Vipi kidato cha sita wasiochaguliwa JKT?

chewe92

New Member
May 24, 2015
1
0
Naomba kujua hivi kidato cha sita wasioona majina yao kwenye kambi yoyote ndio awamu ya pili au majina yote yatatoka kwa maana hakuna awamu mwaka huu?

Tusaidiane jameni
 
We form six, wasiliana na JKT au mkuu wa shule yako atakupa maelezo sahihi
 
we shukura Mungu endelea na mambo mengine. . . awamu ya pili sijui kama itakuwepo hasa nikifikiria mambo ya uchaguzi.
 
Back
Top Bottom