Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viongozi wengine wa Uamsho Mbaroni leo Zanzibar

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwana Mpotevu, Dec 27, 2012.

 1. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #1
  Dec 27, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,257
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 48
  Wana JF

  Polisi Zanzibar leo imewatia mbaroni Katibu wa Jumuiya ya uamsho Sheikh Abdallah Madawa na Sheikh Fikirini Majaliwa.

  Viongozi hao wamekamatwa maeneo ya Mwanakwerekwe walipokua wamekwenda kusikiliza kesi ya Uchochezi inayowakabili Sheikh Farid na wenzie. Polisi hawajasema sababu ya kuwatia mbaroni viongozi hao.

  Hata hivyo tukio hilo limekuja siku mbili baada ya Padri mmoja kupigwa risasi na watu wasiojulikana huku Zanzibar na Polisi ikiahidi kuwasaka waliotenda kitendo hicho
   
 2. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #2
  Dec 27, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,517
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 38
  Jamani haya mambo ya kikatiri sana mara wanawamwagia tindikali wenzao , mara lisasi kwa padri hivi hawa watu wanaroho gani?
   
 3. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #3
  Dec 27, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,257
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 48
  si unajua kila shetwani ana mbuyu wake
   
 4. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #4
  Dec 27, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 6,077
  Likes Received: 363
  Trophy Points: 83
  Mi nadhani shehe Ilunga ni hatari kuliko Faridi na Joyce Banda combined.
   
 5. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #5
  Dec 27, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,914
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 48
  Uonevu tu, na ukiukwaji wa haki za binadamu. Ndicho kinachoendelea ZNZ. Jee nani anaemiliki silaha za moto ZNZ kama sio vyombo vya usalama vyenyewe? Tafakari.
   
 6. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #6
  Dec 27, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,853
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 38
  Hakuna cha uonezi,hata watu binafsi wanamiliki silaha isivyo halali!
   
 7. saimon111

  saimon111 JF-Expert Member

  #7
  Dec 27, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 683
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 28
  Udhaifu wa serikali ya mdhaifu
   
 8. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #8
  Dec 27, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,257
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 48
  Shehe Ilunga ndio yupi huyo mkuu?
   
 9. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #9
  Dec 27, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,914
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 48
  Kwa ZNZ ni marufuku kumiliki silaha za moto.
   
 10. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #10
  Dec 27, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,853
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 38
  Wanamiliki isivyo halali!Unataka kuniambia Zanziba hakuna majambazi wanaomiliki silaha isivyo halali?
   
 11. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #11
  Dec 27, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 6,077
  Likes Received: 363
  Trophy Points: 83
  Cheki hii kitu hapa halafu amua mwenyewe.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. T

  Tukundane JF-Expert Member

  #12
  Dec 27, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 5,331
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 38
  pia wapo wanaozimiliki kihalali ila wanaweza kuzitumia isivyo.
   
 13. p

  pambanua Senior Member

  #13
  Dec 27, 2012
  Joined: Dec 6, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mfumo wa kikafiri unaendelea kutekeleza mambo yake, hao mashehe wapi na wapi na mauaji ya padiri, mi nazani Wazanzibari imefika wakati watangaze jihadi manake inahusu nini majambazi yafanye uhalifu wakamatwe watu kutokana na shinikizo la wakatoliki?

  tangazeni jihadi hao wakatoliki warudi huku bara mikoani kwao kwani lazima wakatekeleze ukafiri wao kule si warudi dodoma na kwengineko wakajenge hayo makanisa ya kikatoliki waabudu huo msalaba wao.
   
 14. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #14
  Dec 27, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,853
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 38
  Huyu ni gaidi anayeamasisha waislamu wawaue mapadri,maaskofu na makadinali.Uamasishaji huu ulianza baada ya kifo cha shehe Logo wa Mombasa.Pia alifurahishwa sana na kitendo cha Abdallah mwamwindi kumuua Dr kleruu aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Iringa enzi za utawala wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere!!
   
 15. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #15
  Dec 27, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,853
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 38
  Mkuu,hili nalo neno!!
   
 16. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #16
  Dec 27, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,257
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 48
  Duh hii kali
   
 17. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #17
  Dec 27, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,853
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 38
  Nani kakwambia kukamatwa kwa hao mashehe kunausiana na kuvamiwa kwa padri?Unazani wote walioanzisha jihad walishinda?unafikiri toka dunia hii iumbwe na mungu jihad ngapi zimepiganwa?Jihad ngapi waislamu wameshinda na kama walishinda mbona hawaitawali dunia?acha vitisho vya kitoto na jihad zako,watu walishajiandaa na jihad miaka hamsini iliyopita kabla hata wewe haujazaliwa!!
   
 18. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #18
  Dec 27, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,853
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 38
  Ndiyo hyo mkuu,mambo ya mashehe na dini ya kiislamu!
   
 19. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #19
  Dec 27, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,853
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 38
  Zanzibar ni somalia ijayo,lazima yatazaliwa makundi ya mabwana vita na hatokalika tena!!
   
 20. B

  Bob G JF Bronze Member

  #20
  Dec 27, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,343
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 38
  Hao viongozi wa kikundi cha kigaidi cha UAMSHO wakamatwe wote, haiwezekani wakafanya uharamia wa watu wa imani nyingine then wawaache waendelee kuchafua amani yetu
  QUOTE=Mwana Mpotevu;5316710]Wana JF

  Polisi Zanzibar leo imewatia mbaroni Katibu wa Jumuiya ya uamsho Sheikh Abdallah Madawa na Sheikh Fikirini Majaliwa.
  Viongozi hao wamekamatwa maeneo ya Mwanakwerekwe walipokua wamekwenda kusikiliza kesi ya Uchochezi inayowakabili Sheikh Farid na wenzie. Polisi hawajasema sababu ya kuwatia mbaroni viongozi hao.

  Hata hivyo tukio hilo limekuja siku mbili baada ya Padri mmoja kupigwa risasi na watu wasiojulikana huku Zanzibar na Polisi ikiahidi kuwasaka waliotenda kitendo hicho[/QUOTE]
   

Share This Page