Vipande 706 vya Pembe za Ndovu vyakamatwa Jijini Dar nyumbani kwa Wachina

Mi naona haina shida manake kwani tembo si wapo wengi tuu. Nadhani kama wangekutwa na meno ya binadamu hapo ni sawa wakinyongwa. Acheni wivu mapori yapo mengi na tembo kibao katafuteni wakwenu mchukue meno

hivi upo nchi gani jamaa?ujui kuwa tembo wanapungua kwa kasi ya ajabu uko mbugani?nina mashaka na uraia wako kama sio uraia wako basi uelewa wako kama sio uelewa basi elimu yako
 
Hii inanikumbusha miaka kama 3 nyuma pale Kinondoni block 41, kuna Wachina walikuwa na kiwanda cha kusaga chupa za plastic, alafu ule unga wanausafirisha kwenda China. Mwanzo nilijiuliza maswali kwa nini wanasafirisha unga wa chupa kwenda China, lakini baadaye nilipata jibu baada ya zile tuhuma kuwa kuna viwanda vya kusaga meno ya Tembo.

aiseee kumbe wameanza siku nyingi aka kamchezo alafu siku hizi kameanza kuwanogea...hivi huko kwao hakuna tembo?
 
Mi naona haina shida manake kwani tembo si wapo wengi tuu. Nadhani kama wangekutwa na meno ya binadamu hapo ni sawa wakinyongwa. Acheni wivu mapori yapo mengi na tembo kibao katafuteni wakwenu mchukue meno
Wewe unatafuta matusi hapa...kaa kimya :shut-mouth:
 
Hii nchi hakyanani nimeamini kweli ilishauzwa.....tembo 353 na bado tunasema tunaserikali? Huu si us.eng.e?
 
foolish pple never kip staying in the authority of this nation. Pepoz power must throw them away!
 
na siku hizi wamejaa sana huku mjini hasahasa mitaa ya huku mikocheni na kaiz zao huwaga hazijulikani kivileee...migeti mikubwa na uzio ndani yanaendelea mambo mengine mengi hasa maovu
 
Mi naona haina shida manake kwani tembo si wapo wengi tuu. Nadhani kama wangekutwa na meno ya binadamu hapo ni sawa wakinyongwa. Acheni wivu mapori yapo mengi na tembo kibao katafuteni wakwenu mchukue meno
c buree utakuwa umelogwa
 
achene wivu, yes tembo wapo wengi....tu wacheni wavune kwani wale waliokamatwa na Magufuli baharini wakivua waliteswa na kunyongwa? na wale walioleta samaki waliooza walinyongwa?
 
Mi naona haina shida manake kwani tembo si wapo wengi tuu. Nadhani kama wangekutwa na meno ya binadamu hapo ni sawa wakinyongwa. Acheni wivu mapori yapo mengi na tembo kibao katafuteni wakwenu mchukue meno
Jamani wana jf wenzangu, siku hizi kuna baadhi ya punguani wamejaliwa uwezo kidogo tu wa kuchangia hoja humu? Kama huyu anatakiwa kudhibitiwa asijetuambukiza uchizi wake!
 
Mi naona haina shida manake kwani tembo si wapo wengi tuu. Nadhani kama wangekutwa na meno ya binadamu hapo ni sawa wakinyongwa. Acheni wivu mapori yapo mengi na tembo kibao katafuteni wakwenu mchukue meno

Sio bure nadhani katika wachina waliokamatwa kuna bwana wako
 
By americana<br />
Mi naona haina shida manake kwani tembo si wapo wengi tuu. Nadhani kama wangekutwa na meno ya binadamu hapo ni sawa wakinyongwa. Acheni wivu mapori yapo mengi na tembo kibao katafuteni wakwenu mchukue meno
<br />
<br />
hivi upo nchi gani jamaa?ujui kuwa tembo wanapungua kwa kasi ya ajabu uko mbugani?nina mashaka na uraia wako kama sio uraia wako basi uelewa wako kama sio uelewa basi elimu yako
Ukiisoma kwa makini comment aliyoitoa utagundua jinsi alivyoikejeli serikali na kiongozi husika.
 
na siku hizi wamejaa sana huku mjini hasahasa mitaa ya huku mikocheni na kaiz zao huwaga hazijulikani kivileee...migeti mikubwa na uzio ndani yanaendelea mambo mengine mengi hasa maovu

maskini tanzania yangu
 
achene wivu, yes tembo wapo wengi....tu wacheni wavune kwani wale waliokamatwa na Magufuli baharini wakivua waliteswa na kunyongwa? na wale walioleta samaki waliooza walinyongwa?

operation kimbunga inakuhusu wewe jamaa
 
Hii nchi hakyanani nimeamini kweli ilishauzwa.....tembo 353 na bado tunasema tunaserikali? Huu si us.eng.e?
Acha jazba ulikubali kuolewa usilale nanguo umesaha madini buzwagi mkataba miaka 100. Nbc bank c iliizwa chini ya mtutu ukila weke akiba yakupambambana.
 
Back
Top Bottom