Viongozi watatu wa ngazi ya juu chadema kuhamia ccm

Mwanajamii

JF-Expert Member
Mar 5, 2008
7,063
68
Viongozi watatu wa kitaifa wa CHADEMA wapo kwenye hatua ya mwisho ya mazungumzo kuhamia CCM. Habari za uhakika zilizopatikana kutoka kwa mmoja wa washiriki wa mazungumzo hayo zinaeleza kwamba uamuzi huo unakuja baada ya vigogo hao wa CDM kugundua kuwa wana uwezo mkubwa wa kulisaidia taifa/kutoa mchango wa kulijenga Taifa lakini wapo katika Chama cha wahuni na ubaguzi wa hali ya juu. kwamba kwa nje Chama ni kizuri, ukiingia ndani ni upuuzi mtupu.
 
malaria sugu siku hizi unajiita sugu1 pole sana, kabla hujapona malaria naona umepata na gono sugu. continue dreaming, chadema kitaendelea kuwa chama mbadala hata aondoke nani, na ni chama tawala come 2015.
 
Hivi kati ya CDM na CCM kipi kimeoza? Hao viongozi wa chadema wataenda tu kwenye mazishi ya CCM na sio kuhamia.Hakuna kulala mpaka kieleweke na kikieleweka tutakilinda
 
Mleta mada ni mzuri kwa nje ila kwa ndani roho yake na ubongo umeoza thats why anaandika mada za kihuni. CHADEMA ni painkiller, sugu malaria kama waumwa, join CDM upate kupona.
 
kweli mkuu?mana cdm tumeshindwa kutatua migogoro ya madiwani ktk halmashari ambapo kuna madiwani wetu.mungu wa yehova epushilia mbali hii kitu
 
Kasema ni source ni mshiriki wa karibu wa mzungumzo hayo au hujasoma thread yenyewe? Lisemwalo lipo na kama halipo laja, yetu macho. Siasa mbwana, labda jamaa wamegundua wanapoteza muda.
 
Ama kweli we in sugu 1 usiyejua kutafakari mambo ya kisiasa ndani ya Tanzania ya leo. Kwa hali ilivyo sasa kiongozi gani wa CDM ataenda Magamba? kama si unataka kopost tu thread isiyo na mashiko. Kuwa Sugu1 katika kuwa great thinker.
 
vipepeo watatu wamesema wanafanya mipango ya kuhamia chooni baada ya kugundua kwenye bustani kuna wahuni,na wameamua kufanya hivyo ili kwenda kufanya usafi chooni baada ya kugundua mainzi ndio wanachafua choo.
na wamesema watashirikiana na inzi katika kaz hiyo.
HUJAMBO BWANA MALARIA SUGU?
NAONA JUMATATU UMEAMKA NA HENIOVA YA KAHAWA.
 
moderators

once i heard that you will be seiving posts in this forum!

this post is a mere mockery
 
Mimi si mfuasi wa Chama chochote, ila inawezekana CCM ikawa haina mvuto kwa sababu tu ni chama cha muda mrefu. CHADEMA naweza kusema ni sawa na mtoto aliyezaliwa njiti kwa sababu ni kichanga alafu mambo kinachofanya siyo ya kukijenga na ndiyo maana wajanja wanagundua kuwa kipo kwa ajili ya masalahi ya wachache. Migomo ya madiwani, maandamano, kubeza maendeleo ya yanayofanywa na Serikali, kutukana viongozi na baadhi ya mambo ambayo mtu mstaarabu hawezi kuendelea kukaa huko. Hongera hao viongozi waliogundua kuwa siyo chaguo sahihi kwao. wanaweza kuchagua chama chochote ila chenye heshima na maadili ya kitanzania, chama chenye kuheshimu jinsia, utu, sheria za nchi na chenye kuunga mkono juhudi za serikali kuwaletea wananchi maendeleo.
 
tuna matatizo mengi kama nchi lakini hili la baadhi yetu kuamini kwa dhati kuwa wafadhili watakuja kutufanyia kila kitu linatuathiri zaidi ya mangine yote!
Sisi wenyewe tuna jukumu kubwa na cha kuanza nacho ni 'to change the way we think'. Mawazo yako ni zaidi ya 60% ya mafanikio yako! Nalo hili wahitaji 'wafadhili' wakusaidie kulifikiri!!???
 
Mimi si mfuasi wa Chama chochote, ila inawezekana CCM ikawa haina mvuto kwa sababu tu ni chama cha muda mrefu. CHADEMA naweza kusema ni sawa na mtoto aliyezaliwa njiti kwa sababu ni kichanga alafu mambo kinachofanya siyo ya kukijenga na ndiyo maana wajanja wanagundua kuwa kipo kwa ajili ya masalahi ya wachache. Migomo ya madiwani, maandamano, kubeza maendeleo ya yanayofanywa na Serikali, kutukana viongozi na baadhi ya mambo ambayo mtu mstaarabu hawezi kuendelea kukaa huko. Hongera hao viongozi waliogundua kuwa siyo chaguo sahihi kwao. Si lazima waende CCM, wanaweza kuchagua CDM chochote ila chenye heshima na maadili ya kitanzania, chama chenye kuheshimu jinsia, utu, sheria za nchi na chenye kuunga mkono juhudi za serikali kuwaletea wananchi maendeleo.

Tehe tehe tehe maandishi hayaongopi, ila uache flip flopping be real!!!!!!!!!!!! hahaha ahahahaha
 
Hongera zao sana wameona mbali wakaamua...kwa hio wameamua kuruka mkojo ili wakanyage mavi?? CDM haiendeshi na watu watatu hata wangeondoka wote, nguvu ya vijana inayopanda haiwezi kuzuiliwa na watatu hao hata kama wangekua malaika, halafu eti unatumia neno " WA KITAIFA" unataka umtishe nani? Waondoke, CDM inaongozwa na katiba na sio watu, umaarufu wa CDM upo kwenye matendo na sio watu...jipange upya nawaambie tunawatakia safari njema waganga njaa
 
Viongozi watatu wa kitaifa wa CHADEMA wapo kwenye hatua ya mwisho ya mazungumzo kuhamia CCM. Habari za uhakika zilizopatikana kutoka kwa mmoja wa washiriki wa mazungumzo hayo zinaeleza kwamba uamuzi huo unakuja baada ya vigogo hao wa CDM kugundua kuwa wana uwezo mkubwa wa kulisaidia taifa/kutoa mchango wa kulijenga Taifa lakini wapo katika Chama cha wahuni na ubaguzi wa hali ya juu. kwamba kwa nje Chama ni kizuri, ukiingia ndani ni upuuzi mtupu.
drunk-people-3-400x282.jpg
 
Ama kweli we in sugu 1 usiyejua kutafakari mambo ya kisiasa ndani ya Tanzania ya leo. Kwa hali ilivyo sasa kiongozi gani wa CDM ataenda Magamba? kama si unataka kopost tu thread isiyo na mashiko. Kuwa Sugu1 katika kuwa great thinker.

Kweli wwe ni KIMBOJO. Huna takwimu, husomi , husikilizi na wala huangalii vyombo vya habari. Unampata aliyekuwa mwenyekiti wa CDM mkoa wa Mbeya? SHAMBEE SHITAMBALA, na je huko singida wale waliohamia CCM siyo chadema au unafikiri walihamia CCM mwaka juzi? ndugu yangu hata miezi miwili haijapita. Usitoe hoja kishabiki tu ili mradi ionekane hiyo posho uliopewa inafanyakazi. Kuwa up to date ili uwendane na mazingira ya JF la sivyo utatumbukizwa shimoni na hizo posho za BILCANA
 
Back
Top Bottom