Viongozi wa Simba wanajiroga wenyewe na kujiweka kwenye mtego mbaya kwa mashabiki wao

Aug 29, 2022
72
140
Viongozi wa Simba wanajiroga wenyewe na kujitega kwenye mtego mbaya kwa mashabiki wao. Simba wameendele kuachana na makocha wao kwa kipindi cha miaka 3 mfululizo
Novemba 2021 - Mei 2022
Pablo Franco

Juni 2022 - Septemba 2022
Zoran Mac

Septemba 2022 - Januari 2023
Juma Mgunda

Januari 2023 - Novemba 2023
Roberto 'Robertinho' Olivieira

Novemba 2023 - Aprili 2024

Abdelhak Benchikha
hii inashiria kwamba kuna shida ndani ya uongozi wa Simba na shida kubwa kuna presha ya kutaka kuendelea kupata mafanikio ambayo waliyapata kwa kipindi cha misimu minne mfululizo lakini hadi sasa kumekuwa na kuyumba kwa mafanikio hayo ambayo yanapelekea hata makocha kufukuzwa au makocha kuvunja mkataba na klabu hiyo na ukitazama ishu ya kuondoka kwa Benchikha si ishu ya mojakwa moja ya matatizo ya kifamilia bali inaonyesha ni makubwa wanayaoyataka Simba lakini ayaendani na uwekezaji walio uweka kwa msimu huu,ikiwemo wachezaji walikuwepo Simba kwa sasa ilikuwa inamuonyesha kocha anawakti mgumu zaidi kufikia kile Simba sc wanachokitaka,na ukizangati hali ya mueendelezo wa matokeao yaliopo licha ya kubeba kombe la Muungano.

Uongozi wa Simba unapaswa kufahamu mpira kuna kipindi unaweza ukapitia kwenye wakati mgumu na kwenda nje kabisa ya malengo yao lakini nafasi ipo kwako kujipanga vizuri na kila mmoja atimize majukumu yake bila kuingilia majukumu ya mtu mwingine anaye husika katika usajili wamuache afanye usajili ulio sahihi kwa tafsiri ya kocha ndiye awe na jukumu hilo kwa kushirikiana na sikauti aliyekuwepo klabuni hapo.

Pia watafute kocha mkuu mapema kabla msimu aujaisha ili apate nafasi ya kuchunguza timu na kuanza kusuka timu ambayo italeta ushindani mkubwa zaidi kwenye mashindano yote ikiwemo CAFC
 
Viongozi wa Simba ni zaidi ya vilaza!!
 
Mi naona mgunda atafanya vizuri tu akipewa nafasi na kuaminiwa yule anajua timu vizuri sana.
 
Nimeikumbuka hii kauli ya Uchebe anaanza kuaminini ndani ya Simba kuna uozo na uchafu mwingi
IMG-20240428-WA0325.jpg
 
CEO anasema mafanikio ni kuanzisha WhatsApp , wachezaji wa kuokoteza halafu unampa kocha mkataba wa mwaka. Hapo unampa malengo ya kufika nusu fainali.
 
Watasikia wapi hao, mpira Sasa hivi unaendeshwa na watu wenye uelewa wa namna soka la kidunia linavyotakiwa kuendeshwa, mpira Sasa hivi ni sekta Pana hivyo timu inatakiwa iwe na 'watu wa mpira' yaani si watu wakuokota okota wanaoujua kupigapiga kelele na kusemasema hovyo, tatizo lililopo Simba inaendeshwa kimazoea na watu (baadhi) wasiojitambua na wasiofikiria future ya timu inakwendaje...guys football Sasa hivi pesa tu haitoshi lazima uwe na watu makini wakutekeleza, unaziona
 
Back
Top Bottom