Viongozi wengine wa Uamsho Mbaroni leo Zanzibar

teh silaha zenu nasikia ni ile midude mnayoifuga.................

tehe tehe!! asigwa, mi nnayo kama matatu hv, najiandaa moja kukuangamizia nalo wewe kusudi uache mbwembwe zako hizo.
 
Last edited by a moderator:
Uonevu tu, na ukiukwaji wa haki za binadamu. Ndicho kinachoendelea ZNZ. Jee nani anaemiliki silaha za moto ZNZ kama sio vyombo vya usalama vyenyewe? Tafakari.

Vipi wale wakimbizi waliokuwa Somalia kwa kukimbia machafuko Zanzibar? Nadhani ndio tumeanza kuona utekelezaji wa mafunzo waliyopata kwa alshabab.
 
Uonevu tu, na ukiukwaji wa haki za binadamu. Ndicho kinachoendelea ZNZ. Jee nani anaemiliki silaha za moto ZNZ kama sio vyombo vya usalama vyenyewe? Tafakari.

Hivi kweli ni dini yako ndio inakutia upofu au ulizaliwa mjinga? Kwa hiyo silaha za moto zikionekana kutumika sehemu tu, ni serikali?
 
mfumo wa kikafiri unaendelea kutekeleza mambo yake, hao mashehe wapi na wapi na mauaji ya padiri, mi nazani Wazanzibari imefika wakati watangaze jihadi manake inahusu nini majambazi yafanye uhalifu wakamatwe watu kutokana na shinikizo la wakatoliki?

tangazeni jihadi hao wakatoliki warudi huku bara mikoani kwao kwani lazima wakatekeleze ukafiri wao kule si warudi dodoma na kwengineko wakajenge hayo makanisa ya kikatoliki waabudu huo msalaba wao.

Jihad yenyewe unaijua? Soma tena na tena maana yake.
Na huo unaouita ukafiri na kua watu kiholela wapi na wapi? Mungu gani dhaifu hivyo anayetetewa na wahuni wanajifanya kumwabudu kwa kuanzisha vurugu na kuwa watu hovyo?

We abudu tu na jinsi gani amekasirika na anapaswa ajitetee ni yeye mwenyewe na hao malaika ndio wanajua wafanye nini.
 
Polisi wasifanye kamata kamata wataleta vurugu wafanye uchunguxi wakina kama kweli wamekamatwa kutoakana nauchunguzi ni sawa lakini kama wanawakamata tu wanatafuta umwangikaji wa damu sio muda mrefu
 
Huyu ni gaidi anayeamasisha waislamu wawaue mapadri,maaskofu na makadinali.Uamasishaji huu ulianza baada ya kifo cha shehe Logo wa Mombasa.Pia alifurahishwa sana na kitendo cha Abdallah mwamwindi kumuua Dr kleruu aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Iringa enzi za utawala wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere!!
h
ili tukio la zanzibar linaweekana limetokea kwa sababu ya maneno yake inabidi geshila porisi limu-re-arrest, kwa kuchochea shambuliza la silaha.
 
[h=1][/h]Written by SHAMUHUNA // 27/12/2012 // Habari // 5 Comments


Leo Jeshi la polisi Zanzibar limewakamata Viongozi wengine wa Jumuiya ya UAMSHO maeneo ya Mwanakwerekwe Zanzibar!
Viongozi waliokamatwa ni pamoja na Katibu wa Jumuiya ya UAMSHO Sheikh Abdallah Madawa na Sheikh Fikirini Majaliwa.Masheikh hao walikamatwa wakati wakiwa wameenda kusikiliza kesi ya viongozi wengine wa UAMSHO.
Kukamatwa kwao kumekuja siku mbili tangu padri mmoja apigwe risasai maeneo ya Tomondo.
Habari zaidi zitawajia.
 
mfumo wa kikafiri unaendelea kutekeleza mambo yake, hao mashehe wapi na wapi na mauaji ya padiri, mi nazani Wazanzibari imefika wakati watangaze jihadi manake inahusu nini majambazi yafanye uhalifu wakamatwe watu kutokana na shinikizo la wakatoliki?

tangazeni jihadi hao wakatoliki warudi huku bara mikoani kwao kwani lazima wakatekeleze ukafiri wao kule si warudi dodoma na kwengineko wakajenge hayo makanisa ya kikatoliki waabudu huo msalaba wao.

chukuwa LIKE
 
Polisi kama kupigwa risasi padre wanataka kulifanya jambo hili ni la kidini wanauambia umma kwamba wao ndio waanzilishi, hapo patakua hapatoshi.
Kuwakamata Mashehe kwa ajili ya kupigwa risasi padre ni uonevu na ni ukosefu wa taaluma ya kipolisi,wanatakiwa waangalie ni raia gani walomiliki silaha hata kama ni halali, huu ni uchochezi unaofanywa na jeshi la polisi, Jeshi ambalo linafuata kauli kutoka Tanganyika hii sio fair, mbona Tanganyika alipouliwa RPC walifanya uchunguzi kwanza bila ya kusumbua raia? ZANZIBAR INATAKIWA IWE HURU KWA VITENGO VYA JESHI NA POLISI NA MAAMUZI YAKE BILA YA KUISHIRIKISHA TANGANYIKA KUEPUKA ONEVU WA RAIA WA ZANZIBAR KWA AMRI ZINAZOTOKA JUU.
 
wenye uhusiano na Al Shabab au Al Qaeda hawakosi kumiliki silaha

ni kweli kabisa hivyo vikundi hata mimi naviunga mkono unajidanganya kuona ukitaja al-shababi na al-qaida unatukera kiukweli unatutukuza kupigania jihadi kwa ajili ya mungu hizo ni propaganda za kikanisa kueneza ati vikundi hivyo ni vya kigaidi
 
Back
Top Bottom