Vipengele 5 vya kumaliza utata mkataba wa DP World kuwekeza bandarini.

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
37,634
46,277
Kama mkataba wa serikali na DP World utaweka wazi kipengele kwamba mkataba utavunjika endapo DP World watashindwa kuingiza zaidi Trillion 20 kwa mwaka, kuleta ajira 70,000 za Watanzania bandarini na kususha kontena kwa chini ya saa 48. Haya yote yakiwa ndani ya miaka mitano ya kwanza ya uwekezaji wao.

Mkataba wa kwanza uwape DP world bandari tu za Pwani ya bahari.

Bandari za Zanzibar ziingizwe kwenye makubaliano ya uwekezaji wa DP World.

Kodi na tozo za mizigo bandarini zitashuka kwa 30% na kupelekea bei za bidhaa pia kushuka.

Uwekwe ukomo wa miaka 30 na endapo utendaji wa DP World utafikia zaidi ya 80% ya makubaliano ya mkataba wa uwekezaji basi wataongezewa miaka mingine 30.

Ni uhakika serikali ikiweka haya katika mkataba asilimia tisini ya raia wanaopenda uwekezaji wataridhika na kuunga mkono, nafikiri raia wengi wataridhikika na kukubaliana nao kabisa bila kujali vipengele vyake vingine vingi.
 
Wenyewe wanachukua ngapi?
 
Hahahaaa!.
JamiiForums-926221515.jpg
 
Mkuu hakuna mkataba wa miaka 5 mwekezaji atakubali, hao Marekani wenyewe bandari zao 80% zinamilikiwa na wageni let alone bandari zao wamezitoa kwa mkataba Hadi miaka 50 ndio sembuse Tanzania ambayo Ina risk nyingi kuliko Marekani?

Mimi naunga mkono bandari apewe mwekezaji mwenye ufanisi ila nachopinga ni mkataba wa kinyonyaji. Maana wengi wanapinga tu kuhusu Dp world lakini hawaoni madhaifu ya TPA ambayo hata JPM na ubabe wote ule bandari ilimshinda.
 
Miaka 5 ni probation period katika mkataba wa miaka 30.
Wamarekani ni wataalamu katika mikataba na wana leverage na nguvu za kupambana na UAE wasipotimiza matakwa ya mkataba ndio maana wanaweza kuwapa hata miaka 100 na isiwe shida, sisi ni riski kwetu pia, hivyo tuwape miaka 30 tu ambayo watakuwa entitled ku renewe endapo utendaji wao utafikia terms tulizokubaliana.
 
Wamarekani ni wataalamu katika mikataba na wana leverage na nguvu za kupambana na UAE wasipotimiza matakwa ya mkataba
Hapa umetoa Jibu sahihi, kama hatuna leverage basi ni ngumu kuwapa terms ngumu hivyo..it's obvious sisi ndio tunakua inferior kwenye negotiations so lazima terms ziwe za ku favor wao zaidi. Ni changamoto sana na njia pekee ni labda kuingia joint venture ila 5 years ni risky business hasa kama Rais atakuja mwingine anaweza geuza meza alafu ikawa hasara Yao.
 
Good vision
Kama mkataba wa serikali na DP World utaweka wazi kipengele kwamba mkataba utavunjika endapo DP World watashindwa kuingiza zaidi Trillion 20 kwa mwaka, kuleta ajira 70,000 za Watanzania bandarini na kususha kontena kwa chini ya saa 48. Haya yote yakiwa ndani ya miaka mitano ya kwanza ya uwekezaji wao.

Mkataba wa kwanza uwape DP world bandari tu za Pwani ya bahari.

Bandari za Zanzibar ziingizwe kwenye makubaliano ya uwekezaji wa DP World.

Kodi na tozo za mizigo bandarini zitashuka kwa 30% na kupelekea bei za bidhaa pia kushuka.

Uwekwe ukomo wa miaka 30 na endapo utendaji wa DP World utafikia zaidi ya 80% ya makubaliano ya mkataba wa uwekezaji basi wataongezewa miaka mingine 30.

Ni uhakika serikali ikiweka haya katika mkataba asilimia tisini ya raia wanaopenda uwekezaji wataridhika na kuunga mkono, nafikiri raia wengi wataridhikika na kukubaliana nao kabisa bila kujali vipengele vyake vingine vingi.
 
Mikataba yote inayokuja TZ madalali huwa wanasifia sana ili wapige 20% zao ila wakishaingia tu tunaanza kusaga meno ,hizo ajira elf 76 zitatoea wapi wakati msukuma alisema bandarini hakuna mtu hata mmoja zaidi ya dada mmoja tu control room na akuchukua namba zake.
 
Anaweza kuja Rais mwingine akageuza meza pia hata kwa huu mkataba kama alivyofanya JPM kwa Acacia kwenye madini.
 
Kugeuza ni ngumu sana maana ukivunja lazima kuwepo basis na hoja otherwise utalipishwa mabilioni.

JPM hakupindua meza yaani kuvunja mkataba Bali ilifanyika restructuring ya mkataba tu otherwise angemtimua Moja kwa Moja tungelipishwa mabilioni kama ya Dowans.
 
Mikataba yote inayokuja TZ madalali huwa wanasifia sana ili wapige 20% zao ila wakishaingia tu tunaanza kusaga meno ,hizo ajira elf 76 zitatoea wapi wakati msukuma alisema bandarini hakuna mtu hata mmoja zaidi ya dada mmoja tu control room na akuchukua namba zake.
Naunga mkono wanaopinga mkataba huu ila wanaposema ajira 76 Elfu huwa haimaanishi ni wote wanaoajiriwa Moja kwa Moja ila ni fursa za kazi kwenye mradi huo mfano kampuni za bima kupata ukwasi hivyo kuajiri zaidi, malori yatakayokua yanapishana Kila dakika 5, kampuni za clearing and forwarding zitakazopakua tender nyingi Zaidi, mahoteli kuweka expatriates wa kampuni, and so on.

Sema ni vile CCM huwa hawaelezei hii wanaitumia kama propaganda ndio maana tukadanganywa Tanzania ya viwanda sijui italeta ajira million 2 utadhani ni direct employment.n
 
Kugeuza ni ngumu sana maana ukivunja lazima kuwepo basis na hoja otherwise utalipishwa mabilioni.

JPM hakupindua meza yaani kuvunja mkataba Bali ilifanyika restructuring ya mkataba tu otherwise angemtimua Moja kwa Moja tungelipishwa mabilioni kama ya Dowans.
Anaweza kuja mwingine pia akafanya restructuring ya huu mkataba.
 
Kama mkataba wa serikali na DP World utaweka wazi kipengele kwamba mkataba utavunjika endapo DP World watashindwa kuingiza zaidi Trillion 20 kwa mwaka, kuleta ajira 70,000 za Watanzania bandarini na kususha kontena kwa chini ya saa 48. Haya yote yakiwa ndani ya miaka mitano ya kwanza ya uwekezaji wao.

Mkataba wa kwanza uwape DP world bandari tu za Pwani ya bahari.

Bandari za Zanzibar ziingizwe kwenye makubaliano ya uwekezaji wa DP World.

Kodi na tozo za mizigo bandarini zitashuka kwa 30% na kupelekea bei za bidhaa pia kushuka.

Uwekwe ukomo wa miaka 30 na endapo utendaji wa DP World utafikia zaidi ya 80% ya makubaliano ya mkataba wa uwekezaji basi wataongezewa miaka mingine 30.

Ni uhakika serikali ikiweka haya katika mkataba asilimia tisini ya raia wanaopenda uwekezaji wataridhika na kuunga mkono, nafikiri raia wengi wataridhikika na kukubaliana nao kabisa bila kujali vipengele vyake vingine vingi.
Miaka 30 ya nini inatakiwa miaka 5 mi 5 tu
 
Kwa masharti hayo, huyo hawezi kuwa mwekezaji, ni bwege tu.
Na kamwe hatopatikana mwekezaji wa kukubali masharti hayo. Kwa kifupi tuendelee na bandari yetu ya kimazoea
 
Ata sijui mnayatoa wapi hayo mawazo yenu wengine.

Mmeshaambiwa na imeandikwa kwenye phase 1 mkataba unahusu maeneo ya bandari ya Dar tu (na ata hapo sio bandari yote), hakuna bandari nyingine DPW imepewa.

Mmeelezwa muda utategemea time to recoup investment watayoweka na estimation ya mapato ya kurudisha hela yao, mizigo ikiongezeka inaweza isifike ata miaka 10.

Mmeelezwa mkataba wa project agreement utakuwa na performance targets and review; wakishindwa kuna sanctions.

Mkataba unaeleza phase 2 bandari za maziwa na economic zone; uwekezaji wake TPA ndio itawapangia wapi pa kwenda ikiona sahihi. Lakini hawana makubaliano mpaka sasa ya kuwapa hayo maeneo kwenye phase tu.

Mnatoa vitu vichwani kwenu; halafu mnalazimisha ndio uhalisia. Vitu ambavyo havipo mahala popote kwenye IGA.
 
Back
Top Bottom