa bunge posho sijui kama litawezekana
 
Lazima tuhoji bila kuchoka,
Mwaka unaishi huyu jamaa hatuimbiwi hatima yake.
WHy??
Tuamake tupaze sauti zetu, michezo michafu kama hii isijirudie
 
Lazima tuhoji bila kuchoka,
Mwaka unaishi huyu jamaa hatuimbiwi hatima yake.
WHy??
Tuamake tupaze sauti zetu, michezo michafu kama hii isijirudie

Nafikiri hatima yake itajulikana baada ya rafiki yake Luhanjo kustaafu leo.Mambo mazuri hayataki haraka jk yuko makini katika kuchukua hatua ili asivunje sheria.
 
Lazima tuhoji bila kuchoka,
Mwaka unaishi huyu jamaa hatuimbiwi hatima yake.
WHy??
Tuamake tupaze sauti zetu, michezo michafu kama hii isijirudie

Kijana panga mikakati ya kujikomboa mwenyewe kwa kufanya kazi au kusoma kwa bidii, ukikalia porojo za jinsi hii I bet umasikini haundoki kwako.
 
Mbona kimya hatupati taarifa zozote kuhusu huyu Mheshimiwa? Yaani mkuu bado anafikiria au maamuzi yameshafanyika. Isije ikawa anatafutiwa sehemu ya kwenda kuwa Balozi-Kuiwakilisha TZ Maana TZ bwana


so far umemtambua kuwa ni mheshimiwa, hence, hanabudi kuendelea kuishi kama mheshimiwa, ikizingatiwa hakuwa na kosa as jairo bali ni system nzima ya ikulu!
 
Back
Top Bottom