Vipi kuhusu Jairo, Mbona kimya?

..Tume imegundua kwamba baadhi ya wabunge, mawaziri, pamoja na waziri mkuu Pinda, walipokea posho toka kwa Jairo.

..sasa hata ukisikiliza wabunge wengi waliochangia hawakuwa na ule munkari tena wa kutaka hatua za kinidhamu na kisheria zichukuliwe.

..particularly, Stella Manyanya amedai Mh.Ngeleja asisulubiwe eti kwasababu tatizo siyo yeye bali ni "system."

NB:

..binafsi naomba MUNGU awalaani hawa CCM waendelee kuharibu tu, ili tukiachana nao kusiwe hata na nafasi ya wao kurudi tena madarakani in the near future.

..hata wakitaka wampeleke David Jairo akawe Balozi wetu UN.
 
Mbona kimya hatupati taarifa zozote kuhusu huyu Mheshimiwa? Yaani mkuu bado anafikiria au maamuzi yameshafanyika. Isije ikawa anatafutiwa sehemu ya kwenda kuwa Balozi-Kuiwakilisha TZ Maana TZ bwana

Mwenzake kastaafu, yeye vipi? Updates please?
 
kuhusu Jairo hilo sahauni hawezi kufanywa ki2, mchakato ulishaanza zamani kuisambaratisha hiyo issue hata kustaafu kwa Luhanjo kunahusika
 
Mkulu Luhanjo kastaafu na watakaa kimya na kuipotezea kwa kuunda tume kufatilia kwa nini imekuwa kimya
 
Back
Top Bottom