Viongozi wa kiislamu wameelewa elimu ya Subra...

Wakiongea wanapelekwa magerezani, wangeandaa waraka polisi wangetanda kwenye nyumba za ibada, tena wengine wangeingia msikitini na viatu vyao. Malizaneni wenyeweee.

Halafu wakati uamsho wanaongea hao viongozi wengine walikuwa wapi?
 
Pamoja na subra waliyonayo viongozi wetu wa kiislamu ila uwezo wao "upstairs" ni mdogo sana. Hawana la kusema maana uwezo wa kupambanua mambo, uthubutu wa kusema na kuonya ni finyu. Sana sana watasema tu kwa maagizo ya wanasiasa (kutumiwa)
Cha ajabu wiki hizi mnawasujudia hao wenye uwezo mdogo wawasaidie duh! Mungu anajua sana namna ya kuwaadhibu watu hapa duniani
 
Waislam ni asilimia 25% tu ya raia wote Tz hivyo hata waseme ni ngumu kusikika
 
Si busara kuwalazimisha viongozi wa kiislamu waongee mnayoyataka nyie hata kama hawana la kuongea.

Pia si lazima viongozi wa imani fulani wakitoa maoni yao kwa njia waitakayo wao basi na wa imani nyingine wafuate mkumbo hata kama hawana hoja kuhusiana na suala hilo.
Pia ni vizuri kufahamu kuwa uislamu hauna utaratibu za kutoa tamko kwa njia ya "waraka".

Punguzeni matusi kwa viongozi wa Kiislamu na Waislamu.
 
Busara gani...???

Ongeeni muone kama Makao Makuu ya Bakwata yatajengwa..
....waliongea wale kuhusu muungano, wanamaliza miaka magerezani.
Wameongea maaskofu, wanabembelezwa wahimize viwanda.
Wagalatia msituletee unafiki wenu, endeleeni ku enjoy pesa za MoU. Walutheri wamekutwa na madaktari hewa, wanakula tuu mishahara yao.
 
Bara hakuna Waislam kuna Bakwata
Waislam wapo Zanzibar
Mkuu waislamu wapo sana. Nchi hii ina watu wabinafsi wenye kuangalia upande wao. Na pia ina wanafiki wengi, na wasiokuwa na mtanzamo wa mbele. Kipindi waislamu wanatetea maslahi ya kila ya raia wote hasa kuhusu mambo keki ya Taifa na mambo mbalimbali ya haki na utawala wa sheria, walidai kwamba ooh waislamu ni watu wa kulalamika na wanataka kuleta uvunjifu wa amani.

Kwa hivyo tujiunze kuheshimu hoja ya mtu au kikundi, hata hivyo wangetoa neno kuhusu yanayoendelea hapa nchini ili kuondoa sintofahamu.
 
....waliongea wale kuhusu muungano, wanamaliza miaka magerezani.
Wameongea maaskofu, wanabembelezwa wahimize viwanda.
Wagalatia msituletee unafiki wenu, endeleeni ku enjoy pesa za MoU. Walutheri wamekutwa na madaktari hewa, wanakula tuu mishahara yao.
Unaandika pumba utadhani wewe si binadamu.
Ptuuuuuu
 
Back
Top Bottom