Kama wanafuta mtihani wa kidato cha pili, basi iwe lazima kwa kila mwanafunzi kuingia kidato cha sita ndio waende College au University

IFAC

JF-Expert Member
Dec 12, 2021
3,631
9,156
Hizi shaghalabaghala za nchi yetu sijui zinaelekea wapi? Hawatuelezi wamefanya tafiti zipi mpaka walipofikia? Kadri ubora wa elimu unavyoshuka, ndio wanazidi kulegeza vigezo.

Sasa iwe lazima mtu kama hajafika kidato Cha sita asiruhusiwe college au university yoyote ndani ya Tanganyika na watakao soma wasitambulike.

Nawakilisha
 
Back
Top Bottom