Viongozi wengine wa Uamsho Mbaroni leo Zanzibar

Hivi kuna haja kweli ya kueneza ukristo Zanzibar? mbona uislamu uko huko tangu karne ya 4? hawa mapadre si waende Masaini au kwa Wasukuma ambao wengi hawana dini?
Kuna haja gani ya kubanana Zanzibar?

We wacha kuna siku wataikimbia Zanzibar bila viatu!
 
Hivi kuna haja kweli ya kueneza ukristo Zanzibar? mbona uislamu uko huko tangu karne ya 4? hawa mapadre si waende Masaini au kwa Wasukuma ambao wengi hawana dini?
Kuna haja gani ya kubanana Zanzibar?

We wacha kuna siku wataikimbia Zanzibar bila viatu!

the gospel shall be preached to every corner of the world and then the end shall come, kwa nchi ambazo physical penetration imekuwa ngumu bwana YESU ameintroduce social media hii ni noma inapeleka gospel mpaka kaaba, nobody will claim that mimi sikusikia, you can not run away from the gospel, hapa tanzania hakuna msikiti utaingia utakuta hakuna bible, ingawa inaweza kuwa inasomwa kwa kejeli lakini ndo YESU anakusanya evidence kuwa ulisikia habari zake no excuse.
 
mfumo wa kikafiri
unaendelea kutekeleza mambo yake, hao mashehe wapi na wapi na mauaji ya
padiri, mi nazani Wazanzibari imefika wakati watangaze jihadi manake
inahusu nini majambazi yafanye uhalifu wakamatwe watu kutokana na
shinikizo la wakatoliki?

tangazeni jihadi hao wakatoliki warudi huku bara mikoani kwao kwani
lazima wakatekeleze ukafiri wao kule si warudi dodoma na kwengineko
wakajenge hayo makanisa ya kikatoliki waabudu huo msalaba wao.

Haihitaji elimu ya chuo kikuu kutambua akili zilizochanganyika na haja kubwa
 
ni kweli kabisa hivyo vikundi hata mimi naviunga mkono unajidanganya kuona ukitaja al-shababi na al-qaida unatukera kiukweli unatutukuza kupigania jihadi kwa ajili ya mungu hizo ni propaganda za kikanisa kueneza ati vikundi hivyo ni vya kigaidi

kila shetani ana mbuyu wake
 
Cheki hii kitu hapa halafu amua mwenyewe.



My people perish because of lack of knowledge...Only if they are to know! Lakini masikini wako very sincere na wala hawajui kwamba we dont war against flesh and blood....Mfano ni dhahiri kabisa hata supper brain tu hawawezi fight wote wataangamia kwakua brain inatoa sofisticated technology mfano ni jinsi America inavyowa pelekesha....Think of if you use spirits to fight them what will happen? Si wote wata perish? Tuwaombee tu Mungu awasaidie maana wako innocent....
 
Last edited by a moderator:
Hivi kweli ni dini yako ndio inakutia upofu au ulizaliwa mjinga? Kwa hiyo silaha za moto zikionekana kutumika sehemu tu, ni serikali?

Ahsante Mwana Mtoka, dini yangu imehusu nini. Jee unajua mimi ni dini gani? Pengine ni sawa na ya kwako!!! Jee sote si wajinga!!?
 
Last edited by a moderator:
h
ili tukio la zanzibar linaweekana limetokea kwa sababu ya maneno yake inabidi geshila porisi limu-re-arrest, kwa kuchochea shambuliza la silaha.
Mkuu hili ni gaidi linalopaswa kushugulikiwa ipasavyo!!
 
Hivi kuna haja kweli ya kueneza ukristo Zanzibar? mbona uislamu uko huko tangu karne ya 4? hawa mapadre si waende Masaini au kwa Wasukuma ambao wengi hawana dini?
Kuna haja gani ya kubanana Zanzibar?

We wacha kuna siku wataikimbia Zanzibar bila viatu!

Mimi nafikiri tatizo hapa liko hivi..Kati ya yai na kuku nani alianza kuwepo...Huwezi pata jibu kabisa..Maana ukisema waende huko unakotaka mbona dini zao zitakuwa na age kubwa kuliko uislam na ukristo? Chamsingi hapa ni kuelewa kwamba vita vya physical ni very inferior na backward sana..Kama kunakushindana kati ya dini na dini basi washindane kiroho maana hizo ndizo zinahusika sana.

Muislam akisema mimi Allah ndiye mwenye nguvu basi aibadilishe roho ya mkristo iwe ya kiislam na mkristo akisema Yesu ana nguvu basi huyo Yesu ambadilishe muislam awe mkristo kwa kutumia nguvu za kiroho na siyo hizi za mapanga na visu..Maana to be frank wazungu wao hata huyo Yesu hawa mwamini wanaamini akili yao ambayo ni superior to Physical power..Leo wazungu wakiamua kutokomeza kila mtu mwenye asili ya kiislam ama ki-kristo kwakutumia akili yao wanaweza tu bila hata kutumia mabomu ama risasi...Lakini mimi naamini kuna spiritual forces ambazo ni superior to intelligence ya brain inayo sababisha wasifanye hivyo..Sasa sisi wenye kupenda kutumia maguvu ya mwili kwanini hatujifunzi?

Mimi ningesikia kuwa waislamu wote wanasema tutawaua wakristo wote kwakuwasomea albadil maana ni makafiri mimi ninge waunga mkono, maana atleast wako kiroho zaidi kuliko ki mwili..

Lakini wanaposema watatumia physical weapon hapo ndipo siwaelewi. Pia nikiwasikia siku wakristo wanaposema tutawakomesha waislam wote kwakutumia risasi na mabomu na wao nitawashangaa sana..Kinachotokea kwa sasa ni kudhibiti watu wanaotumia uislam kutimiza matakwa binafsi na hili halina ukristo ama uislam maana lina husu sheria za nchi ambazo wala haizijui huyo Allah ama Yesu ni kitu gani..

Lazima tujue kutenganisha mambo jamani bila hivyo hata wabaki watu wa dini moja mfano mzuri ni Somalia na Rwanda ile ya genocide mbona waliuana?
 
Hivi hii dini kiislam ni dini ya MUNGU au shetani?

Mungu hana dini..Ni muumba wa vitu vyote dini ni mawazo ya binadamu yaliyochanganyika na ubinafsi zaidi kuliko kumtafuta Mungu....Science inaweza ikawa dini nzuri zaidi kuliko hizi tulizojiundia nakuyapa majina kutimiza malengo binafsi kuliko ya kumjua Mungu wa kweli maana inasaidia kuboresha maisha ya duniani ya kimwili na ugunduzi wake unatufanya tujue nguvu za Mungu zilivyo kubwa na jinsi alivyoweza kutugawia akili inayoweza fanya makubwa kama yeye..

I hate neno dini kuliko maneno yote yaliyopo duniani!
 
mfumo wa kikafiri unaendelea kutekeleza mambo yake, hao mashehe wapi na wapi na mauaji ya padiri, mi nazani Wazanzibari imefika wakati watangaze jihadi manake inahusu nini majambazi yafanye uhalifu wakamatwe watu kutokana na shinikizo la wakatoliki?

tangazeni jihadi hao wakatoliki warudi huku bara mikoani kwao kwani lazima wakatekeleze ukafiri wao kule si warudi dodoma na kwengineko wakajenge hayo makanisa ya kikatoliki waabudu huo msalaba wao.

Sababu ya kukamatwa imeshaweka wazi na hao polisi?

Hivi kaka ulishawahi hata kutoka nje ya hivyo visiwa viwili. hizi chuki za kijinga ni hatari sana. hiyo jihad anasihi hapo???
 
Uonevu tu, na ukiukwaji wa haki za binadamu. Ndicho kinachoendelea ZNZ. Jee nani anaemiliki silaha za moto ZNZ kama sio vyombo vya usalama vyenyewe? Tafakari.

Majambazi nao ni vyombo vya usalama?
 
Huyu ni gaidi anayeamasisha waislamu wawaue mapadri,maaskofu na makadinali.Uamasishaji huu ulianza baada ya kifo cha shehe Logo wa Mombasa.Pia alifurahishwa sana na kitendo cha Abdallah mwamwindi kumuua Dr kleruu aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Iringa enzi za utawala wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere!!
Mimi najiuliza ni kwa nini hajakamatwa, au kuhamasisha watu kufanya mauaji sio kosa kisheria?
 
Wanajua wanchokifanya wajitetee kuwa hawautaki muungano na c mapadri mapadri c muungano wapambane na tofauti zao c mapadri inashangaza sana......
 
Cheki hii kitu hapa halafu amua mwenyewe.



shukrani kwa kuweka video hiyo ya shekh ilunga ila ungewek yote ili ujumbe ufikee. pia weka na ile ya salaam za idd aliyozungumza mwanza baada ya swala ya iddil hajj.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom