Vipande 706 vya Pembe za Ndovu vyakamatwa Jijini Dar nyumbani kwa Wachina

Mi binafsi moyo wangu unaniuma sana ninaposhuhudia haya mauza uza ya Serikali! Ni ngumu ukiwaza kwamba the whole system is bushit, nani ataikomboa Tz yetu? Lakini ndani ya nafsi yangu kuna kitu kinaniambia IT CAN BE DONE GOT START SOMEWHERE AND WE ARE THAT ONE.
 
Huu ni upuuzi wa viongozi wa ccm. Kinachotakiwa hapa ni kulinda tembo sio kukamata meno wakati tayari Tembo wameisha kufa. Halafu anakuja waziri na kauli ya Mapambano yanaendelea wakati Tembo wanaisha, akamdanganye Kinana na wenzake.

Mkuu hata hilo tamko analitoa kwasababu anakuwa na waandishi ambao wamechoka na wanajaa kutokana na Mishahara Midogo wanayolipwa na waajiri wao hivyo kuhitaji uwezeshwaji wa kabahasha kakaki kufidia gap lasivyo apo wange muuliza maswali yafuatayao ili kupata ufafanuzi wa hizi kauli za kupayuka payuka tu ;

1. Kama mapambano yanaendelea tamko la serikali la kusitisha ili kutathmini lilikuwa ni ghiliba?
2.Haya mapambano ni dhidi ya nani na yanafanyika wapi na kwa utaratibu upi?
3.Je mapambano haya yanalenga nini hasa? kuzuia,Kukamata au kuuwa watuihumiwa na chini ya sheria ipi?
4.Je nafasi ya wananchi katika kushiriki katika Mapambano haya ni ipi? je nini maoni yake binafsi kuhusu utumiaji wa hawa jamaa wanaotumia hichi kitu cha Jamaika utakuwa endelevu? kuna mikakati gani ya kuhakikisha kwamba Mbuga zetu zinakuwa Salama?
4.Kama kweli hiki ni kipao mbele na ni mapambano ni hataua gani za dharula walichukua ilikuongeza Idadi ya Askari wanyama pori wana omaliza vyuo mbalimbali ikiwemo chuo cha Pasiansi ili kuziba pengo la uhaba wa Askari wenye taaluma ya wanayama pori na ushirikishi wa Jamii zinazo zunguka hifadhi za Taifa?
6.Yeye kama Waziri wa mali asili anazungumziaje mauwaji ya wananchi wasio kuwa na hatia yaliyofanyika katika Operation hii?

Haya ndiyo mambo na ufafanuzi tunaotaka kuusikia toka kwa Waziri Mwenye dhamana na siyo habari za wachina kukamatwa na meno ya Tembo that is no longer news..Kontena limekamatwa likiwa na meno haja tutisha...sembuse hili... .KILA SIKU WANAKAMATWA SASA TUNATAKA TUPATE KAULI THABITI YENYE SULUHISHO LA KUDUMU na siyo kuwa ruhusu kila sehemu watuhubirie tu na kutuonyesha Filamu zisizokuwa na mwisho ambazo stering anakufa hata kabla ya Filamu yenyewe kuanza
 
Kina Membe wanataka kupaka rangi upepo,kwanza tujiulize hawa Wachina waliokamatwa walifikishwa mahakamani?au wapo Gerezani?Maana Watz huko China wamejaa gerezani kwa kufanya biashara haramu
 
Kina Membe wanataka kupaka rangi upepo,kwanza tujiulize hawa Wachina waliokamatwa walifikishwa mahakamani?au wapo Gerezani?Maana Watz huko China wamejaa gerezani kwa kufanya biashara haramu

Kweli inabadi tuanzie hapa hawa wachina walifikishwa mahakani kesi imeishia wapi?
 
Halafu Membe anakataa bungeni kwamba ndege ya rais wa china haijaondoka na pembe za ndovu, huu mradi lazima utakuwa upo na wahusika wapo naamini ni mtandao mkubwa sn
 
Back
Top Bottom